Uko sahihi...marekebisho kidogo;
Iko hivi, pesa ya kwanza unayoituma kwa broker mfano $100, lazima uwithidrawal kwa same acc uliyotumia kumtumia broker wako, ndipo zinazofuata unaweza kutuma kwa skrill a/c. Hivyo ninyi mnaoanza kwa ufahamu huu msifanye makosa kama mimi niliyeanza kwa CRDB.
Tuma kwa skrill a/c yako ndipo utume kwa broker ili iwe rahisi kuwithdrawal bila kulazimika kurudisha kwa local a/c.
Kuhususu mastercard ya I&M bank na barclays ni kwa ajili ya kudeposit $ zako tu kwa ajili ya kuzituma
Pitia posts zangu hapo juu halafu utauliza kama hujaelewa mkuu wanguDaaa CRDB ndo maana wajanipa majibu paka wa leo KUMBE kwaiyo mkuu pesa CRDB wanachukua hama inakuwaje naomba ufafanuzi tafadhali maana ni mmoja wao ninaetumia VISA ya CRDB.
Pitia posts zangu hapo juu halafu utauliza kama hujaelewa mkuu wangu
Nime sign up payoneer ila sijaona sehem yeyote inayo elezea jinsi ya kupata Mastercard yao pia cjaelewa nijinsi gani niki withdraw salio xm litakavyo fika payonner.
QUIGLEY na wengineo wenye kujua naombeni msaada wenu katika hili.
wakija Arusha niquote mkuu
Kwenye hivi vitabu naona njia nzuri ni kuviblend viwili ama vitatu ili upate desired knowledge. Kwa mimi naona kitabu cha Astro Fx kama kinachanganya vile, siuoni ule mtiririko fulani hivi utakoukufanya uende with the book's flow (labda ni kwa vile wenyewe wana video clips during sessions which work hand to hand with books).
Mkuu Umepitia the hard way niliyopitia,
sijui kama itawork out kwako, nilipata shida mwanzo kwa kuanza na Nacked, then Astro, nilitoka patupu, yaan bila bila! niliwind, nikaanza na Forex Godfather, nikaja kwa Forex 7 Winning Strategies, nilipomaliza nikairudia Astro forex, Then Nacked, nikapause nikachek Utube nyingi sn, then nikaianza Forex trading For dummies. hopeful nianze Forex Bible na nifungue demo account. ila ukimaliza hivyo, vingine unatereza sn.
Guys tupo pamoja sana sana sana. Tumieni weekend hii kurudia rudia vitabu. We only have One week ahead of us. Tayari nimepambana sana guys, I wish I could tell you in another language ili muelewe how I hv hustled to make this whole thing real. Sasa imebaki kazi kwenu, kusoma na kukusanya mtaji.
Tukianza tunaanza pa1 with DREAMS & VISIONS kwenye vichwa vyetu. Nimekusanya pesa za kutosha this week - na leo ilikua NFP basi furaha tele. We will keep making money together hadi tupate urithi wa kuwaachia wajukuu zetu.
Bosses enjoy your weekend. Na nashukuru sana kwa wote wanaojitahidi kutoa elimu na kuclarify vitu vidogo vidogo kwa wavivu wasiopenda kusoma. Kwa wale wavivu ht chapter 1 wameshindwa kusoma, niseme tu wazi - sitawahitaji kwenye mentorship program yangu, sitaki aibu. Nimetumia almost 6 years to build my reputation sihitaji kuiharibu kwa ujinga wa mtu asiyetaka kujishughulisha.
Guys again, tumebaki na week 1 tu... J5 au Alh tutakua na uzi mpya wa kujua what's next.
Bless up!!
Sawa kiongoziGuys tupo pamoja sana sana sana. Tumieni weekend hii kurudia rudia vitabu. We only have One week ahead of us. Tayari nimepambana sana guys, I wish I could tell you in another language ili muelewe how I hv hustled to make this whole thing real. Sasa imebaki kazi kwenu, kusoma na kukusanya mtaji.
Tukianza tunaanza pa1 with DREAMS & VISIONS kwenye vichwa vyetu. Nimekusanya pesa za kutosha this week - na leo ilikua NFP basi furaha tele. We will keep making money together hadi tupate urithi wa kuwaachia wajukuu zetu.
Bosses enjoy your weekend. Na nashukuru sana kwa wote wanaojitahidi kutoa elimu na kuclarify vitu vidogo vidogo kwa wavivu wasiopenda kusoma. Kwa wale wavivu ht chapter 1 wameshindwa kusoma, niseme tu wazi - sitawahitaji kwenye mentorship program yangu, sitaki aibu. Nimetumia almost 6 years to build my reputation sihitaji kuiharibu kwa ujinga wa mtu asiyetaka kujishughulisha.
Guys again, tumebaki na week 1 tu... J5 au Alh tutakua na uzi mpya wa kujua what's next.
Bless up!!
Acha nipige msuli wa kutosha till dawn coz this business needs knowledge not blah blahGuys tupo pamoja sana sana sana. Tumieni weekend hii kurudia rudia vitabu. We only have One week ahead of us. Tayari nimepambana sana guys, I wish I could tell you in another language ili muelewe how I hv hustled to make this whole thing real. Sasa imebaki kazi kwenu, kusoma na kukusanya mtaji.