Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Inahamasisha sana hii thread, ukizingatia hali halisi ya vipato vyetu inavyoporomoka na ugumu wa kupata kazi mahususi za kifanya.
Count me in, on a serious note!

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 

Kwakua hunifahamu nakushauri pitia threads zangu 2 au 3 za nyuma. WB symposium kwangu si kitu kikubwa sana kama mwaka huu nimehudhuria WEF Afrika kusini, nimezungumza kwenye vikao vikubwa sana duniani.

Hii thread sihitaji kukuprove, mimi ni nani nk, take it or leave it watu tunatofautiana sana sana - ninachokifanya nchini kwangu kina manufaa kwa wabongo wenzangu kuliko nitakachokifanya WB kwaajili ya maendeleo ya waThailand. It's just a matter of priorities, lkn niweke tu wazi kwa hapa nilipofika conference ya WB is less or equal to nothing. Kwasasa huwezi unanielewa boss. Tujipe muda.
 
Mkuu Mahesabu, naheshimu sana mawazo yako...

Hii biashara anayoizungumzia mtoa mada ni halisi kabisa...

Bahati nzuri katika course ambazo nimefanikiwa kuzisoma chuoni mojawapo (INTERNATIONAL FINANCE (FN 300)) imezungumzia masuala ya FOREX kwa mapana sana... Na inalipa sana kama mtoa mada alivyo tanabaisha...

Ukwel mwingine usiopingika, hii kitu sio rahisi(maana kuna mahesabu ndani yake) unless you devote yourself kusoma in detail ili uweze kucheza nayo... kwa wale wavivu wenzangu wa kusoma na kuhesabu, this wont suit you....

Nakaribisha kukosolewa lakini sio mipasho maana humu hakuna dogo....
 
Also count me in on a serious note am ready to take action
 
Nimevutiwa sana. Mimi ni mjasiriamali na ni kweli hii kitu inalipa sana. Ni mdada mchapa kazi na nipo tayari kufanya kazi na kuinvest...
 
Naomba uniweke kwenye list ili nikishapata Naomba uniweke kwenye list ili nikishapata ELIMU hiyo niisambaze mkoa mzima was singida na jilan hiyo niisambaze
 
Kuna kitu wanasema huwezi kufanikiwa bila kujaribu kutaka kufanikiwa Na kua Na Imani ya kupata mafanikio big up Sana kwanza Kwa kutumia mda wako kuandika Hii Safari ya mafanikio yako pili kua Na hamu tam wenzako pia wapate kufanikiwa kiuchumi ni wachache Sana wenye moyo huo Ila Sasa hiyo offer ulio toa sijui tutajiconnect Vipi maana am moved kua miongoni wa watakao bahatika kupewa fursa kujifunza tunaomba mwongozo wako Kiongozi.
 
Hongera kwa kuwa na moyo na kiu ya kuona wengine pia wanafanikiwa..!! Ni imani yang kwa moyo huo wa kutoa vivyo hivyo MUNGU atakubatiki na utapokea zaidi
 
Kwa sababu ya ukuaji wa teknolojia huwezi kutafuta means ya ku broadcast darasa? Ili ambao hatutakuwepo darasani tuone nini kinaendelea? Tukiwa mbali?
Unazungumzia tuseme live broadcast kama zinavyorushwa na watu YouTube au FB. If that's it ni idea nzuri sana sana, we can think of it. Thanks!
 
Ukihitaj kujiunga ktk hio training niwapi au njia gan tunatakiwa kuifata niko intrested
 
Hii kitu inataka umakini kusoma Na kuhesabu safi Sana inakutoa uvivu wa kubweteka Hii lazima uwe smart Kama wenzetu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…