Hivi wewe unawashwa au,Kitu gani ngariba wa mavisu? Wewe anzisha na wewe Forex trading lakini mimi I'm out.
Nashukuru mkuu!Safi sana kamanda, unatumia broker gani asee
Wewe Mberoya!! Boss Unajua nilikuona tangu jana unacomment hatred, tena with direct personal attacks kwangu, nilinyamaza kimya wala sikutaka kukujibu, but now you are getting to my nerves this deep. Mimi I am so cool, a very cool guy, lkn ukinitibua I'll always get back to u. Sawa!! Challenge me critically with evidence, not just throwing shades and keeping insulting me with empty words. Otherwise wewe ni Kvma - I don't care about ur age, mambo yako ya siwezi kuyaintertain.Eti analysis!? Matapeli wa mtandaoni...hahahahahaha
My story so far (Part 2!)
Baada ya kuunguza account mara mbili huu ndio mrejesho wangu...
Awali ya yote, niseme asante kwa wote mlionitia moyo kwa yaliyonitokea!! Nilipounguza account nilileta uzi hapa kushare nanyi yaliyonikuta(post namba 3357) pitia hii link...
FOREX: Biashara yenye utajiri mkubwa zaidi duniani ambayo hakuna benki itataka uijue!
Niliyaandika na kufanyia kazi moja baada ya lingine!!! Na nna mshukuru Mungu baada ya kuunguza account, nilipokuja kupost mrejesho humu nikakutana na hiki kitabu cha hawa jamaa wanajiita astrofx!
Hili ndio somo nililojifunza...kutoka astrofx book!!
View attachment 529798
View attachment 529801
So kwa masaa 24 nimeweza kupata dola 26.02! ambayo ni sawa na 26.02*2250tsh = 58,545 Tsh!! hii ni ndani ya masaa 24!!
Ushauri!!
Kuna huyu chalii wa sauzi anaitwa shezi kama sijakosea jina, katika moja ya video zake anadai kwamba "Don't wait, start, make mistakes and learn, dont wait to be perfect as you will never start if u want to be perfect" ... "most of people believe you gotta be perfect before you start, and if that is you're goal then you will never start" hayo ni maneno yake...
usijilaumu wala kuumia maana japo umepoteza pesa ila umepata experience(Haya maneno ya ONTARIO)!!!
One love, One God, One life...tuko pamoja wakuu!!
Wako katika kujifunza,
Lodrick Thomas (Eng.)
Hi njemba ikikoment tena basi ni dhahiri shahiri katumwa tena inaelekea huyu thinking capacity yake ni ndogo sana maana sources na information zinapatikana by the click of a baton on Google plus video on You-tube sasa kihere here chake na kuja kuharisha humu without any sources, it good kumchalenge mtu with at least a bit of ur experience au vivd data na sio kukurupuka tu na kudecide kudandia tren kwa mbele, wenzako tushajifunza ''THE ART OF BOARDING THE MOVING TRAIN'' tena yenye spid ya zaid 160ph, ingekuwa busara Unyamaze tu na utu judge on our success in few months,Wewe Mberoya!! Boss Unajua nilikuona tangu jana unacomment hatred, tena with direct personal attacks kwangu, nilinyamaza kimya wala sikutaka kukujibu, but now you are getting to my nerves this deep. Mimi I am so cool, a very cool guy, lkn ukinitibua I'll always get back to u. Sawa!! Challenge me critically with evidence, not just throwing shades and keeping insulting me with empty words. Otherwise wewe ni Kvma - I don't care about ur age, mambo yako ya kis3ng3 siwezi kuyaintertain.
Personally nilianza biashara at a very tender age, nikiwa advance tayari nilikuwa well established kuweza kuingiza faida ya 15,000 kwa siku (kitu ambacho naamini hukua unaingiza ukiwa na miaka 25) - and trust me nilipata stiff resistance from my own parents. When I was 20 nikawa na kampuni yangu binafsi ambayo leo hii ikifika mwisho wa mwezi nalipa mishahara wafanyakazi 26. Nina shares kampuni 2 zingine tofauti na 1 wapo ipo Kenya. Na hii Forex inakua kampuni yangu ya 2 ambayo mimi ni largest shares holder (apparently, I am board of director ktk makampuni ma4) at just 23 yrs, we kaa na tabia zako za kike na umri hausimami.
