Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hongera sana mkuu, umejitahidi!! kama uliweza kupata dola kumi ni hatua nzuri sana!!

Hiyo ilishanikuta hata mimi!! kilichonimaliza mimi ilikua tamaa!!

Ila jitahidi kutumia stoploss, weka leverage ndogo na tumia position size ndogo, na zaidi ya yote, kabla hujafungua position jitahidi kufanya analysis vizuri!!

Aisee yani unaweza kuta umepoteza ela mpaka unajishangaa na kujiuliza nini kimetokea!!!

Ni vyema uka jua kabisa, hapo sio mwisho wa kusoma, jitahidi kupitia vitabu, usome kadri uwezavyo!!

Congratulations mkuu!!
 
Mkuu mimi ni mpya kabisa nimevutiwa na natamani sana kujua sijui nianzie wap ili niende sawa na wenzangu
 
hello pipos kufahamu candlestick kwa undani sio mbaya ili ku master hii kitu...kama kuna mtu ataweza ku download kitabu hicho...itakuwa poa. kimekuwa recommended na currency for dummies....hakipo nje ya syllabus haha
 
hello pipos kufahamu candlestick kwa undani sio mbaya ili ku master hii kitu...kama kuna mtu ataweza ku download kitabu hicho...itakuwa poa. kimekuwa recommended na currency for dummies....hakipo nje ya syllabus haha
 

Attachments

Wakuu uzoefu mlionao katika mabroker mbalimbali naomba kujuzwa broker anaeweka spread (Currency defference btn buying and selling) ndogo kuliko wengine...............nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Morning good people!!

Nikisema kitu sibahatishi guys, I am doing good guys, same does our project. Tukianza tunaanza na speed ya radi. Tuna siku chache sana zisizofika siku 7. Ongezeni knowledge na mitaji dear traders. Nataka tukianza tunaanza kupiga pesa on the spot, sio upuuzi wa demo.

Mungu ni mwema sana bosses, I actually can't believe this is about to happen. Kwa niliyokutana nayo during the whole process naweza kusema - I have been stronger than ever before. Thanks all kwa ushirikiano wenu, wishing u nice preps.
 
Morning good people!!

Nikisema kitu hua sibahatishi guys, I am doing good guys, same does to our project. Tukianza basi tunaanza na speed ya radi. Tuna siku chache sana zisizofika siku 7. Ongezeni knowledge na mitaji dear traders. Nataka tukianza tunaanza kupiga pesa on the spot, sio upuuzi wa demo.

Mungu ni mwema sana bosses, I actually can't believe this is about to happen. Kwa niliyokutana nayo during the whole process naweza kusema - I have been stronger than ever before. Thank you all kwa ushirikiano wenu and wishing u nice preps.
 
Tuko pamoja Chief Ontario Mungu atatuwezesha sote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tuko pamoja mhenga hapa ni mwendo wa kupiga msuli haswa usiku na mchana tunakuombea kwa mwenyezi mungu atujalie afya njema tuweze kutimiza malengo . Happy to hear that the game of bulls and bears is about to start officialy Let me wish all the PIP hunters all the best.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…