Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
This is such a fantastic idea my biggest boss

Sikuwahi kufikiria hii kitu mkuu sana, yani sikua nayo kabisa... Thanks for the digestion.

Space niliyochukua ina sqm 236, ambapo kila sqm ni $15/month. So kwa haraka haraka hii space haitatosha kwaajili ya kuweka hiyo lounge. Pia nnavyoona active traders kwa sasa hawapo wengi kiivyo, so nikisema nichukue office space ambayo ipo jirani hapo, say kwa $2000/month. Kisha monthly subscription iwe na watu wa4 itakua ni kama loss.

So nahisi baada ya batch 2 hivi, nina uhakika kunaweza kua na monthly subscription zaidi ya watu 100... hapo jirani na office yangu kuna space free ya sqm 170. Pale tunapafurnish vizuri, tunaweka kama executive lounge, free wifi, meza kali, viti vikali, AC murua kabisa, soft drink and coffee, TV screens kwajili ya news, yani kama VIP fulani very exotic.

Tunaeza kuanza na subscription fee ya $200, na mtu akisubscribe maana yake anapata access ya umeme, Internet, market updates, live tradings, kupiga story kiujumla, sharing life experiences, kusocialize n.k. it's really a cool idea. Wote tunaingia na kuexit trades kwa pamoja, tukichoka tunavuta ice creams tunaanza story mambo mengine huku tukisubiria soko lipumue. This idea is sooo cool. Siku tukichelewa kutoka, tunaangalia UEFA humo humo, na weekends zingine tunakutana kusukuma EPL.

Nimeattach tu random picture ya mshkaji angu Ashley mSouth Africa, he's a good trader... siku moja moja tunakua tunawaleta kushare experience nk nk.
(huyo aliyesimama), he's just 22 but inspiring
 
nakubaliana nawe kaka...kweli kabisa..ila hebu tuangalie mfano huu hapa

tuchukulie ulitrade GBP/USD kabla ya rollovers

GBP ikawa na interest rate ya 3.48%
USD ikawa na interest rate ya 0.27%

interest rate differential=+3.21%

hapa,rollovers itakuongezea interest ya 3.21 kwenye profit yako maana ulikuwa LONG

kama ulikuwa SHORT,interest rate differential itakuwa -3.21 hivyo utakatwa kwenye returns zako..

nisichokielewa hapa ni hiki,

je,waweza kuingia loss wakati tayari ulikuwa unakula profits wakati soko likifunga?..

maana kama nilielewa vyema ni kuwa unapodecide kwenda long,ni kama umeweka pesa zako kwa bank(deposit).na hapo bila shaka utavuna interests..kama ukienda Short,ni kama umechukua loan na lazima utalipia interest zao..

hii ndiyo sababu nikasema kuwa kama ulikuwa unakula profits katika trade yako kisha soko likafungwa,utazidi kula profits wakati rollovers zikiapply.
kama ulkuwa kwa loss bado utazidi kula loss..

***mtazamo wako unakaribishwa ndugu yangu
 
Watanzania nyoso
 


Hapa nilikua najaribu live, just imagine ningekua nimeweka $1000 ningekua nime make kimtindo.
Hii sio Fiat currency trading ni Cryptocurrency trading nilianza na $1 tarehe 21-May but leo nina $6.1
 
Ontari0 the Legend..

Let me call you, LEGEND!

Kwa kidogo ulichonipa hadi sasa hapo nilipo for weeks now..Thanks alot and GOD bless you.

Nimepata knowledge na nazidi kuipata,
Let one day stand infront of majority and tesfy your name for what you put in my head if wanna be productive to me and people arounds me.

God bless U!
 
dah,,yani ni VIP fulani hivi...hawa vijana wa early 20s mmetisha jamani..naunga mkono hoja mia kwa mia...yani siku hizi nikiwa kwenye shughuli zangu za kawaida najiona bado muda kidogo tu maisha yachukue mwelekeo mpya kabisa...so inspiring....
 
Hii idea nilikuwa nayo kitambo kidogo ila nikiingia humu nasahau kuiweka.
I find this idea very inspiring kwasababu itawafanya watu wajifunze strategies mbalimbali kupitia members wengine walioanza mapema.
Mnashare idea, mnafundishana..
Yani ni kitu amazing sana..
Humohumo mnaweza hata kuanzisha ile Forex Club of Tanzania.
Na baadae kabisa wale members wa mikoani ambao wameshaiva vizuri na wao wanafungua Traders Lounge zao.
Mfano mtu akihamia mwanza au mbeya au dodoma anakuwa na uhakika wa kuwepo kwa traders lounge.
Then kunakuwa na online platform kama ulivyosema. Inakuwa mfano wa tradingview.com hivi. Kila mtu anapost analysis zake.
Inakuwa kama online lounge again.
Yani kunakuwa na physical traders lounge na online pia.
Hata mtu akilipia 500$ sio mbaya kulinganisha na faida anayoipata.
 
Bonge la wazo!!!.....unamwongezea Ontario Haters(joke)
 

And I quote "every thing should be put in light,I will not answer any PM" Said ONTARIO.
 
hey!!!.nini kinaendelea jamani...!..why is it that ID za watu zinabehave hivi?..
 
Mkuu what I believe in God nothing impossible.. Wahitimu wakwanza naamini watatoa picha.. Na vijaana watakao iamini hii fursa.. Tunatusua aisee..! Kila nikipita kwenye huu uzi najiona watofauti sana.. Ni moja kati ya fursa nilizokua nazitafta mda sana in ma life.. Coz nisha haso sana.. Haijalishi ni kwa muda gani.. Ila namin to step from here.
 
Chief Ontario na wadau wote ndani ya uzi huu,,idea ya Traders'Lounge is great idea,it's just a matter of time,okay,na kingine hongera sana Ontario Kwa hatua na juhudi unazozionyesha ni harakati chanya Kwa vijana wote,mimi binafsi nime struggle sana jinsi ya kuijua forex kila siku either nita google au YouTube kuwaangalia na kuwasikiliza kina Sandile shezi,,kina cashflow kina Timothy Sykes wa USA na wengine wengi tu na nikawa nawaza kuwa nitafikaje SA kwa ajili ya mentorship na kipato chenyewe kidogo,,ila by accident siku hiyo na browse nyuzi mbalimbali ndio nikakutana na huu uzi aisee nilifurahi sana nikasema Mungu asante kumbe hata Tz kuna watu wanajua kufanya forex,,nilipata kusikia kuwa ni watoto wa kihindi tu kwa hapa bongo ndio wanajua hii forex but si wote tunajua distance iliyopo Kati ya Jamii ya kihindi na waswahili,,but all in all Mungu amtangulie Ontario afanikishe adhma yake ili sote tufaidike
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…