So, You can feel the energy I have, you can measure my boldness. Sasa kwa hapa nilipofikia unadhani Us3ng3 unaoongea unaweza kunirudisha nyuma - like seriously?! Wazazi wangu walishindwa kunizuia kukomalia biashara, wewe kinyamkera utawezaje boss??
Naomba niache nitapeli watu, wewe tangulia mahakamani mkuu, sio kuja hapa kuonyesha your level of stvpidity. My boss, I'm not that easy to break, just to keep u posted.
Tena hapa nikikimbiza mwezi mmoja au miwili namtafuta tapeli mwenzangu Mo awekeze pesa yake hapa tusambae Tanzania nzima... We speak same wall street language, so tunaelewana ndani ya muda mfupi. We endelea kulia lia mtoto wa kiume, sisi tunafanya vitu ambavyo vitaacha legacy.
So motivationalKaka Lody, this is a down to earth feedback, so emotional. Such an inspiration. Hivi unadhani mimi najisikiaje, kushare knowledge na watanzania wenzangu, kisha iyo knowledge inakua life changer?? Just kwa vitabu nilivyoshare na motivation imekufanya uweze kutengeneza elfu 60 in few hours, tuseme tu ukweli watu, ni wangapi wamenunua Toyota Carry kwa mil 10 na kwa siku hawapati nusu ya hiyo 60,000?? Fikiria kama ukija class na kupata knowledge zaidi. I just love the results bro... Hongera sana BOSS Let's make this journey real, tuwaaibishe wachawi.
Trust me huwezi kupata watu wenye moyo kama wa Bavaria, it's just tooooooo expensive. Nakwambia ukweli, watu wa kwanza kukuvunja moyo ni forex traders wakongwe wenye roho mbaya. Hata kwenye huu uzi kuna forex traders wamechukia sana. I know what I am saying. Personally nimesumbuliwa sana na traders ambao ninawaheshimu sana - mtu ananiuliza Sasa Jeff umefanya Upvmbavu gani kutangaza forex?. Mimi nasema usivunjike moyo boss.
Tutafika, the journey might be tough lkn tutafika tu. Sasa ona hii screen shot. (Huyu ni mmoja ya wanafunzi wa mentor wangu, ambae huyu mentor (south African) amekubali kuja Bongo kwajili ya kunisupport so atakua ktk team. Hongera tena boss.
Mtu anapiga 310,000 kutumia 280,000 tena ndani ya masaa kadhaa tu.
=============================
Ungeniuliza kuhusu broker ninayemtumia mimi, ukifanya deposit yoyote unapata bonus ya 25% ya pesa uliyoweka.
Nashukuru sana mkuu!!Kaka Lody, this is a down to earth feedback, so emotional. Such an inspiration. Hivi unadhani mimi najisikiaje, kushare knowledge na watanzania wenzangu, kisha iyo knowledge inakua life changer?? Just kwa vitabu nilivyoshare na motivation imekufanya uweze kutengeneza elfu 60 in few hours, tuseme tu ukweli watu, ni wangapi wamenunua Toyota Carry kwa mil 10 na kwa siku hawapati nusu ya hiyo 60,000?? Fikiria kama ukija class na kupata knowledge zaidi. I just love the results bro... Hongera sana BOSS Let's make this journey real, tuwaaibishe wachawi.
Trust me huwezi kupata watu wenye moyo kama wa Bavaria, it's just tooooooo expensive. Nakwambia ukweli, watu wa kwanza kukuvunja moyo ni forex traders wakongwe wenye roho mbaya. Hata kwenye huu uzi kuna forex traders wamechukia sana. I know what I am saying. Personally nimesumbuliwa sana na traders ambao ninawaheshimu sana - mtu ananiuliza Sasa Jeff umefanya Upvmbavu gani kutangaza forex?. Mimi nasema usivunjike moyo boss.
