Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Trust me - this comes from the deepest part of my soul. Huu mwaka hautaisha kabla haujanitafuta, na wakati unanitafuta nitakujibu "TUSUBIRI KILIO KIKUU".

Ngoja nianze na hawa vilaza 300, kitakachowatokea watasimulia. Itafika kipindi sitakua naandika thread hp JF ama kujibu comments za watu. Hiyo itafanywa na wanafunzi wng ambao watakua na moyo wa kushare na watu walichokipata.

Wakati huo unashtuka, fees ya kuattend classes itakua $200. Narudia tena lazima utanitafuta. Naongea kwa kitu ambacho nami binafsi kilinitokea, hahahaaa.
 
Safiiiiii
 

Hongera kwa USHAWISHI kwa kundi la "werevu", TUSUBIRI KILIO KIKUU
 
Kwa Dar ,napata wapi vitabu

Sent from my GT-I9301I using JamiiForums mobile app
 
Mkuu vizuri kama darasa likaanzia humu pia. Ni vema pia watu wakasoma vitabu kwa wingi kabla ya yote.
 
Ontario! Am damn serious on this matter please am ready any time kuanza kama ulivyoshauri nipate darasa (am a bit old though but eager to learn!)
 
Wewe ndio kichwa bana,,,asante kwa hii kitu ,,,na hapa haturuhusiwi kucopy usijetufunga sema mapema kabisa cc Daby
Najua(kwa sababu fulani fulani)[emoji4] huwezi kukosa kwenye wale 300 wa free.....please unikumbuke kwa material ya huko hapo baadae!
 
Swali moja dogo tu, hawa brokers ni wewe utatutafutia na tuwe na options au aliyepo ndio atafanya kwa watu wote?? Hofu yangu ni kwamba monopoly inapunguza aggressiveness.

Lingine ni kuhusu usajili, naona wewe unahangaika kusajili umeshindwa kwenda kwenye jikutano kubwa kabisa (kama ni kweli lakini maana na nyie kwa fix bwana hahaaaaaaa.... A real joke), sasa sisi tunaweza kuanza bila kisajili???

Tatu, ninaamini demo account itakuwa ni bure kabisa (demo si kitu cha kujaribia tu mkuu, yeaah siamini kama kinauzwa), sasa hiyo real account inapatikana kwa bei gani?? Maana nisije kujiokoteza $1000 najibeba kuingia nakuta real account costs $50,000 bila cent, ni pambio gani utaniimbia nifarijike??

No Debt shall remain unpaid
 
mkuu safi sana, thread kama hz ndo tunazozhtaj, pindi utakapoanza semina na mm nijumuishe niwe miongoni mwa hao wa awali 300... nina kiu sana ya kufanya forex but nilishndwa kupata info
 
Tunashukuru sana
 
Ni idea great sana kusema kweli, tuisome kwanza tuelewe maana ulianza vizuri sana aiseee ila mwishoni ndio umekanyaga tope kwelikweli.. Hahahaaaaa pole mtani.

Maana hapo uliposema umeahirisha safari ya mwaliko wa world bank eti kwasababu unasajili, ni kama wale watu wa network marketing kila mtu anasema alikuwa Meneja wa Bank, mara sijui TRA, ila wakaacha kazi... Teh teh inahitaji ujasiri mkubwa sana.

No Debt shall remain unpaid
 
Kwanza kabisa naomba Allah aniwezeshe niwe miongoni mwa wat 300. Napenda kujua nisivyovijua, english ni janga kuu lkn o'level itanisaidia. Umri unakwenda, biashara tunafanya but we endup emptyless. Mr ONTARIO unabeba dhamana ya watu, tunaomba usituangushe. Hapo mpumalanga na durban kweli ni kipande asee na hata pretoria na hzo sehemu mbili n mwendo kidogo, naijua kidogo Dzonga.
Kikubwa ni kwamba tunasubiri hiyo train na tukifika zaidi ya 300 sijui itakuwaje,nawaza hapa

Tufahamishe kwa update zako zote coz i dont wanna miss it in sha Allah.

Am in brah! Tukikosekana JF TUCHEKIANE hata manualy 0713088747 if possible
 
Hili neno forex nimekuwa nikikutana nalo na sikuwahi kujua ni nini hii kitu, nitafuatili hadi nijue.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…