Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Pamoja mkuu.. Pia nikuulize tunacho kifanya kwenye demo.. Ndio soko halisi lilivyo.. Au kuna mambo ambayo yamefichwa..? Au ndio ma broker wanawapa new traders motisha..maana naona wadau kwenye demo wanatusua nikiwepo mmoja wao.
Complex
 
Kaka Saa7 au saa 6?? Mm najua ni saa sita kamili usiku Jumapili ndio linafunguliwa na kufungwa saa 6usiku ijumaa

Ni 10 PM GMT, wewe unasema saa 6 usiku uliona wapi hii statement.?
 
Umebadili maisha ya mtu mmoja.
Naamini tutaendelea kubadili maisha ya wengine.
Leo nnafundisha forex ndugu na jamaa zangu.
Bado ndoto yangu ya kuwaachisha watu kubet na kuhamia forex.
Hongera sana kaka.
 
Pamoja mkuu.. Pia nikuulize tunacho kifanya kwenye demo.. Ndio soko halisi lilivyo.. Au kuna mambo ambayo yamefichwa..? Au ndio ma broker wanawapa new traders motisha..maana naona wadau kwenye demo wanatusua nikiwepo mmoja wao.
Complex
Kwenye demo unapata picha ya jinsi mambo yanavoenda lakini ukiweka hela yako kuna kitu inaitwa Psychology of trading ndo ina husika maana unaogopa kupata lose au kuchoma account yako [emoji4] [emoji4]
 
Reactions: MC7
Am in bro together mpaka SA
Durban huku tunagonga glas na akina MLU [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
yeah...kwanza kwa kuzingatia avatar ya Ontario nlijenga picha kichwani kuwa maybe ni kijana tuseme umri miaka 28-33 hivi...sasa wacha nigundue kuwa ni young blood kiasi hicho..dah!!kisha ongezea na ile picha ya MLU...ongeza na hii ya Sandile..weeeeeeeh...yani nimekuwa challenged sana aisee..imenibidi nizidishe efforts ili hiki kitu nikielewe kwa usawasawa tena in and out...if only you will pay the required efforts,uzi huu una madini ya kutosha kukufanya one of the few young africans swimming in pure wealth..ila na wewe huo muda ukifika usiwasahau wengine...[emoji120]
 
Swali langu lingene kwa wadau.. Nikiwa nimefanya biashara, ukawa umefika muda soko linakaribia kufungwa wakati huo bado cjafunga biashara coz bado naona nina loss.. Hapo natakiwa kufanya nn,, au nn kitatokea endapo soko litafungwa na mm cjafunga biashara..?
 
Reactions: MC7
mkuu mbona swali lako raisi, embu vuta picha ndio uko soko la kariakoo imefika sa 12na mahitaji bado hujapata na wafanya biashara wanafunga biashara zao, utafanyaje..
au pia washafunga na ww bado umesimama apo sokon utafanyaje. majibu ya hapo ndio majibu ya huku pia.
 
ONTARIO
Nimesikitishwa na watu wanaotaka kukurudisha nyuma. Nimesikitishwa na chuki inayoanzwa kusambazwa na watu.
Binafsi nakusihi usikate tamaa, usipoteze 'focus' ya malengo na nia yako.
Fanya kile unachoamini ni sawa kwako.
Mafanikio siku zote yana vikwazo, umeshaanza kupata vikwazo hata hujaanza, ila jua siku moja utapiga hatua zaidi ya vile unavyotegemea.
Wapuuzie hao watu, wasikuharibie 'focus', mradi una legal paper kutoka kwa govt. Basi songa mbele.
 
mkuu kuna kitu kinachoitwa roll overs..hizi ni interests unazozipata (whether positive or negative depending on your position in relation to the current trend in the market).

kama ulikuwa tayari unapiga faida kisha soko likafungwa kabla hujaexit,interests zako zitakuwa positive,hii ina maana utapata faida kiasi kikubwa kuliko ilivyo kawaida...

kama ulikuwa kwenye reds,yaani loss,hizo interests zitakuwa negative hivyo utaishia kuwa na loss kubwa by the time soko linafunguliwa for the next sessions..

sasa hapo utapendelea hatua gani?..kufunga soko na loss ya $300 au kungoja hadi roll overs zijumuishwe ili uishie na loss ya $330??

huo ndio uelewa wangu wa roll overs..mitazamo mingine inakaribishwa kwa nidhamu kabisa....

NOTE:usifanye trades zako kwa kuhusisha emotions..imeandikwa mahali kuwa soko halitambui emotions zako hata kidogo..litazidi kufanya litakavyo whether litakuuniza au likakupendelea.

anyway,jifunze kuapply orders zitakusaidia sana mkuu..
 

Hii kitu imenitokea juzi ijumaa kwenye demo account. Trade zote zili stack yaani zilisimama na chart pia ilisimama palepale nilipo ishia na mpaka sasa ipo hivyo.

Ila nilisoma kwenye kitabu kuwa soko likifunguliwa j3 market itaenda kulingana na status ya uchumi kutokana na matukio ya weekend kwahiyo taarifa za uchumi na interest za currencies za j3 zitaathiri chart pengine nisipate faida Kama ambavyo trade nilivyo iacha ijumaa. Nasubiri j3 nione kwa vitendo
 
ONTARIO
Nimepata wazo.
Unaonaje kwenye hiyo ofisi yako ukawa na Traders Lounge? Yani unakuwa na ukumbi ambao una AC, Wifi, na facilities zote zinazomuwezesha traders kumake money?
Hiyo traders lounge inawakutanisha wale wote wanaofanya live trade toka sehemu mbalimbali za Tz. Kwahiyo wanakuwa wanakuja hapo, inakuwa kama ofisi yao. Wanakutana wana discuss strategies mbalimbali na wanafanya trade zao 'live' hapohapo.
Inakuwa kama lounge fulani hivi..
Na kwa kuanzia, malipo tufanye yanakuwa kama 200$ kwa mwezi kwa kuanzia.. Hiyo inakuwa membership fee.
Hilo ni wazo langu..
 

Upo sahihi Ila rollover ina angalia tofauti za interest rate kwenye nchi husika zenye currencies kwenye pair yako. Kama ni USD/JYN Ina maana Ina angalia interest rate ya US na Japan sababu hizi interest rate zina impact kwenye uchumi na matokeo yake kwenye forex trade pia.

Hivyo system itakupa faida au hasara automatically kulingana na matukio ya kubadilika kwa tofauti za interest rate kwenye nchi husika wakati soko limefungwa regardless ulikuwa unapata faida au hasara wakati soko linafungwa
 
Pamoja sana mkuu.. Inapendeza tukipeana maujizi na mauzofu kama hivi..! Ili tukifika class nikuteleza tuu..
 
Wazo zuri sana mkuu kuhusu traders lounge.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…