Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Naomba nijue hiyo training inafanyika lini na kama ni dar tujue tu nakuja au mrekodi then tanunua CD za masomo tusome mi naitaji kuwa bilionea bhana na hicho kitabu pia na pia Mimi nimefungua demo ya Fx kuna mwalimu wangu ananipigia simu kutoka malekani ananifundisha jinsi ya buying and selling kwa kutumia mkwanjwa wa $50,000 kama training napenda sana hii biashara na siku nikijua vizur sioni hatar kutafuta hata $70000 nikawekeza kikubwa naitaji mafanikio bhana mlio na uelewa nyie tupeni darasa tuyaone mafanikio
 
Du toka lini jamani mbona hivyo kuna mtu yeyote au wewe uliepata Bahati katika hili tuwasiliane nijue mmefundishwaje nami nipate maarifa
 

Sinaga kabisa utamaduni wa kufungua jukwaa la biashara
Lakini ghafla tu tu juzi nilijikuta nimelifungua na nipo ndani ya hii thread i dont know how but nilichokikuta ndani ya hii thread ni muujiza kwakweli
 
Ujue maelezo yako tatizo hayapo straight unavyoongea ni kama umefanya vyote hivyo ndani ya siku 1 kumbe unaongelea wiki nzima
haha hapo nimeongelea siku iliponza safari yangu ya mafanikio
 
kwa juzi nimepata moyo sana wa matumaini, nimefanya trade kwenye demo ndani ya masaa mawili kwa kuanza na mtaji wa dollar 500 hadi kutengeneza dollar 108,000. hizi hasira hazijawahi kumuacha mtu salama.
Mkuu Saa ngapi na tuko weekend..au unazungumzia ijumaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
kwa juzi nimepata moyo sana wa matumaini, nimefanya trade kwenye demo ndani ya masaa mawili kwa kuanza na mtaji wa dollar 500 hadi kutengeneza dollar 108,000. hizi hasira hazijawahi kumuacha mtu salama.

Soko lipi
 
Ontario na wengine

Leo nimeona nidownload hivyo vitabu ambavyo ni recommended
Ila mimi nitaprint kabisa, sio kwenye printa za black n white bali nitapeleka kwa publishing house(Nafahamiana na watu hao) atakipanga vizuri, ataprint na kitatoka kama kitabu halisia kwani atafanya perfect binding na lamination kwa juu
Sababu ya kufanya hivi ni kuwa mimi huwa ni mvivu wa kusoma kwenye softcopy kwani macho huniuma....
Kikiwa tayari nitawaeleza kwani si wote wanaoweza soma kwenye soft copy

Nikimaliza nitawajulisha wote au nitawasiliana na Ontario afu yeye atawajulisha nyinyi

Ila hili nitafanya kwa ajili yangu na nyinyi ili ikitokea mtu anataka basi vikiwa tayari tutajulishana
 
Mm moja Kwa moja nahitaji my number 0718905491
 
Mm moja Kwa moja nahitaji my number 0718905491
Bado hata hakijapangwa kwa ajili ya printing
Kikimalizika nitawasiliana na Ontario na Sample za hivyo vitabu vyote 3
Yaani Naked Truth, Art of technical analysis na currency trading for dummies
 
Kwa muktadha uliomkuta Mkuu Onta nina machache yakutoa ushauri hasa kwa roho zetu watanzania.
1. Mkuu Onta kwanza pole, lakini hongera kwa busara ulizokuwa nazo kwa mtu kama mm huyo jamaa ninge open taarifa zake kila mtu amuone kisha angeambulia matusi ya haja sana na kama ni mtu nafahamiana nae basi urafiki ni off on da spot. Umetufunza uvumilivu ila hapa natamani kununua kesi.

2. Kuna hatari naiona mbeleni hapo ila sina uhakika na magnitude yake. Baada yakuweka baadhi ya taarifa zako wazi, uwe makini kidogo mkuu sisi watanzania shetani alishahama nchi hii siku nyingi, aliona akiendelea kukaa tutamla kichwa. Hii wanayotaka kuileta watu wapumbavu ni vita.
Kuna wanaoona unajidai sana, unajisifu sana ingawaje si tabia zako, hawa hawashindwi kukugonga hata kwa gari ukipona basi utakuwa kilema wa maisha na kusitisha ndoto zako, ongeza umakini sana mkuu katika mienendo yako. Watanzania si watu wa sayari hii kwa roho mbaya.

3. Ofisi yako hakikisha unaifunga security camera kila kona, kila sehemu. Gari yako ifunge security camera. Kuna watu si wema hii itapunguza risk na itarahisisha vita hii.

Anayekumwilika mchana usiku mchome
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…