Usimamizi mzuri ukoje??? Tueleze ili kuwe na usimamizi mzuri kitu gani kinatakiwa kifanyike, supply chain yake inakuwaje!Nakubaliana na wewe 100%, huu mfumo unachohitaji ni usimamizi mzuri ila unaokoa mamillion ya pesa ambayo yangekuwa wasted.
Hebu naomba majibu kuhusu yafuatayo, hapo kwenye Halmashauri;I agree with you. Mfano (Ila pia ubora utasimamiwa na nani kwenye halmashauri? ) .... Natumaini ipo KAMATI YA USIMAMIZI ambayo inajumuisha wataalamu wa Halmashauri i.e. Archtitects, Engineers, Economists e.t.c
Kwa maswali haya inaelekea huna ufahamu kabisa na mfumo huo. Hayo yote yanafanyika. Kwenye hiyo list ongezea pia (nani anapokea vifaa vifaa/uhakiki wa vifaa unafanywaje N.K.........[Hapa kuna KAMATI YA MAPOKEZI). Pia kumbuka Halmashauri zina wataamu ambao ni sehemu ya Kamati mbalimbali chini ya mfumo wa FORCE ACCOUNT.Hebu naomba majibu kuhusu yafuatayo, hapo kwenye Halmashauri;
1. Nani anandaaTOR, BOQ na Specifications za mradi!
2. Nani anandaa Cost Estimate ya mradi!
3. Nani anasimamia huo mradi!
4. Nani anasimamia test za materials zinazotumika kwenye ujenzi!
5. Nani ana approve hizo materials!
6. Nani ana approve malipo ya kununua vifaa!
7. Vibarua wa kujenga wanapatikanaje!
8. Utaratibu wa kuwapata wazabuni wa ku-supply materials za ujenzi ukoje na uko transparent namna gani?
Naomba majibu tafadhali, na hii itatusaidia kuelewa effectiveness ya usimamizi wa hiyo miradi kutumia Force Account ikoje!
Sio kwamba hana ufahamu na huo mfumo bali lengo ilikuwa ni kujua if at all the concept of checks and balances inakuwa exercised and executed properly ili kupata value for money kwa kazi iliuofanyika!Kwa maswali haya inaelekea huna ufahamu kabisa na mfumo huo. Hayo yote yanafanyika. Kwenye hiyo list ongezea pia (nani anapokea vifaa vifaa/uhakiki wa vifaa unafanywaje N.K.........[Hapa kuna KAMATI YA MAPOKEZI). Pia kumbuka Halmashauri zina wataamu ambao ni sehemu ya Kamati mbalimbali chini ya mfumo wa FORCE ACCOUNT.
Na ninasikitika kwamba haujanijibu maswali yangu hapo juu!πππSio kwamba hana ufahamu na huo mfumo bali lengo ilikuwa ni kujua if at all the concept of checks and balances inakuwa exercised and executed properly ili kupata value for money kwa kazi iliuofanyika!
Ninasikitika kwamba haujanijibu maswali yangu hapo juu!πππKwa maswali haya inaelekea huna ufahamu kabisa na mfumo huo. Hayo yote yanafanyika. Kwenye hiyo list ongezea pia (nani anapokea vifaa vifaa/uhakiki wa vifaa unafanywaje N.K.........[Hapa kuna KAMATI YA MAPOKEZI). Pia kumbuka Halmashauri zina wataamu ambao ni sehemu ya Kamati mbalimbali chini ya mfumo wa FORCE ACCOUNT.
Mkuu mfumo wa force account na pia mfumo wa single source ni mifumo iliyoruhusiwa kisheria na pia kupitia mifumo hiyo tenda haitangazwi.Forced accounts haifati sheria za procurement, hauwezi kutangaza tender ukiwa muumini wa mfumo huu.
Hakuna haja ya kundelea kujibiwa. Unaposema (.....hana ufahamu....) sasa sijui mada ni ya kwako au !?Ninasikitika kwamba haujanijibu maswali yangu hapo juu!πππ