Force Account inataka kuua watoto!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Your browser is not able to display this video.

Force Account at village level!
Watu nanafikiri kujenga choo hata cha shimo, kama nyumbani kwake, ni simple business.
Wanafikiri ni kutandika vyuma na kumwaga zege, Fundi Maiko style.

Sasa katika clip, hata malaymen kijijini hapo wametambua kuwa kitu kinajengwa kiholea na kinatishia maisha ya watoto wao.

Force Account na fundi Maiko wanataka kuua.
 
Mtz ni mtz tu hata hao mainjinia nao uadilifu ni tata
 
Waache wale vya mwishomwisho... Tamati yao haiko mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…