FORD Mustang launch KENYA

Kwakweli nmejiona kama siishi duniani.. ! [emoji20] [emoji20] [emoji20]
ilinibidi nianze kujiliza yale maswali muhimu diani. like who am I? whats my purpose in this world? will my life always be like this? where did I go wrong... yani ilibidi nianze kufikiria maisha yangu, je tutafika huko pia sisi ama ni kujidanganya ndo tunafanya, na nini itabidi nifanye nifike huko
 

So I shouldn't have fun with my Iphone simply because it's not made in Kenya. Give it a break bro, it's true we are way behind technologically, but doesn't mean we sulk and refuse to smell the fresh air while enjoying our lives. We are still catching up, and won't happen anytime soon but we will get there some day, but hey live in the moment, drive that top-of-the range machine and accelerate it to the full and enjoy the thrill of it.
 

ndio umuhimu wa kuwa na hivyo vitu huku maana vinatia hamasa. Mimi binafsi haya magorofa ya Nairobi ndio yalinifanya nipige moyo konde na kuamua kutia bidii ndani ya maisha. Siku moja, miaka ya hapo awali nikiwa dogo, nilikua nimetulia pale bustani ya Uhuru park, maeneo ya juu karibu na community, ambapo ukiwa hapo unapata picha nzima ya magorofa ya Nairobi.
Nikaanza kujiuliza maswali mengi sana, hivi haya magorofa ni kwa ajili ya nani, mbona nisiwepo humo pia, umuhimu wangu kwenye maisha ni nini, miundo mbinu hii ipo kumnufaisha nani, waliopo humo wana nini zaidi yangu, haja gani ya kuishi kwa mazoea....nilijiuliza maswali karibia mia hivi.

Hapo nikafanya maamuzi yaani lazima nitoke kimaisha, KWA HERI AU KWA SHARI.... nikaanza kupambana bila kupoteza wakati, nikasomea kila nilichokutana nacho, nikabadilisha aina nyingi za ajira...... Hivyo kifupi, tunahitaji hayo mavitu humu.
 
kweli kabisa, hivi maisha ya kutaka ubakie pale pale ndo chanzo cha underdevelopment. Kwa nini wewe usienjoy hiyo Mustang?
Seriously hata kama ni fuel guzzler, huwezi pingana na hili gari kama babe magnet!!! Si unafaham jinsi mademu wanageuza sauti nyororo pindi wanapojua weye ni car owner. Hiyo nyororo inaongezeka mara 100 ukiwa na machine aina hii ya kunguruma kama simba mwenye jiwe kooni
 

dude you are wrong. yes we should challenge ourselves to want to manufacture these stuff (which we are btw; we have mobius, UG have Kiira Motors, Ghana has it's own Kantanka..etc)....but we can't beat ourselves up and even make it wrong to celebrate this latest development. it's like saying the west should stop enjoying the effects of showing love through the sweet freshness of our flowers since it's not being grown by them. Or that the Japanese shouldn't enjoy the luxury that comes with driving a Mercedes Benz since they have their own Prados. So basically there should be no qualms in celebrating this nice piece of development. Live free, make money buy that Mustang..Enjoy life, life is good.
 
nakwambia, mawazo kama hayo ndo yalikua yananpitia akilini, hii ndo maana siku zote, afadhali umkubali jirani akifanyikiwa, hata kama uko na ka wivu ndani yako, usimuombee mabaya, chukua huo wivu wako, ongezea na hasira zinazokuja nao alafu tumia hizo nguvu kama inspiration ya pia wewe kufanya bidii ili ujiinue na usiskie wivu tena........... lakini ukiwa na kiburi kiasi cha kua hautaki kukubali mafanikio ya jirani yako ama unafanya juu chini ili kusababisha jirani yako haendelei.... hio inamaanisha nyote mtabaki sawa sawa, hakuna atakae kua anatia moyo mwezie kwa jitihada na mafanikio yake, ziku zote mtakua nyote mna think small, mwishowe unakuta badala ya kugombana nani atachangia kujenga barabara ya lami ipite mbele ya nyumba zenu mnabaki kugombana kuhusu ukipika Omena usifungue dirisha ya mbele,hio harufu hua inapigwa na upepo inakuja kwa nyumba yangu
 
Ford hawapendi ujinga!!

Niaje kila mkenya ameshikwa n fever ya kusema

Sipendagi Ujinga

Hata ford hawapendi ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…