Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Je kwa indicators hizi, Current trend ya GBP/USD, Je ni muda sahihi wa kusema unananunua GBP/USD pair.?

View attachment 524359

CC: Ontario, Bavaria.
Hapo nnavyoona hiyo pair ipo kwenye oversold. Ukisema usell itakula kwako, itageuka.
However, indicators sio ideal tools kuzitumia kufanya maamuzi. Hizo zina lag, hazikupi real time ya movement ya pairs.
Ulitakiwa ununue ikiwa inaanza kushuka..
Indicators zipo nyingi mno na zina kazi zake. So you need alot of practice and understanding of indicators.
So far you are good.
 
Complex
Kila indicator ina kazi yake na kuna jinsi ya kuzitumia. Ila sio za kuzitegemea sana zikakufanya ujiamini.
RSI ni tofauti kidogo na MACD au Bollinger Bands.
Hizi indicators ni kwa ajili ya kusupplement baada ya kufanya analysis zako zingine.
I think the best is Ichimoku Kinko Hyo. Kidogo hii inaweza kukupa real time pic.
You need alot of parctice kwenye indicators cause they have alot of lags.

Unajitahidi kaka. Keep it up.
 

With time i hope i ll be better. So far nimepitia MACD, RSI, Stochastic, EMA, SMA na DMA.

Hizo ichimoku, Bolinger ndo nazivutia kasi hapa weekend hii nikomae nazo, naona ndo zinafuata katika next chapter ya hiki kitabu nnachosoma.
 
With time i hope i ll be better. So far nimepitia MACD, RSI, Stochastic, EMA, SMA na DMA.

Hizo ichimoku, Bolinger ndo nazivutia kasi hapa weekend hii nikomae nazo, naona ndo zinafuata katika next chapter ya hiki kitabu nnachosoma.
Okay. Vizuri..
 

Hahah, hapo kaka kama ningekuwa katika biashara, ningenunua. Kwa maana kama ulivyosema hapo kwa kuangalia RSI ipo below 30, stochastic ipo below 30, MACD signal histogram/line tayari ipo zinacross each other. Inamaana hii si buying signal, kwa maana nimeona zote tatu zimetick ndo maana nikatoa comment ya kununua.

Na vipi next candle ilikuja sudden bullish candle, je hii imetokea tuu kwa bahati mbaya.?
 
Hehe mkuu naona unaenjoy!! At least huku you can see it coming kama mabomu yakitegwa vizuri

Angalia usije sahau Login Usernames na Passwords za wale wa kule kwenye saver errors [emoji23] [emoji23]

12 August is near, Save the date!

Hahahaaa, kule tumejadiliana na Raimundo, na Root tumeona tuchukue likizo isiyo na malipo aisee. Maana hali ilikuwa inatisha.
 
Kama nilivyokwambia indicators ni supplementary tools za ku-confirm analysis zako.
Na inaweza ikawa ni fib retrechment level.
So, its hard to use indicators kufanya analysis.
 
Kama nilivyokwambia indicators ni supplementary tools za ku-confirm analysis zako.
Na inaweza ikawa ni fib retrechment level.
So, its hard to use indicators kufanya analysis.

So nini haswa kinakupa confirmation ya kuingia ama kutoka katika trade tofauti na hizi momentum indicators na pattern.?
 
Kama nilivyokwambia indicators ni supplementary tools za ku-confirm analysis zako.
Na inaweza ikawa ni fib retrechment level.
So, its hard to use indicators kufanya analysis.
duh so kikubwa unatakiwa ubase kua naked trader rather than kutegemea sana indicators ee?? Bavaria
 
Nacheka sana. Ni furaha kabisa nikipita humu naona discussions zinaendelea. Msione nimekaa kimya, hua nasoma kila post tangia post ya 1 hadi hii ya 3213. Nikiangalia comment kama hii naona mwanga, nilivyokuwa infant trader nilikua nina akili kama zako boss. Yani ulikua ukifungua charts zng unakuta kuna indicators kama 10 hivi, nilikua naziamini sana hizi makitu.