Tutafika, the journey might be tough lkn tutafika tu. Sasa ona hii screen shot. (Huyu ni mmoja ya wanafunzi wa mentor wangu, ambae huyu mentor (south African) amekubali kuja Bongo kwajili ya kunisupport so atakua ktk team. Hongera tena boss.
Mtu anapiga 310,000 kutumia 280,000 tena ndani ya masaa kadhaa tu.
=============================
Ungeniuliza kuhusu broker ninayemtumia mimi, ukifanya deposit yoyote unapata bonus ya 25% ya pesa uliyoweka.
mkuu Ontario... achana na huyu jamaa.. anataka kutupotezea lengo.. hao ndo wale wabinafsi.. but trust me.. waweza kuta nae anasoma forex kwa kupitia uzi huu huu wa kwako.. haters hawaishigi hata siku 1Wewe Mberoya!! Boss Unajua nilikuona tangu jana unacomment hatred, tena with direct personal attacks kwangu, nilinyamaza kimya wala sikutaka kukujibu, but now you are getting to my nerves this deep. Mimi I am so cool, a very cool guy, lkn ukinitibua I'll always get back to u. Sawa!! Challenge me critically with evidence, not just throwing shades and keeping insulting me with empty words. Otherwise wewe ni Kvma - I don't care about ur age, mambo yako ya kis3ng3 siwezi kuyaintertain.
Personally nilianza biashara at a very tender age, nikiwa advance tayari nilikuwa well established kuweza kuingiza faida ya 15,000 kwa siku (kitu ambacho naamini hukua unaingiza ukiwa na miaka 25) - and trust me nilipata stiff resistance from my own parents. When I was 20 nikawa na kampuni yangu binafsi ambayo leo hii ikifika mwisho wa mwezi nalipa mishahara wafanyakazi 26. Nina shares kampuni 2 zingine tofauti na 1 wapo ipo Kenya. Na hii Forex inakua kampuni yangu ya 2 ambayo mimi ni largest shares holder (apparently, I am board of director ktk makampuni ma4) at just 23 yrs, we kaa na tabia zako za kike na umri hausimami.
So, You can feel the energy I have, you can measure my boldness. Sasa kwa hapa nilipofikia unadhani Us3ng3 unaoongea unaweza kunirudisha nyuma - like seriously?! Wazazi wangu walishindwa kunizuia kukomalia biashara, wewe kinyamkera utawezaje boss??
Naomba niache nitapeli watu, wewe tangulia mahakamani mkuu, sio kuja hapa kuonyesha your level of stvpidity. My boss, I'm not that easy to break, just to keep u posted.
Tena hapa nikikimbiza mwezi mmoja au miwili namtafuta tapeli mwenzangu Mo awekeze pesa yake hapa tusambae Tanzania nzima... We speak same wall street language, so tunaelewana ndani ya muda mfupi. We endelea kulia lia mtoto wa kiume, sisi tunafanya vitu ambavyo vitaacha legacy.
Inawezekana mkuu.. japo watu wanashauri laptop waweza fanya analysis ya charts vizur...ONTARIO na wadau wengine, ningependa kujuzwa hivi inawezekana kufungua forex account kwa kutumia sim ya mkononi au mpaka PC?.
Ontario achana na hao wenye roho ya kwa nini. Mimi binafsi kiuchumi Nina hali mbaya ingawa nina degree na GPA ya maana kabisa. Ujio wa hii elimu ya forex hata vyuoni hatufundishwi kama wewe mkuu ulivotufungua akili wengi wetu. Kweli huyo ni kinyamkera kabisa na kwa sisi wanyalu kinyamkera ni sawa na pepo. Hapa sasa najua tunapigana vita ya kiuchumi kama rais wetu anavyosema.Sasa tunakwambia tunasonga mbereeeeeee haturudi nyuma.Wewe Mberoya!! Boss Unajua nilikuona tangu jana unacomment hatred, tena with direct personal attacks kwangu, nilinyamaza kimya wala sikutaka kukujibu, but now you are getting to my nerves this deep. Mimi I am so cool, a very cool guy, lkn ukinitibua I'll always get back to u. Sawa!! Challenge me critically with evidence, not just throwing shades and keeping insulting me with empty words. Otherwise wewe ni Kvma - I don't care about ur age, mambo yako ya kis3ng3 siwezi kuyaintertain.
