Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Shukrani mkuu, ngoja tupambane zaidi na zaidi. So far hayo maujanja ya kuanalyse hivi nuliyapata katika mojawapo ya zile video tutorials ulizokuwa umeweka juzi, plus hints za Ontario nikajikuta nimefikia hapo.
 
hali vipi wadau...nafurahi sana kuona mlivyo na jitihada na kiu cha kupata mafunzo katika forex..pia mimi nipo ila muda umenibana maana kazi nazo nyingi..ila tupo pamoja..uzi huu siuachii hadi naona matunda yake..im very inspired by how you guys are really determined..lets keep our pace..

kuna jamaa mmoja hivi kule mwanzo mwanzoni mwa huu uzi kasema kuwa ikitokea akapewa masaa sita kuukata mti,masaa 4 atayatumia kutafuta shoka imara..in short nilivyomuelewa ni kuwa the tool you will use in whatever task you undertake,kama kifaa hicho kipo imara basi kazi yako itakuwa rahisi mno,yaani kama kumsukuma mlevi hivi..

nachomaanisha,sote tuzidi ku assemble our necessary tools zitakazotusaidia kulikabiri soko la forex..how do we do that,BY READING AND READING AND READING...sina mengi wenzangu..wacha nizidi kupitia comments maana nipo zamu ya usiku hivyo siwezi nikaconcentrate katika kitabu

shukran wote...
 
Wadau kwa jinsi nilivyoona naona hiz indicators sio kbsaa... je n vitu gani mnatumia ku buy or sell.. cc Ontario na Bavaria...
 
Ushauri; ku deal na mtu kama Mberoya sijui its very easy. Next time akija tena au kama huyo itumike Diplomatic psychology (Kula Box) meaning don't bother to reply rubbish. Kama hamjaona yani. In short mliokua mnamjibu ndo mlikua mnaharibu.
 
Aise kweli WaTZ tumekua na roho mbaya yani kuna wadau wanafanya FOREX kimyakimya hapa Tanzania then ametokea Boss ONTARIO kutufumbua macho wanaona wivu kweli dunia inaelekea ukingoni huku wenzetu SA wanapeana madili ya kuingiza pesa kedekede sisi tunafichana ili tupate faida gani sijui lakini Muda umewadia na Sisi vijana wakitanzania kuinuka kiuchumi walipenda wawe wao tu muda umefika Tenda Muujiza Usiache Mungu Mwaka Huu Upite bila Kutenda Muujiza.Tuzidi kusoma na kujifunza mpaka kieleweke!!!!!
 
Sijaelewa kwa nini hujatumia "SUPPORT/RESISTANCE" na Stochastic na umeweza kutoa hiyo analysis.

bado nawaza japo vitabu vinabana tusitumie indicator
 
Kuna watu mioyo yao imejaa "KUTU" na wapo kurudisha watu nyuma, HUWA mimi namezaga mate naendelea na dreams zangu mana najua kila mtu ana maisha yake.
 
kumbe kile kirusi kimefungiwa,

nimekikuta kwe uzi flani mwingine kinalalamikaaa, eti na kutuma salam kwa huku kwetu.

afadhali maana kaliniuzi ashukuru tu hakuwez sikia maneno nliyokua natamka kimoyoni,
mm nashndwa kuelewa kama hela ni yangu, nmeitafuta mwenyewe, kwann unipangie namna yakuitumia, mbona haoni anapomuhonga malaya ambae hata hamjui kwa ajili ya dk chache tu,
au haoni watu wanachoma kiasi gani baa kila siku. Binadamu bana tuna tabu sana, ndio maana hata huyu Mungu akaamua kujificha huko alipo maana...............

Wakuu tuendelee kukaza buti sana

boss wetu ontario tupo pa1 tunasubir huo mualiko, hata kama utasema atakayeweza kukimbia kilomita 800 ndio utamchukua utashangaa kuona watu na vitambi vyao watakavyotimua vumbi yani ni balaaaa

teh teh teh teh eeeeeh
 
Wacha kutukana mjomba...utaondolewa JF hushindwe kuendelea kudanganywa kwenda jehanamu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mm nais sijamuelewa cjuii maana hata sielew nisemeje,
huyu atakua ana njaa sana maan kwani wadau kwe mazingira ya kawaida tumepoteza ivi vi laki2 au 3 mara ngapi,
leo ije kua riski kubwa kiasi icho.
tushaambiwa kina broker wanaruusu hadi minimum ya $50 ambapo haifik hata 150000.

huyu jamaa ni mbvuzi kweli
 
GBPAUD pair analysis (My view)


GBPAUD weekly

1. Moving average line inaoonekana price katika last candle itapanda kidogo kwa hiyo kesho. Ukizingatia Australia wanawahi kuianza siku kabla ya UK, hivyo AUD itapata thamani kwa muda kabla ya GBP kupata nguvu tena baada ya hapo na kuforce bearish movement na kuobey hiyo blue inclined trend line mpaka katika support level. Hivyo kwa kuanza siku, unaweza nunua huku ukiwa aware kuwa price movement ya siku ya kwanza ya biashara inaweza kuwa fake.

2. Kuna support na resistance level ambayo imekuwepo toka july mwaka jana. na imekuwa ngumu kuivunja.

3. Trend inasema kwa sasa ni downtrend, na as our rule says " Never go against trend" hivyo kwa wale weekly traders naweza kuwashauri wauze kwani trend inaonesha hivyo.


GBPAUD daily.

Kilichoonekana katika weekly chart ndo kinaonekana katika daily chart. Moving average line hapa inaonekana vyema.

CC: Bavaria, ontario. Masahihisho please if any.
 
Hii ni kweli mkuu. Sio ya kukosa. Nilisha-google na kuona ukweli wake. It is an opportunity for supplement income! Nimo ndani ya hao watu 300 wa mwanzo. Tujulishe ni lini tunaosafiri tujiandae kuwepo! Good luck brother!
 
The fruits of your success will be direct ratio to the honesty and sincerity of your effort in keeping your own records,doing your own thinking,and reaching your own conclusion.The average man doesn't wish to be told that it is bull or a bear market.what he desires is to be told specifically which particular stock to buy or sell.He wants to get something for nothing.He does not wish to work,He doesn't even wish to have to think
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…