Ford Nyeupe - Ubungo Intersection to Sam Nujoma Road

Ford Nyeupe - Ubungo Intersection to Sam Nujoma Road

Usiache mbachaoo kwa.....
 
Ijumaa usiku walitutengenezea cocktail wakasema wameweka gin na whiskey kumbe Vant na Valuu...!

Sina hamu...[emoji3062]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Acha kabisa wahuni sio watu wazuri....

Halafu waliijaza sweet wine hivyo ilikuwa inateremka tuu kwa utamu wa wine.....!
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ahahhaahahh umenikumbusha songi la Ed Sheran....

Catch you....[emoji1360]
Hahahahaha mambo ya ....so honey now take me into your loving arms...Kiss me under the light of a thousand stars.......Place your head on my beating hear
 
Hahahahaha mambo ya ....so honey now take me into your loving arms...Kiss me under the light of a thousand stars.......Place your head on my beating hear

Ooohooooo ntaamsha madude ujue...

Weekend ishaisha halafuu...!
 
Ooohooooo ntaamsha madude ujue...

Weekend ishaisha halafuu...!
Kwa hiyo hukumkumbuka aliposemaa...I'm thinking 'bout how people fall in love in mysterious ways.....Maybe it's all part of a plan I'll just keep on making the same mistakes....na akamalizia kusema .....Hoping that you'll understand
 
Hahahahahaha kwani madolareeee unayachukuaa kizembe?

Aahahahahhhaaaa una masihara weeweeee.....!

Dolari huwa nazichukua na kusepa bila kupata madhara ...🤪.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kwa hiyo hukumkumbuka aliposemaa...I'm thinking 'bout how people fall in love in mysterious ways.....Maybe it's all part of a plan I'll just keep on making the same mistakes....na akamalizia kusema .....Hoping that you'll understand

Baanaaaaa usinitegeee....

Mie mambo hayo yakianza kujizuia siwezi ujue....!😜
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Baanaaaaa usinitegeee....

Mie mambo hayo yakianza kujizuia siwezi ujue....![emoji12]
Bhasiii bhasiiiiiii.....[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Shugaaa ile barabara na hii bajaji natafuta kutoa mchozi tuu....🤪

Lami imenyooka laini tamuuu, kuitendea haki yafaa niwe kwenye gari sio usafiri.

Hapo naweza peleka ligi hadi mtu akatamani kumuona dereva ni nani....🤪.

Kasie Mavurugu 😊.

😊
 
Back
Top Bottom