Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wadau wote kuanzia mkuu ONTARIO na wachangiaji wote heshima kwenu!

Nimekuwa msomaji tu wa uzi huu toka mwanzo lakini leo nami niweke japo mawili matatu hapa

Toka nijiunge JF takribani miaka 6-7 (Mimi ni Muhenga) nakiri kuwa uzi huu umekuwa Very Educative and Informative too!
Nimepitia karibu comments zote.. nimesoma baadhi ya vitabu lakini nikiri kwamba hata usomaji bila muongozo na ufafanuzi wa Mwalimu inakuwa na ugumu wa kuelewa content na dhamira japo utasoma lugha na kuielewa lakini miongozo ni muhimu huku ukiwa na hazina ya books references kichwani

Kwa maana hiyo pongezi pia kwa waliotafuta vitabu mbalimbali na kuviweka humu na pia kwa wale ambao wametangulia mbele kwenye forex na wakaweza kujibu maswali mengi humu na kuwaongoza wengine

Stages alizofikia mleta uzi si za mchezo mchezo japo ni za muda mfupi
Nimpongeze kwa juhudi zake binafsi nanpia nimpongeze kwa moyo wa kushirikisha..Wazungu wanasema "Sharing is Caring"

Nimeona jitihada za watu kujifunza na kujaribu trading kwa different brokers kwa kadri nafsi zao zinavyowasukuma... ni jambo Jema pia

Kwa ushauri wangu bado naona tunahitaji mafunzo na kuweka milestones kwa kuongozwa na "Mentors" mbalimbali tukianzia na Our First Mentor ONTARIO

Subira huvita heri.. japo kuna muda umepita tangu uzi huu uingie angani na changamoto mbalimbali zimepitiwa bado naamini kwa watakaofanikiwa ku catch up darasa la Sirjeff hakika watafika mbali na nikisema darasa simaanishi forex knowledge tu bali pia moyo, utashi,dhamira na uvumilivu wake katika malengo na zile tahadhari mahsusi kwenye biashara ya Forex

JF ni familia kubwa na wengi hawajuani zaidi ya vikundi vichache wanaointeract kwa ukaribu na baadhi yao wameshafanya mambo ya upamoja kama kuona wagonjwa hospitali na wengine wanatamani kufahamiana huku wengine pia wakiogopana kwa minyukano wanayopeana

Natumaini kupitia hii kutakuwa na muunganiko mkubwa wa wana JF na kuzaa jambo jipya badala ya mambo waliyozoea ya kupashana habari mbalimbali..Elimu..Biashara na kulumbana kisiasa

Kwa kulishukuru jukwaa hili pia wale watakaofanikiwa kuelimika na program hii ya ONTARIO ni vema wakaendelea kuelimisha wengine na kuhakikisha JF inadumu
Nimeona waelimishaji wazuri akina mwl RCT, Lodrick Thomas, QUIGLEY (Mfanananiaji Mwandiko na Ontario) Bavaria DaHustler na wengine wengi ambao sijawataja mungu awabariki

All the best ONTARIO
All the best Members
All the Best Maxence Mello/Mike Mushi, Ashadii, Moderators na JF team mmepambana kufanya Platform ifikie hapa na kuwanufaisha wengi

Kama Mods hamtajali na kwa hisani ya Muanzilishi wa uzi mnaweza kuweka uzi dedicated kwa Forex Books na Materials nyingine ili kuwasaidia wasomaji wapya kupata mahitaji yao kwa urahisi na sehemu moja bila kulazimika kupitiapitia post mbalimbali
Uzi huo utakuwa ni wa Books, Materials, References, Brokers List, Bank Lists nk ONLY!

ONTARIO kanyaga twende!

Nawasilisha!
 
Patience pays. Been waiting for this to mature.....I started to read this thread right after I my had my baby boy, was still in pain then, but I told myself this is it. To cut long story short, been watching this thread the same way been watching my baby grow....patience pays, and here we are. Thank you so much Ontario.

This means a whole new chapter in our lives. Be blessed beyond measures, may ur cup overflow.
 
Asante kwa jibu lako ...

