Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
boss mimi ni banker na what your saying i agree 100% its time to create worf of Darstock exchange on this streets forex na trading in general is still a new phenomena in Tanzania i took an online training on Forex and bond trading and although i didnt concentrate much i think i need to evaluate my options..kudos ps kwenye ufalme wako nikumbukwe..am ready to put my feet on the water.
 
Unazungumzia tuseme live broadcast kama zinavyorushwa na watu YouTube au FB. If that's it ni idea nzuri sana sana, we can think of it. Thanks!
Live broadcast itasumbua mkuu, fanya tu hyo class iwe recorded en upload t kwny youtube ili idumu kwa miaka yote. Inshort iwe km zile video zingine zilizopo youtube kuhusu lesson mbalimbali, yaani mkuu fanya hata kwa kutuchangisha hiyo 1st class ni lazima tufaidike wadau wote na popote tulipo.
 
Ukiyupia uzi wa huyo jamaa usisahau kunitag
 
Mkuu ONTARIO big up sana kwa kuleta habari njema kwetu watanzania. Count me in please.
Kama nimeielewa vizuri hii ni international business maana kuna watu kadhaa nimeona wanasema hakuna mzunguko mkubwa wa hela TZ so this is not doable. Jaribuni kusoma tena post ya ONTARIO mtaelewa sio kwamba inadepend na soko la Tanzania nop. This is global wise.
 
Nimeipenda hii, its a very good idea.
 
ebana umesema unashugulikia ili forex trading iwe legal bongo(that's meas now ni illigal) lakini bank za kibongo unasema zinafanya hii mambo kwa siri adi wafanyakazi wa bank nao adi kujua ni inshu,inakuwaje hapo? inamaana zinafanya illegal business,ww inaonekana utakuwa umefanya SA coz naona unatoka sana....naona ni kitu poa ebu endelea kutoa darasa.
 
Haha threshhold ya kulipa kwa broker ni sh ngap? Maana tutahitaji access ya kwenye hayo masoko
 
Huwa sio illegal ila kuna kitu benki kinaitwa overnight trade na wanaoweza kuifanya ni watu wa makao makuu tu.Wengine hawana access na hizo hela afu ukisoma finacial statement za benk na report za BOTutaona hizo overnight transactions na interest yake
 
Mimi si mtu aa biashara, lakini hii kitu nilishaisikia na tayari nilisha kuwa na mpaka application yao kwenye pc yangu but nikakosa muongoza so nikaacha
 
Reactions: MC7
Mkuu ONTARIO nianze kwa kukupongeza kwa kuwa na nia ya dhati ya kusaidia watanzania.

Ila naomba nitoe ushauri kidogo kwako,kwamba usiwagarantii hao wanafunzi wako kwamba watatengeneza pesa kwavile tu watakuwa na mentors wazuri ama mbinu nzuri sana kutoka kampuni flani.

Niijuavyo forex ni purely discipline ndio inayowatoa watu kwa maana hakuna anayekuwa na uhakika wa asilimia 100 wa kujua movement ya trade unless kama una inside info. Historia inaonesha waliofanikiwa wengi trial zao za mwanzo waliblow ac several times,je ni watz wangapi watakuwa tayari kurudi tena baada usd zao 1000 kupotea mwanzo ndani ya mda mfupi? Wengi wataishia kukulaumu.

Binafsi nilikuwa na mentor mzuri na darasa la kishkaji pamoja na demo kwa miezi 3 lakini nilipokuja kuingia live nilisahau darasa lote na kupoteza buku langu nililokusanya kwa jasho. Maana ni rahisi kujifanya unajua kuliko mwl na kufanya tofauti.nakuhakikishia kwavile kila mtu ana akili yake sio wote watafuata utakachowafundisha,hapo ndio majanga lazima yatokee.

Najipanga kurudi tena,umenihamasisha japo wadau wako wamechukulia kama ni rahisi sana japo wana safari ndefu sana kutokana na mihemko wanayoonesha.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…