Pole sana mkuu for hustling for all we Tanzanians who are motivated into the FX thing. God will truly pay you for your kind and selfishless heart, you are truly one of a kind, keep it up. We are all behind you for prayers and intercession to make sure that this program is successful and its fruits are seen by everyone including HATERS.count down... days counting down
Dear friends, hope you all doing great and of course enjoying the weekend. Mungu kutupa uhai means ametuzawadia chance nyingine adhimu ya kuweza kutimiza vitu ambavyo bado hatujavitimiza, Jiulize sana umempa Mungu kitu gani cha thamani sana hata yeye akupe uzima leo, kuna watu wanatangulia mbele za haki kila kukicha, si kwamba wao ni waovu sana, ni vile tu Mungu ni mwingi wa rehema na neema. So siku unapoamka mzima na unapumua usiichukulie hiyo siku for granted, use it to do something for yourself and those surrounding u.
Pili niwapongeze sana kwa uvumilivu. Patience is among the greatest virtue to become a good and profitable trader. Tangu nimepost huu uzi May 26 ni miezi miwili sasa, lkn kila siku nasema tutaanza soon, kila siku nasema hivyo hivyo - but you guys hv always been patient. Guys nimepambana sana hadi kufika hapa, challenges nilizokutana nazo ni nyingi sana, kuna wakati hata nilitamani mods waufunge huu uzi, uwepo tu kwa ajili ya watu kujifunza lkn kusiwe na option ya kuendelea kuchangia. The journey has been super tough, vitu vingine hata siwezi kuvisema ndugu zangu.
Yani huwezi kuamini tangu nimepost huu uzi nimesafiri SA mara nne, just kuhakikisha kila kitu kinakua sorted out. Na katika mara 4 hizo mara 3 nimeenda bila mafanikio. Huu uzi pekee umenitengenezea maadui wengi, yani hadi nafika point najilaumu why I did all this. Huu uzi umenifundisha vitu vingi sana, umeniimarisha sana, umenifanya niwe very bold. Hata watu ambao nilihisi ni marafiki zangu, huu uzi umenionesha true colours of everyone around me.
Nakumbuka wakati nasoma High school (apparently nilienda 1 ya shule zenye matokeo mabovu zaidi TZ, nilisoma Bukoba - shule inaitwa Ihungo, wale form 6 walionitangulia, matokeo yao ni kwamba walikua wa 23 kati ya shule 25 mkoa Kagera and science was even worse, wengi walikua wanaishia kutumia vyeti vya form 4 kusoma diploma; na jamaa ambae ndio alikua TO pale shule kwa masomo ya Sciences aliishia kusoma ualimu UDOM). Siku 1 nikashuka town, just kwenda kununua marker pen, kisha nikarudi shule. Ile marker pen niliinunua kwa purpose 1 tu, nilivyofika shule nikaenda kitandani kwangu pale nikaandika na kubold haya maneno stop not until the goal is reached. Sasa kila nikienda kulala lazima nisome yale maneno, na kila nikiamka lazima nisome tena. The hustle was real, at last mtihani wa mwisho nilikua one of top performers, nikaenda UDSM (si tu kwenda UDSM, nilienda UDSM na nikasoma 1 of the top most courses at campus, cozy ambayo nilisoma ilihitaji wanafunzi 20 tu, tuliapply watu 1230, watu 987 walikua eligible na mwishoe I was among how watu 20).
Same as this journey, nimepata useless objections nyingi sana, a lot rejections, nimepata haters wengi tu, ni ngumu hata kuelezea. Huwezi amini hata mentors ilifika kipindi wakagoma kbs kuja, kumtoa mtu SA ambae ana maisha yake mazuri, ana familia (mke na watoto) afu umlete Bongo. Guys it wasn't easy, afu ukigeuka huku unakutana na negativities kibao kutoka kwa watu unaowaheshimu. Nikaeka notification kwa screen ya simu yangu Arise! Awake! and stop not until the goal is reached. kila nikisoma haya maneno yakua energised na kukumbuka why I started this journey.
