Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

hahahahaaa, yaani hapa kaka baada ya kuingia deep katika hizo indicators nikajiona tayari naelekea kumaliza na kuanza kumaster trade. yaani hapa ukiona chart window yangu nimejaza maindicator macho yote yapo katika indicators.

ila mdogomdogo tutafika tuu.
 
Astrofx walikua na live webinar jana. Pamoja na mengine walisema wanamalizia maandalizi ya ku-launch website yao...itaitwa everythingfx.Walionyesha pia demo ya hiyo website ambayo itazinduliwa July 1. Kwa jinsi ninavyoona hizo content za kitabu ni almost similar na content za website, plus other detailed weekly technical analysis...
 
ilo suala la kwamba kila mmoja aje kuchukua mwenyewe napingana nalo koz wengine tupo mikoan tutatumia ndugu kuagiza icho kitabu, kuhusu suala la interview halitawezekana kwasabab ya muda mwache ontario ashugulikia masuala ya ofisi interview watafanyiwa darasan.
ishu muhimu ni kitabu kipelekwe stationary tutakifata na namna yeyote tusicomplicate mambo
 
naunga mkonyo hoja, sor mfupa hauna ulimi[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
indicatora hazijawah muacha mtu salama bro acha tujifunze kua naked traders
ila nadhan indicators zinasaidia kujua vtu vng mno so endelea kuzimaster hizo indicators
 
Nimeona kitu kama hiko.
Ila ni vizuri kuona kitabu kinasemaje.
"Kiu ya Mafanikio haichagui cha kusoma"
 
Mkuu hayo yalikua mawazo yangu Na ishu ya kua mkoani sio ishu sana coz me mwenyewe niko mkoani.. Ila ninachoamini penye nia pana njia.. Sijasena Ontario ndio atumie muda huo kwa interview laah hasha.. Ila we kujituma hata kufuata hicho kitabu.. Inaweza ikawa interview kwako.. Asante
Nawsilisha.
 
Binafsi natumia indicators kuangalia kama pair ipo oversold au overbought.
Miaka fulani indicator ilinipeleka chaka hadi leo sitaki tena kuziamini.

Hahahaha, mkuu indicators zilikufanya nini.? Zilikuchomea akaunti nini.?
 

Kaka hamna Haja ya kusubiri watu watoe mawazo kuhusu kitabu maana hatutofika muafaka.

Kipeleke stationary inayo aminika kwa maana ya uwezo wake wa kuto copy ya spidi na ambayo ipo center ya mji panapo fikika kirahisi na kila mtu halafu kila mtu akanunue copy mwenyewe.

Wa mikoani mtatuma Jamaa zenu wa huku dar wawanulie na kuwatumia huko mlipo

Tufanye maamuzi tusonge mbele
 
Sure.
 
Kama alivyosema mkuu bavaria, binafsi sina budi kukubaliana wazo la bavaria maana itakua njia rahisi zaidi isiyo na mlongolongo..
 
Mkuu Ontario big up brother....keep on fighting, we are praying for you and may God be with u in all struggles...Nilikuwa nakubaliana na wazo lako la kufanya mpango wa kutoa hardcopy ili wale walio dsm waweze kuwa na access na kitabu hicho ktk stationery au sehemu ambayo itakuwa accessible kwa watu....na pia wale wote wa mikoani tuangalie utaratibu mzuri wa kuvisambaza huko according to people's needs...
Ahsante, nawasilisha boss[emoji120]
 
Pole kwa majumu mkuu Ontario sisi tuliopo mikoani tungepata hata kwa soft copy ama kwa njia yeyote utakayoipendekeza roho zitatulia.
 

Mkuu najua upo tight sana na pm hujibu Ila Nina proposal Fulani ya biashara lakini naona kule kwenye uzi wa ushauri wa biashara haujibu kwahiyo nisamehewe kuja hapa maana najua sio mahala pake.

Naomba niku pm namba yangu tuonane tuongee.

Mnisamehe wadau wengine
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…