Kuna position ziko wazi?Hii ni demo account, kwenye account nina Euro 999.75 kama inavyoonekana, kwenye lot size nimeweka 0.01 account ni Micro, halafu inaniambia not enough money, hii imekaaje? maana nilisha trade tena ikakubali ila sasa inakataa
View attachment 557415
Sina open position, situmii leverage, yaani ni 1:1Sababu ni hizi..
1. Huna positions zinazo run??
2. Unatumia levarage ya ngapi??
Jibu tuendelee...
hapana open positionKuna position ziko wazi?
love thé love or hâte thé love.....
Sina open position, situmii leverage, yaani ni 1:1
sipendi kutumia leverage kwenye demo, kwa sababu hata kwenye real sitatumia pia (at least kwenye kipindi hiki nikiwa mgeni), nilidhani account yangu ni micro, ambayo dola 1000 inatosha kabisa kwa lot size za 0.01 na 0.1 ilamaybe nilikosea, so unaweza ku set leverage huku account umeshaifungua? au kuibadilisha from standard to micro?Hapo ndio kuna tatizo...
Anyways, from what I see, unataka kutumia lot size ya 0.01 na account yako ni standard account!! pili kuna uwezekano umeset levearage ya 1:1 ikimaanisha unatumia ela zako tuu!!
Sasa kama unatumia standard account ambayo ina size ya 100,000 ukizidisha na hiyo 0.01 ina maana unahitaji not less than 1000usd kufungua position!! Kwa salio lako la 995 huwezi fungua position!!
Unatakiwa uongeze leverage atleast iwe kubwa ya 1:1 may be weka iwe 50:1 au 100:1 au zaidi ila isiwe 1:1!!
Nakushauri ukasome vizuri leverage itakusaidia mahali!
Karibu mkuu!!
Nimekupata mkuu, ila lazima ujue leverage sio mbaya na kama huna nia ya kutumia basi weka ndogo kabisa!!sipendi kutumia leverage kwenye demo, kwa sababu hata kwenye real sitatumia pia (at least kwenye kipindi hiki nikiwa mgeni), nilidhani account yangu ni micro, ambayo dola 1000 inatosha kabisa kwa lot size za 0.01 na 0.1 ilamaybe nilikosea, so unaweza ku set leverage huku account umeshaifungua? au kuibadilisha from standard to micro?
Sidhani kama unaweza badilisha leverage, ni shida. The way forward ni kufungua demo nyingine, na pia usiogope leverage. mbaya ni ile kubwa sana kama 1:500. lakini hizi 1:100 mpaka 1:10 ni nzuri kutumia.sipendi kutumia leverage kwenye demo, kwa sababu hata kwenye real sitatumia pia (at least kwenye kipindi hiki nikiwa mgeni), nilidhani account yangu ni micro, ambayo dola 1000 inatosha kabisa kwa lot size za 0.01 na 0.1 ilamaybe nilikosea, so unaweza ku set leverage huku account umeshaifungua? au kuibadilisha from standard to micro?
Leverage naongezaje? halafu nimecheki demo nakuta hakuna option ya kufungua demo kwenye micro, wanaruhusu demo kwenye standard account tu?Nimekupata mkuu, ila lazima ujue leverage sio mbaya na kama huna nia ya kutumia basi weka ndogo kabisa!!
Na kwa case yako hutaweza fungua position mpaka uwe na salio kubwa zaidi ya 1000 au uongeze levarage au ufungue acc. yenye 1000 net then ndio uweke hiyo leverage ya 1:1!!
Nakushauri uongeze leverage, ni vyema ukaifanyia mazoezi maana kuna point utaihitaji!!
Mkuu hakuna demo za micro account? maana nacheki kwenye XM naona option ya standard account na xm zero tu (hii sijui ni ya aina gani)Sidhani kama unaweza badilisha leverage, ni shida. The way forward ni kufungua demo nyingine, na pia usiogope leverage. mbaya ni ile kubwa sana kama 1:500. lakini hizi 1:100 mpaka 1:10 ni nzuri kutumia.
Imekupa mwanga?
eti mkuu kuna broker wanaotoa demo za micro account au lazima ziwe standard?Yah, Niliielewa uandishi wako ulichokkusudia kukiandika. Ila kuhusu kuunganisha logic na kulichoandikwa, hilo bado mpaka nitulie nivitengee muda.
Option nyingi inategemea broker unayemtumia. Lakini unaweza ongeza demo nyingine kwenye broker uliyenaye (kama ana option hiyo). hizo micro account pia inategemeana na broker, so far nyingi ambazo ni maaarufu ni standard size (100,000) na Minilot (10,000). broker wengi wanatumia moja hiyo ya standard size.Mkuu hakuna demo za micro account? maana nacheki kwenye XM naona option ya standard account na xm zero tu (hii sijui ni ya aina gani)
eti mkuu kuna broker wanaotoa demo za micro account au lazima ziwe standard?
so kuongeza naongezaje?Option nyingi inategemea broker unayemtumia. Lakini unaweza ongeza demo nyingine kwenye broker uliyenaye (kama ana option hiyo). hizo micro account pia inategemeana na broker, so far nyingi ambazo ni maaarufu ni standard size (100,000) na Minilot (10,000). broker wengi wanatumia moja hiyo ya standard size.
kwa nilivyosoma huu mchezo ulivyo, sitaki nijilipue kwa ma leverage hapa mwanzo...ila nitatumia ya 1:2 sababu imebidi kwenye demo na kwenye real nitatumia leverage hiyo , hawa XM sijaona option ya micro kwa demo naona tu standard na zero (zero sijui ndio ipi)wapo wanaotoa micro account, Mfano ni XM. Ila sioni big deal. Nimeona post zako za juu hapo kuhusu Leverage. Hapo katika leverage ni kama unaogopa kivuli chako, Na itakukawiza kufika katika safari ya mafanikio. Kama si muumini wa leverage, atleast weka ya 10:1. Kama analysis zako unafanya vyema, Huna haja ya kuogopa leverage.
Kama unatumia XM brokers login nenda sehem imeandikwa my account shuka chini utaona leverage then set hapo!!Leverage naongezaje? halafu nimecheki demo nakuta hakuna option ya kufungua demo kwenye micro, wanaruhusu demo kwenye standard account tu?
Hata Mimi nahisi ni hivyo .. Kwa kadri ya nilivyoelewa! Ngoja Mkuu atatupa majibu sahihiQUIGLEY kwa nilivoelewa:
Nikiwa na master card ya hapa tz let say ya barclays au I&M bank nitaitumia hiyo kudeposit pesa na kuituma kwa broker, then baada ya kupata faida kwenye trade account yangu nitaitoa hiyo pesa kiipeleka account yangu ya skrill na baada ya hapo ni kuisend to master card yangu ya payoneer bank ili ni withdrawl anywhere anytime.
So local master card ni kwa kudeposit kwa broker, na hiyo master card ya nje ni kwa withdrawal purposes... Au sio mkuu??
Sent using Jamii Forums mobile app