Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wadau wameshaanza kubukua na kupractice kwenye demo. Hivyo tutoe mrejesho kwa wenzetu ili tuweze kushare experience na challenges katika forex trading

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu Viking.... Get well soon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji15]


Swing trading kwa kweli naiona ngumu sana kwangu...nilijaribu kwa demo yangu nikawa kila week ikiisha najikuta Nina loss tu...nikaachana nayo labda mpaka nipate mtu wa kunipa shule ya kutosha naweza badili muelekeo. Mm napendelea sana 1H time frame na kwa vile nikishaimaster hii Biashara nitakuwa full time trader basi hapo ndo natilia mkazo kwa sasa.

Hilo group ulilotupia screen shot linahusu nn mkuu wangu...tujulishane kama hutojali lakn....nimeona namba za +1 mkuu....duuu uko juu muhenga.
 
ONTARIO hicho kitabu kwa kiingereza chetu cha Ze! ze! coming, Yes, Yah, Offcourse Yes, kweli tutakielewa! Ni bora tupate Email yako walau utuambie yapi ya kuzingatia ktk hili.

Nimesoma thread yote mpaka picha na nimeelewa ila nahitaji kuelewa zaidi kwenye hayo ma'calculation ya pesa mtandaoni.
 
Markert.com,option hiyo haikuepo, nikaona nitumie bank wire

Jamani hawa mabroker mnaochagua mnajiridhisha kuwa ni STP/ECN? Maana wengine ni majanga! Kuna STP/ECN ambao ni Hybrid nao pia ni majanga! Ni vizuri sana kujiridhisha na hawa mabroker ili mbeleni tusije kujuta!
SO FAR;
The most trusted STP/ECN Brokers ni hawa hapa
1. PUPPLE TRADING
2. PEPPERSTONE
3. PRICE MARKETS
4. AXIORY


Please be careful with the rest! mjiridhishe kuwa ni true STP/ECN brokers!! Msivutiwe sana na bonuses zao tu bila kufanya uchambuzi yakinifu!! Wengi wa Mabrokers ni DD au B-BOOK BROKER yaani MARKET MAKERS! Once you open a BUY position, yeye anafungua a SELL position, hasara yako ndiyo faida yake!!
Yangu ni hayo tu wakuu!! Naomba nisipigwe mawe kwa haya!!
 
naona watu wameanza kuwa wadogo hapa.

kuna fursa nyingine mtu unashindwa hata kuwaambia familia maana wanaweza kupoteza pesa nyingi na undugu ukaisha;


hii forex trading imeanza miaka ya 1920s - mbona ujiulizi maswali ya msingi......

kwanini sio kila mtu anayejua ni trilionea sasa hivi tangu 1920?

kwanini kwenye top 100 bilioneas duniani hakuna anaye trade forex kujikimu maishani/for living na wanaijua?

kwanini watu wenye akili zao wameajiriwa serikalini au kwenye makampuni hawana muda na FX;

kwanini kwenye jamii forum watu bado wanaulizia biashara ya kuku na hii thread ya FX iko hapa?

kwanini alianzisha huu uzi ameamua kuwapa hii elimu na angeweza kutengeneza pesa? kwasababu anawapenda?


ILANI: forex trading ni kama madawa ya kulevya, cocaine, heroine.. usipoangalia unaweza kuwa jambazi ili upate pesa ya kuweka kwenye forex trading account;
 

TUNASHUKURU NDUGU..
Ila kwa sasa huna cha kutubadilisha tumeshafanya maamuzi na FOREX TRADING.
Tumeisoma, tumeielewa na tunaendelea kuielewa! Naomba usiwakatishe watu tamaa kwa sababu pengine wewe imekuumiza au una roho mbaya hutaki watu waijue vizuri!

Kwanza tambua vizuri kuwa FOREX TRADING ilianza kwa Financial institutions only. Individuals like us hatukuruhusiwa kutrade mpaka hapo walipoanzisha mfumo wa kidigitali kutokana na expansion ya technology worldwide. Due to the technology breakthroughs and the expansion of the internet, the Electronic Communications Network (ECN) was introduced in 1990 in the US to facilitate ‘electronic trading’. Kwa hiyo kusema kwamba Forex imeanza tangu mwaka 1920 na watu hawajawa matrilionaire si kweli ndugu. Retail traders kama sisi wameanza miaka ya 1990 kufanya trading! Lakini kutokana na watu wachoyo kama wewe ndo maana hiyo elimu ikachelewa kuwafikia watanzania! ONTARIO go on... go on... go on... Usikatishwe tamaa na hawa watanzania wachache wenye moyo wa jiwe!!!
 

Afadhali umewahi kumjibu tena kwa lugha ya staha...mm nilitaka nimjibu kwa maneno makali ila yasiyo na matusi.

Asante kwa kumwelewesha ila mwambie tu kuwa bilionea wa pili duniani ni trader Nzuri tu....jamaa yuko shallow sana kwenye hzi ishu ila anajiona anajuaaaaaaa...KUKU tutafuga....mahindi tutalima na tutatrade forex pia.
 



Kuna mdau kakujibu vzuri tu tena kwa staha Kabisa ila nipende tu kuongezea mkuu wangu....sio kila aliye JF anauwezo wa kuuelewa huu Uzi mkuu wangu.

Huku duniani kuna vitu tofauti kwa watu tofauti kwa hyo kama wewe si mtu tofauti achana na hvyo vitu tofauti maana huwezi kuwa tofauti.

Kwa kuongezea kwani hao wanaotoa Elimu ya Ufugaji wa KUKU au au Kilimo au Ufugaji wa Nyuki hapa JF ni kwamba wanatupenda sana au???? Kwani kafika kilimo au Ufugaji hakuna hasara....ni wafugaji wangapi au wakulima wangapi wamefilisika mbona bado watu kila kukicha wanaingia kwenye ufugaji au Kilimo.??

Mkuu usitake kutufundisha uoga...achana na sisi Kabisa yaani kama we ni trader na unaona wivu kuwa nasi tutaingia kwenye hii Biashara basi kajinyonge ufe ili usishuhudie watanzania wenzako wakipiga hela kwenye FX kama unavozipiga.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…