Leo hii naeza kusema we are almost starting, mambo yamefika patamu sana sana sana. Mentors na traders makini wawili tayari wamekubali kuja, (one of this mentor is 1 of my fantastic mentor unaeza kumcheki IG Createn Valoyo Snr - 90% ya post zake ni kuhusu FX), bado napambana kupata mentors wengine wawili ili jumla team iwe na watu wa5.
Mimi siwezi kuwapromise vitu vikubwa sana, maana we can't pay bills and send kids to school with words, actions does. Nataka actions ndio ziongee, results ndio ziwe shahidi ya all this hustle that I hv been putting. Ili haters wanyamaze, ni lazima wanafunzi wangu wawe na awesome results, so it's you guys that will always make me proud, it's you guys that will make me not regret starting this journey. We need you guys to master this game, make money hadi hawa haters waanze kiwafata nyinyi, coz wao kama wao wataona aibu kufika ofisini kwangu ama kunitumia text WhatsApp. You guys should also start teaching people about forex ndani ya mwaka mmoja. We want you guys muweze kumaster the skill hata muwafundishe ndugu na jamaa zenu wa karibu (km hamtakua wa binafsi). Na ili uweze kufika hiyo point ni vzr msome sana materials ambazo nilitoa.
Please guys, trust me you, mimi hata hapa nilipo, siku haiishi kama sijasoma chapters 2. Ili kuwa trader mzr lazima usome sana boss wangu. Ukimaliza hivyo vitabu tafuta kitabu kimeandikwa Trading in the zone by Mark Douglas (wajanja wa JF mtakibandika. Guys let's make this sh*t real, nyie ndio nawategemea ili the whole journey iwe successful. Your success is my success, we can't afford to lose. Tayari nimeshatumia millions of shillings over this programme (nikitaja real numbers wengi mtakataa- mimi na Mungu wangu ndio tunajua), so let's finish the journey. Na njia nzuri ya kufinish the journey ni you guys kumaster trading skills and use it to become profitable traders, change your financial status and for those around your circle.
Soon, siku si nyingi sana nitaweka uzi mpya, nitaongea na uingozi wa JF wasiuunganishe na huu, ili kusudi watu wapate updates at the right time. Taarifa na Vigezo vyote nitavizungumzia.
Please guys, trust me you, mimi hata hapa nilipo, siku haiishi kama sijasoma chapters 2. Ili kuwa trader mzr lazima usome sana boss wangu. Ukimaliza hivyo vitabu tafuta kitabu kimeandikwa Trading in the zone by Mark Douglas (wajanja wa JF mtakibandika. Guys let's make this sh*t real, nyie ndio nawategemea ili the whole journey iwe successful.
Me ni me sio keHahahaaaa.....mkuu unataka kuolewa na pro trader???
Thank you my big boss, you're always available when we need this kind of assistance. Barikiwa mzee baba.
Mbona vinatofautiana ukubwa ? ( file size?) kingine 700kb kingine 3mb?Kwa hisani ya ONTARIO, kitabu hicho hapo cha TRADING IN THE ZONE BY MARK DOUGLAS
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, very interesting.Thank you my big boss, you're always available when we need this kind of assistance. Barikiwa mzee baba.
Hiko kitabu hakina analysis nyingi, ukishindwa kukisoma hiko ujue forex is not your thing. Ni kitabu ambacho kipo kama kinaboa fulani hivi, lkn very informative, na kinakuandaa vzr psychologically kuingia sokoni. Please soma soma hata kama unaruka baadhi ya pages.
Kitabu ni hicho hicho kimoja, vyote vina page 143, Content ni moja. Tofauti ni kuwa hicho chenye MBs nyingi kimeongezewa picha(coverpage) na logo za forexwinnersMbona vinatofautiana ukubwa ? ( file size?) kingine 700kb kingine 3mb?