Personally nilianza biashara at a very tender age, nikiwa advance tayari nilikuwa well established kuweza kuingiza faida ya 15,000 kwa siku (kitu ambacho naamini hukua unaingiza ukiwa na miaka 25) - and trust me nilipata stiff resistance from my own parents. When I was 20 nikawa na kampuni yangu binafsi ambayo leo hii ikifika mwisho wa mwezi nalipa mishahara wafanyakazi 26. Nina shares kampuni 2 zingine tofauti na 1 wapo ipo Kenya. Na hii Forex inakua kampuni yangu ya 2 ambayo mimi ni largest shares holder (apparently, I am board of director ktk makampuni ma4) at just 23 yrs, we kaa na tabia zako za kike na umri hausimami.
So, You can feel the energy I have, you can measure my boldness. Sasa kwa hapa nilipofikia unadhani Us3ng3 unaoongea unaweza kunirudisha nyuma - like seriously?! Wazazi wangu walishindwa kunizuia kukomalia biashara, wewe kinyamkera utawezaje boss??
Naomba niache nitapeli watu, wewe tangulia mahakamani mkuu, sio kuja hapa kuonyesha your level of stvpidity. My boss, I'm not that easy to break, just to keep u posted.
Tena hapa nikikimbiza mwezi mmoja au miwili namtafuta tapeli mwenzangu Mo awekeze pesa yake hapa tusambae Tanzania nzima... We speak same wall street language, so tunaelewana ndani ya muda mfupi. We endelea kulia lia mtoto wa kiume, sisi tunafanya vitu ambavyo vitaacha legacy.
Kaka Lody, this is a down to earth feedback, so emotional. Such an inspiration. Hivi unadhani mimi najisikiaje, kushare knowledge na watanzania wenzangu, kisha iyo knowledge inakua life changer?? Just kwa vitabu nilivyoshare na motivation imekufanya uweze kutengeneza elfu 60 in few hours, tuseme tu ukweli watu, ni wangapi wamenunua Toyota Carry kwa mil 10 na kwa siku hawapati nusu ya hiyo 60,000?? Fikiria kama ukija class na kupata knowledge zaidi. I just love the results bro... Hongera sana BOSS Let's make this journey real, tuwaaibishe wachawi.
Trust me huwezi kupata watu wenye moyo kama wa Bavaria, it's just tooooooo expensive. Nakwambia ukweli, watu wa kwanza kukuvunja moyo ni forex traders wakongwe wenye roho mbaya. Hata kwenye huu uzi kuna forex traders wamechukia sana. I know what I am saying. Personally nimesumbuliwa sana na traders ambao ninawaheshimu sana - mtu ananiuliza Sasa Jeff umefanya Upvmbavu gani kutangaza forex?. Mimi nasema usivunjike moyo boss.
Tutafika, the journey might be tough lkn tutafika tu. Sasa ona hii screen shot. (Huyu ni mmoja ya wanafunzi wa mentor wangu, ambae huyu mentor (south African) amekubali kuja Bongo kwajili ya kunisupport so atakua ktk team. Hongera tena boss.
Mtu anapiga 310,000 kutumia 280,000 tena ndani ya masaa kadhaa tu.
=============================
Ungeniuliza kuhusu broker ninayemtumia mimi, ukifanya deposit yoyote unapata bonus ya 25% ya pesa uliyoweka.
Wewe hakuna easy money.. macho kodoo! Eti Investiment! Nenda kalime mpunga babu. Hahahhahah[emoji23] [emoji23]Mkuu inashangaza sana watu wanaumiza vichwa kwa mda mrefu sana wakitafakari ni aina gani ya investment watafanya itakayowaingizia kipato bila kupata majibu wakicheki kila kona mabeki wameshakaba halafu fursa inajitokeza wenye roho mbaya wanaanza kutukatisha tamaa..na mungu aliwaona ndiyo maana hakuwapa ufunuo wakufungua branch hapa bongo hadi alipomfunulia ontario.