Foreign investor in racism row: "the work was never done"


Huajaambiwa Watanzania wanachelewa kazini ama mahala popote na wala hujaambiwa Watanzania wanawahi kuondoka kwenda makwao umeambiwa huyu jama anawaita MANYANI WEUSI. Do not change the topic, otherwise anzisha thread nyingine.
 

kwako Fairplayer;

Alichosema Macho Mdiliko Ni Reflection Ya Watu Wengi Kuliko Wenye Mawazo Uliyo Nayo. You Can Do A Simple Study To Prove

Cha Maana Ni Namna Ya Ku-address Hayo Mambo Na Ku-propose Way Forward

 
Last edited:

fisadi fisadi
 
kusubiri hadi kesi kama hiyo kujakufikishwa mahakamani ndio itachukua milele. na hii inakuja kwa kuwa kaburu ana pesa na aliyemshtaki hana kitu.

ni aibu kweli mtu kunyanyaswa kwa rangi, lakini sometimes hua sishangai sana. sisi watu weusi wenyewe tuna ubaguzi kweli kweli, kama hatutombagua mtu kwa rangi basi tutambagua mtu kwa kabila, dini, ukoo nk, japo mtanzania mwenzetu.
 
Endeleeni kufikiri hivyohivyo na kuzomea. Mtazomea weee mwisho koo zitawakauka.

Kumbukeni zamani USA Jews, blacks na Mbwa wao walikuwa grouped in the same category. BLACKS WENZETU wakaanza kulalaimika na kutaka HAKI SAWA. JEWS WAKAANZA KUFANYA KAZI KWA BIDII, wakijua kuwa wakiwa na hela wataheshmika.

Leo hii BLACKS bado wanalalama lalama tu, JEWS hawamo tena kwenye kundi linalodhaniwa linabaguliwa. Blacks bado wanaendelea kulalamika na kuuwana bila sababu kila kukicha.

WAAFRIKA WEUSI NDIVYO TULIVYO!!!!

FairPlayer
 

Nenda home fanya homework yako vizuri utaelewa kwanini tuna ardhi tele na yenye rutuba na bado ni masikini.
 
SteveD,

The Truth ana point ila hazina nguvu kabisaaa. Naomba akijibu mjibuni kwa kiswahili mtaona ananyamaza. Naona ana wadrive muandike kwa kiingereza.

FairPlayer
 
Fair Play

Arthi yenye rutuba ni mojawapo tu ya vigezo vya kuondoa umaskini.

Hivi ndivyo vinavyohitajika: Arthi, Watu, Siasa Safi na Uongozi bora. Usichukulie hii kama listi tu, ichukulie kama points za kupanuka zaidi ndipo utaelewa JKN alikuwa anamaanisha nini.
 
fisadi fisadi

Kokolo, heshima mbele Mkuu..... naona umeniquote na kuweka maneno "fisadi fisadi" hapo kidogo nadhani nimeshindwa kuelewa una maana gani Mkuu, unaweza ukanifungua macho Mkuu? Tafadhali!!

Back to the point, naona kuna thread nyingine imeanzishwa kuhu wafanyakazi wa hawa Makaburu hapa nchini. Najua kuna waliosema kwamba sisi tu wavivu na kadhalika lakini jamani kama kila mtu analalamikia mambo ya hawa waAfrika wenzetu wa kusini (weupe) lazima kuwe na jambo manake walisema wahenga kwamba lisemwalo lipo!!!

Thread yenyewe ni hii:
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=16039
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…