Upumbavu tu. Kama wakikomaliwa wanazitoa sasa si wangefuatilia tu source ya pesa na ushahidi toka kwa mteja na kumpa pesa zake bila usumbufu!Kuna liaccount lao wanalifunguaga wenyewe wanazipelekaga huko...ukishamalizana nao wanaziamishia kwenye account yako...ni usumbufu tu usio na lazima...yaani ni kama kuoneana wivu tu ila ukiwabana sana watakuambia wanafuata sheria tu sio wao...
sawa mkuuKitabu ni hicho hicho kimoja, vyote vina page 143, Content ni moja. Tofauti ni kuwa hicho chenye MBs nyingi kimeongezewa picha(coverpage) na logo za forexwinners
View attachment 548603
Pamoja sana mkuu.My IG handle, japo I don't post much about forex, lkn hatujui nini kinaeza tokea, usishangae mara ghafla Sizonje kaufungia JF (maana yule mjomba hatabiriki) so just check me through Sirjeff_dennis... hakikisha ni Sirjeff_Dennis (S-jay) maana tayari wazee wa kutelezea ganda la ndizi washaanza kuja na fake accounts.
Fingers crossed mkuu.. Thanks for this information, patience is the only choice we have kama vile tunavyohold position siku nzima wakati inasoma red mpaka inakuja kuchange into blue it'scount down... days counting down
Dear friends, hope you all doing great and of course enjoying the weekend. Mungu kutupa uhai means ametuzawadia chance nyingine adhimu ya kuweza kutimiza vitu ambavyo bado hatujavitimiza, Jiulize sana umempa Mungu kitu gani cha thamani sana hata yeye akupe uzima leo, kuna watu wanatangulia mbele za haki kila kukicha, si kwamba wao ni waovu sana, ni vile tu Mungu ni mwingi wa rehema na neema. So siku unapoamka mzima na unapumua usiichukulie hiyo siku for granted, use it to do something for yourself and those surrounding u.
Pili niwapongeze sana kwa uvumilivu. Patience is among the greatest virtue to become a good and profitable trader. Tangu nimepost huu uzi May 26 ni miezi miwili sasa, lkn kila siku nasema tutaanza soon, kila siku nasema hivyo hivyo - but you guys hv always been patient. Guys nimepambana sana hadi kufika hapa, challenges nilizokutana nazo ni nyingi sana, kuna wakati hata nilitamani mods waufunge huu uzi, uwepo tu kwa ajili ya watu kujifunza lkn kusiwe na option ya kuendelea kuchangia. The journey has been super tough, vitu vingine hata siwezi kuvisema ndugu zangu.
Yani huwezi kuamini tangu nimepost huu uzi nimesafiri SA mara nne, just kuhakikisha kila kitu kinakua sorted out. Na katika mara 4 hizo mara 3 nimeenda bila mafanikio. Huu uzi pekee umenitengenezea maadui wengi, yani hadi nafika point najilaumu why I did all this. Huu uzi umenifundisha vitu vingi sana, umeniimarisha sana, umenifanya niwe very bold. Hata watu ambao nilihisi ni marafiki zangu, huu uzi umenionesha true colours of everyone around me.
Nakumbuka wakati nasoma High school (apparently nilienda 1 ya shule zenye matokeo mabovu zaidi TZ, nilisoma Bukoba - shule inaitwa Ihungo, wale form 6 walionitangulia, matokeo yao ni kwamba walikua wa 23 kati ya shule 25 mkoa Kagera and science was even worse, wengi walikua wanaishia kutumia vyeti vya form 4 kusoma diploma; na jamaa ambae ndio alikua TO pale shule kwa masomo ya Sciences aliishia kusoma ualimu UDOM). Siku 1 nikashuka town, just kwenda kununua marker pen, kisha nikarudi shule. Ile marker pen niliinunua kwa purpose 1 tu, nilivyofika shule nikaenda kitandani kwangu pale nikaandika na kubold haya maneno stop not until the goal is reached. Sasa kila nikienda kulala lazima nisome yale maneno, na kila nikiamka lazima nisome tena. The hustle was real, at last mtihani wa mwisho nilikua one of top performers, nikaenda UDSM (si tu kwenda UDSM, nilienda UDSM na nikasoma 1 of the top most courses at campus, cozy ambayo nilisoma ilihitaji wanafunzi 20 tu, tuliapply watu 1230, watu 987 walikua eligible na mwishoe I was among how watu 20).