Ila ile post pale juu namba [HASHTAG]#6307[/HASHTAG] ni sawa na Mkuu QUIGLEY anavyojaribu kutuelewesha?

Kwa nilichomuelewa, kwanza unatakiwa uwe na visa/mastercard then utaitumia kuweka pesa skrill, from skrill ndio utaweza ku deposit kwa broker!!

Utaweza kutumia acc ya skrillkufungua acc kwa hao pioneer ambao wao watakupa card na hiyo card watakutumia kwa njia ya posta!!

Personally bado sijajaribu kuifungua, so siwezi kuitolea mawazo zaidi mkuu wangu!! hopefully QUIGLEY atakuja kutoka mawazo zaidi!!
 
 
Thank you boss, ONTARIO for the update.

Whenever I see your post, I feel motivated and inspired to move on

Kwa post hii for we newbies, nimejifunza kuwa tunapaswa kuandaa rasilimali wezeshi zifuatazo. Na nahisi lacking of these could lead to technical disqualification of entry to the seminar (correct me if I am wrong):

1. Forex skills and knowledge - as you have repeatedly insisted that we keep studying books you recommended and understand what is written in.

2. Laptop - I see this is very handy for analysis. If someone lack this I see that it might be hard to do right analysis comfortably.

3. Tablet/good smartphone - this is useful for monitoring opened positions

4. Start-up capital - as you said we don't demo trading instead we go straight to real trading[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] .

Asante mkuu ONTARIO tuko pamoja and we are really going to kill the market from the very start. Haters will astonishingly see us flying like eagles in the sky.
You have fought a good bettle from beginning of this venture to date and victory is now ours, Congratulations.

See you soon
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeuchelewa sana huu uzi, na kilichonileta tena JF ni kutaka kupata app developer, nidesign game, tutumie Adsense na kuiweka playstore, haki, bro umeibadili akili yangu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: MC7
Ahaha umenikumbusha chuo grp letu lilikua linaitwa vivu grp sema tulikua hatushindwi kitu full kuzima moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MWANA WA NGURUMO: you have brought up a very important observation. Thanks

We've got to have all those mentioned condition to trade well.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa nimshukuru mungu kutupa uhai na afya ya kutosha pia kutoka ndani ya vilindi vya moyo WANGU nimshukuru mzazi mwenza kwakuzaa mtoto ambaye amemlea katika maadili ya upendo heshima na maalifa ya kubadili hali yauchumi wa vijana wenzeke pamoja nawatanzania wapenda mabadiliko kiuchumi kisiasa na kijamii najua sio rahisi lkn mungu amekuwezesha kufika hatua ambayo Leo nadiliki kusema mabadiko makubwa sana umefanikisha kwani Forex Tanzania ilikuwepo walikuwa wanatread wahindi nawakubwa na watoto wao hivyo tunakila sababu ya kuendelea kumuomba mungu ampe ulinzi kijanawetu Ontario na wenzake wawafikie kundi kubwa zaidi lkn nichofunza kwa kijana huyu amefundisha wengi kuwa uchoyo hauna faida vijana wamepata muamuko mkubwa sana ndani ya Uzi huu wanasaidiana kama watoto WA familia moja hongera sana srjeff mungu akuzidishiee Sikh za kuishi ili watu wapate vitu kutoka kwako niwaombe wadau wote WA forex Tanzania tuungane kuukimbiza umaskini kwa nguvu zetu zote tuweke hapa market ijuwa kuna upepo unavuma kutoka Tanzania tukabiliane na kila hila za wapinga mafanikio ya vijanawetu mwisho usituache wazee kwenye darasa kwasababu zozote zile naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau kuna anayejua binary options inayotumia bitcoin kuweka na kutoa pesa
 
Mkuu nin Dola 100 nataka kujiunga , na hii kitu naweza kufanikiwa?
 
Achana nao mkuu.
Mi hata ndugu zangu hawaelewi nafanya nini.
Wanaona graphs zinapita kwenye screen hawajui ni nini.

bro msaada tafadhali katika kuijua hii habari na jinsi yafanya kazi kwa undani zaid... and how to do it..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…