Kuna video fulani YouTube ilikuwa ina compare haya magari. Walikuwa wanaangalia lipi lina nguvu. Toyota Hilux ili yavuta yote. Najua hii sio comparison nzuri, cause type ya tyres na ubora wake una matter.
Toyota Hilux ili lose kwenye comfortability na having cheap interior. But at the end waka conclude kuwa Toyota hilux is the king of Off-Road(just like the brother Land Cruiser V8). Lakini kwenye terms ya on-road, Amarok na Ranger zinachuana.
Conclusion:
Personal experience, tulishamiliki Amarok, Navara na Hilux. Amarok tamu ila sasa issue spare. Off road ilikuwa poa tatizo it felt like it didn't wanna go there. Yani mpaka wewe mwenyewe unasema hili gari la masaki la kubebea Windhoek. Kwanza tulikuwa Kahama, tulipata puncher mara 7 in 2 days[emoji15] [emoji15] sijui bad luck au tyres zake vimeo. Kuja kupata spare sasa... Mpaka Dar, schedule ikaharibika. Nivara, sina usemi aisee. It did fine. But seats zinabana. Lastly Toyota Hilux the animal 2013 model, this thing was a beast tyres hatujawahi kupata puncher, tunabadilisha miles zikifika. It screams 'I want to go Off-Road' hii machine haijawahi nidissappoint. Spares kwa wingi, very powerful and economical. Mie sijali sana kuhusu luxury but to me naona it was enough. Btw ilikuwa Diesel 4 cylinder. To me Toyota Hilux trumps all the above [emoji115] [emoji115] [emoji115]
-callmeGhost