Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Angalizo tu, utajiri hii hauji kirahisi rahisi tu namna hiyo.
 
Upo vizuri sana mkuu, great people always touch the life of others! Keep going brother and God bless you. Better yet to come.
 
Mzee sisi tunakufa wenyewe, we bakia mzima tu
Ni kweli kabisa, hii habari njema kutoka kwa Ontario siyo inawahusu watu wote. Mimi nimeona jinsi ambavyo wengi wameipokea lakin naamin only wale ambao wameitwa kutengeneza pesa kupitia forex ndio watakaobaki na kumbuka Ontario. Msisahau kuwa kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi pia wamo. Wazo kuu la kunote matajiri wengi watokanao na forex huwa hawatoi siri au strategy ya mafanikio. Chief Ontario anatufundisha kutambaa ili tuweze kutembea na kukimbia wenyewe.
 
Passwordya kitabu cha astro nmesahau wakuu tukumbashane
 
Kwa group za whatsapp (0682 338065) na Telegram (0758 085564), chonde chonde naomba mni-add
 
Sante ONTARIO, mi niko Mwanza, am reading hard these books and am bit containing the skills. Naomba nipate access yako ili tufanye mentorship negociations, Iwill pay the cost. contact me thru +255 767 088 54 am available anytime.

 
Mkuu ONTARIO nimesoma uzi wote na nimeuelewa na nimeprint vitabu vyote sasa usisahau kuniweka kwenye darasa lako tuu nitakuwa wa 300
 
Hii mkuu alisema ni gambling sio forex, huwez buy and sell the same currency pair at the same time. That means unabahatisha.
una uhakika na unachokiongea???... unajua maana ya scalping hapo nilifanya trade kwa muda tofauti....labda nikuulize chukulia saiv pair ya usdjpy ipo bullish si utanunua ? vipi baada ya kupita nusu saa ukaona ipo bearish hautouza??
 
Uzi nilikuwa nauona tuu yaan halafu nauruka yaan daaaaaaahhhhh
Nikasema nikimaliza mapepa ntausoma ila nimejifunza mengi sana hapa bwana Ontario yaan umenipa hamasa kinomaa coz Nadream ya kuja kumake pesa na kuwa [HASHTAG]#DON[/HASHTAG] moja mkubwa sana nadhan hii ni fursa kwangu kikubwa tunasuburi uanze kutoa darasa lkn pia ni vzr ukitupa mwongozo wa jinsi ya kupata hvyo vitabu km ni kupitia internet au library
 
Baada ya kuchunguza sana na kutumia Demo account nikagundua huu ni utapeli. A total scam.
Bora umekuwa muazi kusema yale unayofahamu. Achana na mambo ya scam yatakupitezea pesa na muda wako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…