Ntarudi kesho kuusoma huu uzi labda hii konyagi nilokunywa imehamisha ubongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
We bibi usinilishe malimbe ga Mbagala kwamba wewe ni dereva wa motorcycle ya walemavu wa miguu hii sio kweliMie naendesha na mara zote nakuwa nimevaa dera. Bibi mwenye magego yake ila Matata sana
She is.........Cause honey (kasie) your soul can never grow old, it's evergreenYes please...!
I
We bibi usinilishe malimbe ga Mbagala kwamba wewe ni dereva wa motorcycle ya walemavu wa miguu hii sio kweli
Bado nazihesabu hapa.....
Denomination kama zote...
Hahahahaha bhas nimejifunza sitorudia..ila mda unaruhusu au unawahi folen
Ushaliamsha dudeee ujueeee....!!
Ongezea karibia na kwa mbikuKaribuuu
Mbagala Charambeee.
Nitaamini siku ukinipa lift ya kutoka Mbagala hadi Mbezi shamba kwa MagufuliKama huamini basi.
Ila mie bajaji ndo usafiri wangu hapa mjini.
Hiyohiyo pikipiki ya matairi matatu aka guta lenye mota π .