Ford ranger imefanya nizipende manual Transmission.

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Wakuu jumapili inaendaje,

Nina week tu tangu niachiwe hii chuma cha FORD RANGER na ofisi baada ya dereva kupata matatizo.

Nilipata tabu sana mwanzon nilikua sijamasta vzr manual japo nilikua najua coz nilisoma Driving school. Ilinichukua siku 3 tu kuimasta vzr aisee sahv nateleza tu, hii gari ni tamu sana inachochea balaa na ina balance road. Toka nianze endesha hili chombo sitaman tena automatic sahv ni mwendo wa clutch tu.

Ukiingia sehem na hii ndinga kila mtu anaangalia afu wanakuta unashuka janky tu, heshima sana kwakweli[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Nikipata hela ntanunua hii chombo ipo kwenye plan zangu
[emoji120]
 
Gari ya kiume hiyo,heshima sana
 
Chuma nakilia timing sana hicho. Heshima kwa Ford. Gari ya kiume sana. Naendelea kukusanya information kuhusu maintenance yake hapa mjini!
 
Gari kubwa kama hizo hasa diesel ukitaka kufaidi vizuri chukua manual transmission gearbox.
Ni tam sana hasa upate safari ndefu kama Dar to Mwanza ama mbeya.
Nb; Ford wako vizuri japo naprefer Hilux D4D invincible 3.0 diesel
 
Same here.. Toyota kwa sasa wanawekeza sana kwenye gari za mtindo huo (double/super cabin) hivyo najikuta ndoto zikihamia kwenye toyota siku baada ya siku
 
Chuma nakilia timing sana hicho. Heshima kwa Ford. Gari ya kiume sana. Naendelea kukusanya information kuhusu maintenance yake hapa mjini!
Wala haina gharama kubwa,za matunzo km wengi wanavyodhania.
Spea zipo(zinaingiliana na mazda)

Service ya kawaida haivuki 100k
 
Same here.. Toyota kwa sasa wanawekeza sana kwenye gari za mtindo huo (double/super cabin) hivyo najikuta ndoto zikihamia kwenye toyota siku baada ya siku
Wanajitahidi sana halafu uzuri gari zao ni reliable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…