Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Ahaa.. Na kawaida umesema inachukua wiki 2 mpaka 3 si ndivyo?Kitendo cha kukamilisha kujisajiri, tayari kadi yako inaandaliwa, na utatumiwa kwa anwani uliyo jaza. Iwapo umeweka S.L.P sahihi utaipata kadi yako.
Ninavyoelewa hapo ni kwamba kuingia kwenye market wakati trend ipo kwenye Support ni risk kwa sababu sometime market does not respect the support ambapo wewe ukienda bottom fishing unaweza kwama kwenye tope. Ila pia ikijibu inakuwa na reward nzuri kwasababu utakuwa umekusanya PIPs za kutosha. Inashauriwa kusubiri na kuangalia candles zinazofuata zinaconfirm nini? Kama ni uptrend then unaingia sokoni. Same applied to when the market hit the resistance..buying new lows – also
known as bottom fishing. This is where the trader will attempt pick the market
bottoms, focusing on getting in at the low of the price action downtrend. This
method is extremely risky alongside selling new highs! Traditional trading suggests
waiting patiently for confirmation that the underneath support level has
held and prices are moving in an uptrend with higher highs and higher lows.
naombeni ufafanuzi zaidi hapo
buying new lows – also
known as bottom fishing. This is where the trader will attempt pick the market
bottoms, focusing on getting in at the low of the price action downtrend. This
method is extremely risky alongside selling new highs! Traditional trading suggests
waiting patiently for confirmation that the underneath support level has
held and prices are moving in an uptrend with higher highs and higher lows.
naombeni ufafanuzi zaidi hapo
Cha kuongeza hapo ni kuset Stop Loss just few PIPs above and below just incase things went south.Mkuu for my own knowledge when you confirm that the the trend is approaching with higher highs and its reaching the resistance levels its a good sign to go long. But do not only depend on this use other indicators.
And when there are high lows ambazo zime reach your support level its a good sign to go short.
Wakuu mwenye kuongezea zaidi pia anaeza toa more info depending on entering a trade depending on a trend.
Hahah hahaha nimecheka kwa sauti forex itatoa watu roho duuhNajitoa kwako forex kwa akili zangu zote na kwa uwezo wangu wote hadi siku nitakapofanikiwa
na hata nikifanikiwa sitakuacha asilani forex wangu,na hata nikiunguza account sitokuacha kwani nimeunguza sana kwa mhindi kwenye kubet bora forex maana najua nitakuwa nakukumbuka sana na kuwaza ulikonitoa.
Wandugu na wapenzi wa forex tusomeni tena sana maana najua kila mmoja wetu kila kukicha anapata mwangaza ndani ya forex,Mhenga wangu Ontario barikiwa sana tena sana.
- Ndio waweza kufanikiwa
- Maana wapo walio anza na 30usd na kupanda nayo kidogo kidogo, uku wakiendelea kujifunza.
OkayUmejijibu mkuu..unatumiwa kama parcel within 10 days iko mikononi
Would you mind being my mentor? Nimesoma kidogo kupitia app ya Go Forex, but I think I need someone to explain few things... Nahtaji msaada. Katika app nko na virtual money katika demo, na wanatumia REAL MARKET DATA lakn bado kama celew naanzia wapiPeruzi vizuri mkuu
Mwl. Rct
You too... Msaada pls... Huenda mimi nachelewa sana kuelewa mamboKitendo cha kukamilisha kujisajiri, tayari kadi yako inaandaliwa, na utatumiwa kwa anwani uliyo jaza. Iwapo umeweka S.L.P sahihi utaipata kadi yako.
Mkuu for my own knowledge when you confirm that the the trend is approaching with higher highs and its reaching the resistance levels its a good sign to go long. But do not only depend on this use other indicators.
And when there are high lows ambazo zime reach your support level its a good sign to go short.
Wakuu mwenye kuongezea zaidi pia anaeza toa more info depending on entering a trade depending on a trend.
Mimi sio mtaalam kivile lakini naweza kwa kiwango changu, nami nakodolea macho kwa ONTARIOWould you mind being my mentor? Nimesoma kidogo kupitia app ya Go Forex, but I think I need someone to explain few things... Nahtaji msaada. Katika app nko na virtual money katika demo, na wanatumia REAL MARKET DATA lakn bado kama celew naanzia wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mzee baba hapo umechanganya mkuu wangu we normally don't go long on resistance unless unategemea kuwa price itabreak resistance...
Nini kitakachokufanya uone kama price itabreak resistance???
price lazima ipause kwa muda mdogo (yaani i-consolidate ) na kama unatrade naked basi imeprint bullish trendy kangaroo na hyo trendy kangaroo iwe ni ideal...yaani iwe na characteristics zote za normal kangaroo tail except room to the left..
The vice versa is correct for support
Note Go long=Buy
Go short= Sell
Anaposema a trader should wait patiently for news higher highs and high lows and the support has held ana maana kuwa hapo uptrend imeanza na hapo ndo unago long (unaweka buy setups) na unaweza fanya hvo baada ya kuangalia bullish catalysts kama vile bullish kangaroo tail...bullish engulfing candlestick... Tweezer bottom...morning star...etc...unaweza kuongezea na Movinng average indicator
Kama nitakuwa Nimekosea I stand to be corrected wakuu..
Thanks for correction mkuu.
Thats more than enough... Sbb mie ndo najiona cjui lolote kbs... Hata nkibetigi huwa naishia kupunwa tu[emoji22] . But hapa, katika real world, with real people, nahc naweza fanya kitu... And am really thankful for that....Mimi sio mtaalam kivile lakini naweza kwa kiwango changu, nami nakodolea macho kwa ONTARIO
But sishindwi kukusaidia hata kwa kiwango kidogo