Same as this journey, nimepata useless objections nyingi sana, a lot rejections, nimepata haters wengi tu, ni ngumu hata kuelezea. Huwezi amini hata mentors ilifika kipindi wakagoma kbs kuja, kumtoa mtu SA ambae ana maisha yake mazuri, ana familia (mke na watoto) afu umlete Bongo. Guys it wasn't easy, afu ukigeuka huku unakutana na negativities kibao kutoka kwa watu unaowaheshimu. Nikaeka notification kwa screen ya simu yangu Arise! Awake! and stop not until the goal is reached. kila nikisoma haya maneno yakua energised na kukumbuka why I started this journey.
Leo hii naeza kusema we are almost starting, mambo yamefika patamu sana sana sana. Mentors na traders makini wawili tayari wamekubali kuja, (one of this mentor is 1 of my fantastic mentor unaeza kumcheki IG Createn Valoyo Snr - 90% ya post zake ni kuhusu FX), bado napambana kupata mentors wengine wawili ili jumla team iwe na watu wa5.
Mimi siwezi kuwapromise vitu vikubwa sana, maana we can't pay bills and send kids to school with words, actions does. Nataka actions ndio ziongee, results ndio ziwe shahidi ya all this hustle that I hv been putting. Ili haters wanyamaze, ni lazima wanafunzi wangu wawe na awesome results, so it's you guys that will always make me proud, it's you guys that will make me not regret starting this journey. We need you guys to master this game, make money hadi hawa haters waanze kiwafata nyinyi, coz wao kama wao wataona aibu kufika ofisini kwangu ama kunitumia text WhatsApp. You guys should also start teaching people about forex ndani ya mwaka mmoja. We want you guys muweze kumaster the skill hata muwafundishe ndugu na jamaa zenu wa karibu (km hamtakua wa binafsi). Na ili uweze kufika hiyo point ni vzr msome sana materials ambazo nilitoa.
Please guys, trust me you, mimi hata hapa nilipo, siku haiishi kama sijasoma chapters 2. Ili kuwa trader mzr lazima usome sana boss wangu. Ukimaliza hivyo vitabu tafuta kitabu kimeandikwa Trading in the zone by Mark Douglas (wajanja wa JF mtakibandika. Guys let's make this sh*t real, nyie ndio nawategemea ili the whole journey iwe successful. Your success is my success, we can't afford to lose. Tayari nimeshatumia millions of shillings over this programme (nikitaja real numbers wengi mtakataa- mimi na Mungu wangu ndio tunajua), so let's finish the journey. Na njia nzuri ya kufinish the journey ni you guys kumaster trading skills and use it to become profitable traders, change your financial status and for those around your circle.
Soon, siku si nyingi sana nitaweka uzi mpya, nitaongea na uingozi wa JF wasiuunganishe na huu, ili kusudi watu wapate updates at the right time. Taarifa na Vigezo vyote nitavizungumzia.
Nshakufollow na like juu...My IG handle, japo I don't post much about forex, lkn hatujui nini kinaeza tokea, usishangae mara ghafla Sizonje kaufungia JF (maana yule mjomba hatabiriki) so just check me through Sirjeff_dennis... hakikisha ni Sirjeff_Dennis (S-jay) maana tayari wazee wa kutelezea ganda la ndizi washaanza kuja na fake accounts.