Ford Ranger pickup

Naomba bei ya Navara mkuu hasa kama used ipo
Used mpaka Dar zina range $13000-$18000, inategemea na mileage. Ila sisi tulinunua new maana ilikuwa ya kampuni ya Mzee, alileta 5, kila moja mpaka Dar ilikuwa $45000, 4*4 DX, 2.3L diesel 6 speed manual double cab.

Kwa Nissan ni kheri ununue mpya, mpaka sasa haijatusumbua kabisaaaaaaa zipo Kakonko huko. Kama utanunua used usinunue iliotembea zaidi ya 100k alafu diesel bora iwe petrol kama imefika hizo mileage.. Mtazamo wangu tu.
 
Ford Ranger kimuonekano ni kali kuliko Toyota Hilux. Hata ukiwa nayo ya mishe za town hakuna atakaekushangaa. Wahindi wanazipenda na wamezipimp balaa. Ila Hilux Baba Lao bana.

Ford kwenye tope na mishe za Shamba unaionea tu. Bora uende nazo picnic ubebe crate za bia na mengine.

Ila Hilux nahisi ikiona tope lile la mfinyanzi inasemaga Yay 😜😜. Tena ikiwa na mkonga inapendeza sanaaa.

Amarok sina experience nayo but kimuonekano inanikumbusha Dodger truck. I think experience yake itakuwa marvelous pia.
 
Ok..
Mkuu hivi Holux inachezea ngapi?
 

Ford Ranger gari ya starehe....siyo gari ya kuendesha kwa hela ya mafao. Sina experience na Hilux. But mimi both interior na exterior ya Ford Ranger naielewa sana!
 
Cruise auto spare ni wauzaji wa spear party za magari
Jeep,
BMW,
Audi,
Land rover,
Porsche,
Volkswagen,
Chrysler,
Range/Land rover

Duka linapatikana MAKAO MAPYA,EDEN ROAD jirani na cafe laziz restaurant,Arusha

Kwa mawasiliano piga +255743805465,+255786050747
Email:cruisespares@gmail.com
Fb&IG:cruiseautospareparts
Website: Home | CruiseSpares
Pia usisite kuwasiliana nasi pia tunatoa ushauri.
 
Ford wameiwezea ile appearance ya nje tu.

Ila kwa ndani ipo very basic halafu haina mbio.
 
Ford wameiwezea ile appearance ya nje tu.

Ila kwa ndani ipo very basic halafu haina mbio.

Mbio za kwenda wapi? Inategemea na matumizi yako mkuu. Kama unataka ya Rally hapo sawa. Lakini kama ni hizi mishe kwenye barabara za Kunenge speed iko powa........Hivi Tz kuna barabara za kupiga gear zaidi ya 120+? Mi naona hapo ni kumjaribu Muumba wako tuu hakuna namna.
Wengi tunapenda Toyota kwa sababu ya changamoto za barabara zetu na uwezo wa kiuchumi pia. Ukweli ni kwamba hata ungekuwa na kipato cha chini uwezo wa kumilika usafiri wa Toyota upo. Imagine million tano unapata ndinga...Ni kama VW Ulaya....

Mwisho wa siku mabeberu wanafanya biashara. Kuna nchi unaweza tembea asubuhi mpaka jioni....hujakutana na Toyota. Ni swala la marketing na ushawishi. Hivi kiuhalisia ni waTz wangapi wanaweza kuvuta V8 au V10? Ndo maana mengi ni ya serikali ambayo yanalipiwa na kodi zetu. Au hata gari mpya wangapi tunaweza kuzimiliki? Ni wale wale..usual suspects.


In all kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake. Sioni kwa nini mtu mwenye uwezo wa kuvuta machine ya 100+ awe na mawazo ya spare parts za million 5+.

Choices have consequences ! Na by the way kwenye uchumi wanasema.. jinsi hali ya uchumi inavyoimarika hata tastes zinabadilika. Ni kanuni ya maisha!
 
Bro.

Maelezo mengi sana mbona?

Unaniuliza mbio za kwenda wapi?

Napenda mbio rafiki angu. Tena mbio kwelikweli. Ila sio hizo za rally.
 
Cruise auto spare ni wauzaji wa spear party za magari
Jeep,
BMW,
Audi,
Land rover,
Porsche,
Volkswagen,
Chrysler,
Range/Land rover

Duka linapatikana MAKAO MAPYA,EDEN ROAD jirani na cafe laziz restaurant,Arusha

Kwa mawasiliano piga +255743805465,+255786050747
Email:cruisespares@gmail.com
Fb&IG:cruiseautospareparts

Pia usisite kuwasiliana nasi pia tunatoa ushauri.
 
Hilux is the best asikwambie mtu. Hizo nyingine weka pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…