Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Wakuu jumapili inaendaje,
Nina week tu tangu niachiwe hii chuma cha FORD RANGER na ofisi baada ya dereva kupata matatizo.
Nilipata tabu sana mwanzon nilikua sijamasta vzr manual japo nilikua najua coz nilisoma Driving school. Ilinichukua siku 3 tu kuimasta vzr aisee sahv nateleza tu, hii gari ni tamu sana inachochea balaa na ina balance road. Toka nianze endesha hili chombo sitaman tena automatic sahv ni mwendo wa clutch tu.
Ukiingia sehem na hii ndinga kila mtu anaangalia afu wanakuta unashuka janky tu, heshima sana kwakweli[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Nikipata hela ntanunua hii chombo ipo kwenye plan zangu
[emoji120]