Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Mbona hata alipokuwa hai yule mungu wenu utaratibu huo ulikuwepo!Yaan haka kabibi kaliona wapi ujenzi wa majengo ya serikali yakajengwa na fundi mchundo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hata alipokuwa hai yule mungu wenu utaratibu huo ulikuwepo!Yaan haka kabibi kaliona wapi ujenzi wa majengo ya serikali yakajengwa na fundi mchundo.
Wewe ni mpuuzi sanaYaan haka kabibi kaliona wapi ujenzi wa majengo ya serikali yakajengwa na fundi mchundo.
Pole Sana aiseee....View attachment 3250641
View attachment 3250642
Wanafunzi 30 pamoja na Mwalimu mmoja wa Shule ya Sekondari, Tumaini Jema, iliyopo Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo baada ya jengo moja la darasa walilokuwa wakisomea kuanguka kutokana na upepo mkali.
Wanafunzi hao pamoja na Mwalimu wanaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Same, ambapo hali zao zinaendelea kuimarika ambapo kutokana na tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, akiambatana na Kamati ya Usalama ya wilaya, amefika katika Shule hiyo na kusimamisha shughuli zote za masomo kwa muda wa siku saba ili kupisha uchunguzi wa kina wa kubaini chanzo cha kuanguka kwa jengo hilo.
Ameagiza Jeshi la Polisi, TAKUKURU, pamoja na Wataalamu wa ujenzi wa Halmashauri kufanya uchunguzi wa ajali hiyo na pia kukagua ubora wa majengo mengine Shuleni hapo “Kwa wiki hii yote, nawaombeni msitishe shughuli za masomo hapa Shuleni ili kupisha uchunguzi wa kina kuhusu ubora wa majengo haya”
Jeshi la Polisi, TAKUKURU, pamoja na Wataalamu wa ujenzi wa Halmashauri fanyeni uchunguzi ili tujiridhishe na usalama wa majengo haya, kama itabainika kuwa yapo chini ya kiwango, italazimika kubomolewa ili kulinda usalama wa Wanafunzi wetu,”
Mkuu wa Wilaya amewatembelea pia Wanafunzi na Mwalimu waliolazwa Hospitalini kwa ajili ya matibabu, ambapo amewajulia hali na kuwapa pole kutokana na tukio
Mmh kakaNa hasa marehemu ambaye hakupokelewa mbinguni, inasemekana wakifukuzwa mbinguni wanarudi Duniani na kuwa Mapepo
Kwa nini wanafunzi wakae bila mwalimumwalimu asingekuwepo darasani ingekua shuli pevu[emoji53]
Inaonekana alikunyoosha sana mana huishi kumkumbukaNa hasa marehemu ambaye hakupokelewa mbinguni, inasemekana wakifukuzwa mbinguni wanarudi Duniani na kuwa Mapepo
Sehemu zingine mbona majengo yako vizuri kutumia watani zangu wapare kujenga wanakuwa wabahili kuanzia maji ya kujengea,simenti ,matofali, ,vibarua ,mafundi bora ,nkYaan haka kabibi kaliona wapi ujenzi wa majengo ya serikali yakajengwa na fundi mchundo.
Chifu hiyo ni shule binafsi mmiliki una mhusishaje RaisYaan haka kabibi kaliona wapi ujenzi wa majengo ya serikali yakajengwa na fundi mchundo.
Kuna mtu amen taka Rais hapo mkuu,Chifu hiyo ni shule binafsi mmiliki una mhusishaje Rais
CCM wana mambo ya kipumbavu sana. Fedha zote wananUnulua maV8 halafu wanajenga madarsa ya kisen ge yanaua watoto wa wakulima. Wapuuzzi wakubwa!View attachment 3250641
View attachment 3250642
Wanafunzi 30 pamoja na Mwalimu mmoja wa Shule ya Sekondari, Tumaini Jema, iliyopo Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo baada ya jengo moja la darasa walilokuwa wakisomea kuanguka kutokana na upepo mkali.
Wanafunzi hao pamoja na Mwalimu wanaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Same, ambapo hali zao zinaendelea kuimarika ambapo kutokana na tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, akiambatana na Kamati ya Usalama ya wilaya, amefika katika Shule hiyo na kusimamisha shughuli zote za masomo kwa muda wa siku saba ili kupisha uchunguzi wa kina wa kubaini chanzo cha kuanguka kwa jengo hilo.
Ameagiza Jeshi la Polisi, TAKUKURU, pamoja na Wataalamu wa ujenzi wa Halmashauri kufanya uchunguzi wa ajali hiyo na pia kukagua ubora wa majengo mengine Shuleni hapo “Kwa wiki hii yote, nawaombeni msitishe shughuli za masomo hapa Shuleni ili kupisha uchunguzi wa kina kuhusu ubora wa majengo haya”
Jeshi la Polisi, TAKUKURU, pamoja na Wataalamu wa ujenzi wa Halmashauri fanyeni uchunguzi ili tujiridhishe na usalama wa majengo haya, kama itabainika kuwa yapo chini ya kiwango, italazimika kubomolewa ili kulinda usalama wa Wanafunzi wetu,”
Mkuu wa Wilaya amewatembelea pia Wanafunzi na Mwalimu waliolazwa Hospitalini kwa ajili ya matibabu, ambapo amewajulia hali na kuwapa pole kutokana na tukio
Upepo mkali na force account wapi na wapi?Umeanza kutetea ujinga sio? Au Ndio ile ya Hostel za UD
Tenda hukufanikiwa kuipataForce account ni janga
ni yeye au hao waliopo hapo karibu - madiwani na wengine?Yaan haka kabibi kaliona wapi ujenzi wa majengo ya serikali yakajengwa na fundi mchundo.