With time zikawa zinapungua. Leo hii ukiona analysis yangu hukuti indicator hata 1. That's being professional, hkn Pro anayetumia indicator, utakachokiona kwenye charts zake ni horizontal na inverted lines. Tena saa zingine mtu anaangalia tu hivi charts anajua nini kinaendelea bila ya mstari wwt. Hiyo ndio maana halisi ya Naked forex, yani charts ziwe uchi, zisizibwe zibwe na indicators. Patterns hazijawahi kumpoteza mtu, floor and ceiling ndio mchawi wa price action.

Na hii ndio strategy nataka team nzima itumie... The winning major keys!!

Kuhusu kitabu
Imenichukua muda mwingi kujibu kuhusu kitabu nilichokizungumza awali, sikutaka kujibu kitu ambacho sina uhakika nacho. Siku zote nipo Dar hapa kushughulikia mambo ya hii forex, kitabu nilikua sina access nacho, nilikiacha Bagamoyo.

Kile kitabu bana hata mimi sikukinunua bookshop, nilikichukua kwa mwanangu mmoja SA. Yeye alipewa alipokua ameenda forex course England kwenye darasa la AstroFX, so ukilipa $5000 kama fees unapewa na hicho kitabu as learning guideline.

Kitabu kimeandikwa na Aman Natt na Shaun Lee, kinaitwa learning guideline by AstroFX - mastering technical analysis. Kimetoka mwaka jana July kama sikosei. Kitabu kitamu sana hiki kwa level yenu - bado sijapata mawazo mazuri kutoka kwenu ili kila mtu ambae yupo interested akipate. Mimi mkiniambia nifanye chochote, I'll just do that kwa roho nyeupe, msiposema kitu pia nami nakausha, sina cha kupoteza, mimi nimeshakisoma mara 4.
Hapa screen shot ya cover page

Hapa table of contents.


Zaidi ya yote - mambo yanaenda vizuri, mnaeza kudhani Ontario amelala tu kitandani anatrade account yake, but kiukweli nafight sana ili office iwe up and running ASAP. Msione nachukua muda mwingi, I am preparing the best thing for us all. Mambo yataanza soon. Let's keep the faith.
 
naked forex ni mass nondo kwa naked traders swali langu je kuna kitabu cha aina nyingine chenye falsafa za naked kama kipo itakua poa sana ukikitaja wakati tunasubiri icho kingine
 

May God forbid all obstacles overcoming your plans.
 
TUKO PAMOJA ONTARIO,KUHUSU HICHO KITABU-LEARNING GUIDELINE BY ASTRO FX- MASTERING TECHNICAL ANALYSIS,MIMI NAUNGANA NA WOTE WALIOSHAURI KITOLEWE HARDCOPY THEN TUKALIPIE HAPO STATIONERY
 
Kama unacho hiko kitabu mkononi, tafuta stationery yeyote inayotoa copy cheaply then uwaagize watu wakachukue copy hapo.
Mfano. Unatafuta stationary pale survey, unakiweka hapo, anaetaka copy anaenda kuchukua hapo kwa wakati wake.
I think this will be the best idea.
 
Binafsi natumia indicators kuangalia kama pair ipo oversold au overbought.
Miaka fulani indicator ilinipeleka chaka hadi leo sitaki tena kuziamini.
 
Meta trade 5 mkuu, humu hatuna hiyana kabida. Ontario amewabadilisha watu kuacha roho za kichawi. Mwanga akiingia humu anabadilika au anahama mazima.
hivi reverage mmeweka ngapi je nzuri ni ipi ya 1:1 au 1:100 & above?
 

Mkuu tafadhali fanya kukichapa, weka stationary kadhaa then tupe location tukifate
 
NAWAOMBA WADAU KAMA TUMEMWELEWA ONTARIO KUHUSU KITABU HICHO ,BASI NI MUHIMU KILA MTU ANDIKE WAZO LAKE JINSI YA KUKIPATA KITABU HICHO,HIVYO NI BORA TUKASIMAMISHA COMMENTS ZOTE KWA MUDA ILI KWANZA TUSEMECHOCHOTE KUHUSIANA NA KITABU HIKI,HEBU TUCHANGAMKE BASI
 
Tuko pamoja kamanda.. Kuhusu hicho kitabu ushauri wangu ukiwa hapo dar naomba utusaidie kujua gharama ya copy na utoe copy kwa oder na kwa cash.. Nikiwa na maana atakae kihitaji atume hela umtolee copy na aje achukue mwenyewe.. Hi pia inaweza kua moja ya interview kwa wanafunzi..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…