Bangsweezy
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 880
- 200
Ungeelezea hicho kitabu....
stori hii je inahusisha kitabu cha enock kilicho zuhiliwa kuwekwa kwenye biblia.?
kama ndohivyo basi kutakua na ukweli hapo maana nasikia hata vitabu vya kwenye biblia wamechagua vinavyo wafavour sio vyote vimewekwa
naomba majibu kwa mwenye uelewa zaidi juu ya mambo hayo
Nikipata wasaa ntakuwekea soft copy na brief summary
itakuwa vyema kabisa...
The Master huu kweli ni uzi mzuri sana leo umetuwekea hapa.Kwanza naanza na kitu inayoitwa GREEK CIVILAZATIONS ,hii civiliazant ya dunia ya leo kiukweli haikuletwa na wagiriki ni ilitokana na mtu mweusi yaani muafrika.Greeks ni wezi wa civiliazation yetu. Hii elimu karibu yote ilitokea kwetu na ilifanywa kuwa kitu cha wachache (wazungu) na utaalamu wote ndani yake ulifanywa ni wao wenyewe na sisi wenye asili nao tukawekewa vikwazo,vitu kama utawala wa anga ni vitu vyetu nisisi ndio tulioanza kusafiri kutumia nyota baharini kabla ya mtu yeyote yule hapa duniani.Utaalamu wa kutumia vitu ka compass kusafiria tulivigunduwa sisi lakini hii leo utaonyeshwa vitabu alivyoandika scientist wa kifaransa au mzungu yeyote yule lakini manyanga yote tuliyaanza sisi weusi.Nakupeni hivi vitabu jaribuni kuvisoma ka ikiwezekana labda vitasaidia kupanua skope zenu.1,Stolen Legacy2.Black Athena3.They came before Columbus humu mtakutana jinsi the great Mansa Mussa alivyokuwa na utaalamu wa kusafiri majini(baharini)na mtaonyeshwa jinsi Christopher Columbus alivyofika Americas.Nimejaribu kuchokonowa kidogo na kunywa kidogo juice na yote ninawaachieni wenyewe.M/Mpamba.Peace!