Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Kwa watu wa mkoani wanapataje ushauri wako
 
Mkuu Nadhani unapenda kujulikana.Kama umeusoma uzi huu Na kuelewa usinge andika pumba.Au wewe ndio hao wasio taka jamii kufahamu Forex?
 
Mkuu na mi mwanaume wa mkoani lakini naomba niwe kati ya hao 300 wa mwanzo muda wa kuanza darasa ukifika ntasafiri na kuja kulala kwenye hizo guest house za elf 10 kama ulivyotuelekeza wanaume wa mikoani.
 
Ahsante sana kaka kwa kushawishi na kuleta hii fursa isiyojali hali ya uchumi wa nchi kama zetu ili kufanikiwa. Kwa ufupi watu waache kusema vitu wasivyovijua...wapo wabongo ambao wana trade FX kitambo na wanafanikiwa na wapo waliofeli na kukimbia. Hii kitu ni real na sio utapeli, jielimishe tu utajua ukweli ila usikatishe watu tamaa kuwaambia huu ni utapeli wkt huna uhakika. Mfano mimi mwenye natrade forex (see my card from XM broker) na huniambii kitu kwa sasa kwenye hii tasnia...just get in utanielewa. Watu kuweni positive minded, mjifunze (na sio lazima kwa huyu) na mtapiga hela. Cheers!
 
Sawa nimekusoma

Lakini let be honest for a minute

Foreign Exchange Market ni speculative process.

Kwa maana hii naona nafasi ya traders wadogo kupiga chapaa inakuwa minimized na upatikanaji wa taarifa kwao.

Pia ni ukweli traders wadogo hawana control yoyote dhidi ya brokers wanaowatumia

Hii business haina regulations, only demand and supply ndiyo inasimamia kila kitu. Hapa maana yake broker ndiyo "King" anaweza amua kufanya manipulation

Pia kwa sababu ya high volume of liquidity traders wadogo ni rahisi sana ku-over trade na mambo yakiwa tofauti ni kilio.

Wangapi hapa wapo tayari ku-risk $1000?

Je hizo $1000 zikipukutishwa wataongeza nyingine kufidia losses?

Binafsi naona forex unahitaji kwanza kuwa na vijisenti kwasababu kuna msemo Failure is the mother of success.

Na hii ipo ki mkakati maana kupigwa kwenye forex week chache za mwanzo ni rahisi kama vile mtoto anayefijunza kutembea anavyoanguka mara kwa mara

Binafsi naona ili upate profit lazima muda mrefu wa kujifunza uhusike na kama ulivyosema usiingize emotions. Yaani uwe professional kabisa.
 
Mkuu naomba namba ya simu.nadhani mimi ntakua mmoja wapo wa balozi wako.
 
Ni vizuri ametukumbusha kuhusu Forex Trading ingawa baadhi yetu tulisha isikia bila kuchunguza zaidi. Lakini pia nimemuelewa kwamba Ontario lengo lake ni kuanzisha u broker ili atengeneze pesa kwa commission. Wabongo wanatakiwa wawe waangalifu amasivyo watapoteza pesa kwa pupa. Kwanza hiyo training atakayo toa ni bure au ndiyo njia ya kujipatia pesa?
 
Ahsante kwa ku_share nasi Bavaria , Nimekipata Hiki hapa kwa wengine watakao kihitaji.
 

Attachments

Nakuunga mkono mzee,
 
Smart
 
acha ujinga kiswahili ni lugha nyepesi sana limetolewa tamko USI-QUOTE bado tu, Fahari mama wa ujinga
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…