Yah, Niliielewa uandishi wako ulichokkusudia kukiandika. Ila kuhusu kuunganisha logic na kulichoandikwa, hilo bado mpaka nitulie nivitengee muda.
SCAM, SCAM ,SCAM nashauri watu waende kwenye main websiteDaah Jamani Mkuu QUIGLEY asante sana kwa elimu yako ya bure ya leo juu ya Payoneer.. Nimefanikiwa pia kufungua account yangu ya Dollar via Online Banking. Kumbe iko facilitated na First Century Bank.. Aisee nimefurahi sana kwa kweli leo!!!
Kwa wale ambao mko interested pia kufungua hii account msisite. Procedures ni rahisi sana zaidi ya unavyofikiria!!
Linki hii hapa ya Kuingia moja kwa moja kwenye application form ya Payoneer!
RAF - PAYONEER
Ubarikiwe sana Mkuu!
SCAM, SCAM ,SCAM nashauri watu waende kwenye main website
Uko sahihi card nazo ni msaada pia but bado sija applyDah mkuu naona unakwenda kasi kweli, umetoa mawazo mazuri na mchango wenye msaada Sana!
Vipi ulishawahi kufikiria kuhusu Card wanazotoa brokers mfano kama hiyo XM hapo juu aloiweka ONTARIO ?
Nadhani hiyo card ndio best Solution isiyo na mlolongo kwahiyo ingependeza zaidi tukaangalia na upande huu nao Upo vipi
Mi nafikiri kama hizo kadi za broker zingekua msaada kwa Tanzania ONTARIO asingetuambia anasumbuliwa kutoa fedha zake bongo,labda hizo card za broker ni maalum kwa nchi flani flani coz wanakua na busness partiner na benk fulani
GBPJPY huwa tamu sana anza kuifuatilia boss wanguYani niliangalia nikiwa natamani muda urudi walau dakika tano nyuma lakin ndo basi ikawa imenipita!!! Yani kama mtu uneset sell stop order alafu ikawa triggered mda huu ingekua unacheka tuu!!!
Sijazoea ku trade na pound itabidi niwe flexible sasa!!
No...rate za card za nje hazihusiani na rate za ndaniNilikua nafikiria namimi niichukue, shida ukitaka kutoa kwa huku si watakupiga kwenye rate au??
Alafu brokers si wanatoa card pia?? What if nikitumia card ya broker??No...rate za card za nje hazihusiani na rate za ndani
Nimezoea sana EURUSD na mara chache sana USDJPY ila nitaanza ifwatilia!!GBPJPY huwa tamu sana anza kuifuatilia boss wangu
Xm anayo card kwani ndiye ninayemtumia..japo watu wanaogopa spread zake kubwa lkn ni kampuni bora sana na ni la 4 kwa ubora dunianiNadhani kwa sasa wenda hawatumii tena ndio maana!! japo sizani kama kuna broker ambaye hatoi card za atm am not sure though!!
sasa kinachomsumbua Ontario ni nini mana kwenye post ya mwanzo alipost mpaka na card ya XM, AU KUNA BAADHI YA BROKER HAWANA CARD
Wanazo atm card mkuu...unaweza apply!!Xm anayo card kwani ndiye ninayemtumia..japo watu wanaogopa spread zake kubwa lkn ni kampuni bora sana na ni la 4 kwa ubora duniani
Uko sahihi...marekebisho kidogo;QUIGLEY kwa nilivoelewa:
Nikiwa na master card ya hapa tz let say ya barclays au I&M bank nitaitumia hiyo kudeposit pesa na kuituma kwa broker, then baada ya kupata faida kwenye trade account yangu nitaitoa hiyo pesa kiipeleka account yangu ya skrill na baada ya hapo ni kuisend to master card yangu ya payoneer bank ili ni withdrawl anywhere anytime.
So local master card ni kwa kudeposit kwa broker, na hiyo master card ya nje ni kwa withdrawal purposes... Au sio mkuu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe unafaa sana, inapendeza ukisaidika wasaidie na wengine kama ONTARIO alivyotufunguaDaah Jamani Mkuu QUIGLEY asante sana kwa elimu yako ya bure ya leo juu ya Payoneer.. Nimefanikiwa pia kufungua account yangu ya Dollar via Online Banking. Kumbe iko facilitated na First Century Bank.. Aisee nimefurahi sana kwa kweli leo!!!
Kwa wale ambao mko interested pia kufungua hii account msisite. Procedures ni rahisi sana zaidi ya unavyofikiria!!
Linki hii hapa ya Kuingia moja kwa moja kwenye application form ya Payoneer!
RAF - PAYONEER
Ubarikiwe sana Mkuu!
Its ok pia but ninachofurahia Payoneer ni huduma za kibank pia..wawezatumiwa ama kutuma ama kulipa kuwatumiaAlafu brokers si wanatoa card pia?? What if nikitumia card ya broker??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nalijua gharama zao ni $10
Futa ulipo mquote huyo jamaa tusichanganye wadau..tuko hapa kusaidiana wakuuDaaah nashangaa sana pale mtu anapocomment kitu bila kuwa na elimu nacho!! Soma kwanza mkuu upate uelewa ndo ucomment usipotoshe watu!!
Naomba ufute ulipo quote jamaa inaleta usumbufu tunachanganya wadauMkuu link ya jamaa sio SCAM ila anapata benefit kwa kushare, Angalia web address vizuri mkuu
Futa hiyo post yako mkuu, umeleta usumbufu, hiyo link ni sahihiSCAM, SCAM ,SCAM nashauri watu waende kwenye main website
Zinapatikana wapi mkuuNimecheki naona wanauza 10 USD, Ngoja nifanye mpango wa kuzipata.