Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
You actually don't know sh!!!t about FOREX.
 
Ngoja kwanza nimalize weekend yangu halafu kesho nitaupitia huu uzi vizuri kabisa
 
Ahsante kwa ku_share nasi Bavaria , Nimekipata Hiki hapa kwa wengine watakao kihitaji.
Mwalimu nakusalimu.
Kisome kwa moyo wote mkuu. Kitakupa mwanga wa nini unataka kukifanya.
Anza na part three kwanza ukimaliza uje part ya kwanza na ya pili.
Mkuu, nimewahi kukutafuta mara kadhaa ila ukakausha, sijui unahisi mimi ni member wa TISS.
 
Kaka uko sahihi, na inaoneka kibiriti kimeshakupitia (kama successful traders wengi wengineo) ukawa muoga na kumezwa na propaganda za walioshindwa. Ila pia wapo wanaoendelea kufanikiwa kwa mamilioni dunia nzima, nafikiri tutamani kuwa kama wao kuliko kufikiria kushindwa.

Ofcoz hakuna biashara inayolipa sana ikose hatari kubwa ya hasara, uzuri umesema moja ya changamoto kwenye hii ni emotions, kwa maana unaweza kuona hela iko njenje mambo yakageuka ukaliwa na kuchanganyikiwa.

Uzuri wa mleta uzi ameonesha the otherside ya hii biz ya kupata hasara...huwezi kufuzu hii biashara bila kibiriti (blow), hii ndio kusema hii kitu haiko straght foward, uweke hela na utoke na hela.

Nilivyomuelewa ni kwamba Forex Trading sio mashuhuri Tanzania na anataka aiweke wazi kwa kuanzisha madarasa nk...kufanikiwa na kutofanikiwa kutabaki kwa mtu binafsi.
 
ONTARIO.

Big up sana kamanda kwa kuanzisha na kutoa mwanga wa hii kitu. Bila shaka mpaka sasa hivi kwa walio serious watakuwa wameshafanya tatifiti na kujiridisha kabisa kuhusu uhalisia wa biashara hii inayoweza kufanyika popote pale ilimradi tu pawepo na internet connection.
 

Mkuu ONTARIO hapo zamani nlikua naingia humu JF as a guest lkn kwa kuona threads zako nilivutiwa sana nkaona bora nicreate account ili niweze kureply na kukushukuru kwa hii elimu unayotupa. Mm ni 17 yrs old boy ila nina dreams za kuwa mjasiriamali kama ww
 
Hivi wote mkikimbilia kwenye hii biashara nani ataenda shambani lima?
Naona mwitikio umekua si wa nchi hii, ONTARIO ukianza lipisha huduma ya mafunzo unipe hata kibarua cha kuandika risiti....
 
Read my response carefully

1• Foreign exchange trading ni speculative kwa maana hii siyo investment kwamba retail trader ategemee.

Hii ndiyo sababu inaonekana kama gambling. Yani uta speculate hadi unachoka. Not everybody can do this.

Na kwasababu market ina operate on margin basis basi Fx ni volatile market in the world.

Yaani kupigwa nje nje.

Watu wajue hili

Kifupi hii sababu yakuwa speculative in nature sio jambo lakuchukulia kwa urahisi tu. Hii ni mentally and psychologically demanding activity. Wengi hawawezi.

Na hapa ndipo hawa 95% wanapoteza kwa kutojua ukweli.

2• Ndiyo retail trader hana uwezo juu ya broker.

Broker anatoa offer ya deal kwa traders. Japo kukubali deal ni juu yako lakini broker ndiye anayefanya transaction kwa niaba yako. Very easy to manipulate. Everything there is speculative.

3• Jibu la pili lina jibu swali lako kwa kiasi fulani

Nikiongezea kidogo ni hivi

Broker anaitamani sana chapaa ya retail trader ambaye kwa lugha rahisi ni very misinformed and greedy.

Yaani anakuwa blinded akiona hizo trillions

Na hii inampa broker nafasi ku-exploit the weakness.

It's a mind game.

The billion dollar question is, if foreign exchange trade was easy at all would not it be wise decision for brokers to trade themselves and not relying on small commission earned from retail traders?

Let me know what you think.

I hope I have answered your questions
 
Salamu sana mkuu, nashukuru sana kwa kuleta hiyo mada, kwakweli hii issue ya currency niliwaza kuifanya kwa kununua hela kwenye bureau mbali mbali hapa Dar zilizokuwa zinauza kwa bei rahisi then niziuze sehemu ambazo zinauzwa kwa bei kubwa at least nipate faida, ili angalau kupata profit ya kuendesha maisha Yangu ya Chuo. Ila kwa Bahati mbaya sikuweza kufanikiwa coz sikuweza kupata faida yoyoye zaidi ya kupata hasara. Sasa ulipoleta huu Uzi nimeona ni muda mwafaka Mungu amependa niifanye hii issue ya kunipa utajiri. kwakweli nimemaliza Chuo tangia 2013, ajira bado sijapata nipo mtaani natafuta jinsi ya kutoka ila bado sijaona njia, OMBI LANGU KWAKO, naomba katika watu 300 utakao wapa free training nami uniweke kwenye list ili baadae niwe ambassador wako hapa Tanzania, Nitashukuru sana kama ombi langu utalisikiliza Mkuu, thank you so much in advance
 
Salamu sana mkuu, nashukuru sana kwa kuleta hiyo mada, kwakweli hii issue ya currency niliwaza kuifanya kwa kununua hela kwenye bureau mbali mbali hapa Dar zilizokuwa zinauza kwa bei rahisi then niziuze sehemu ambazo zinauzwa kwa bei kubwa at least nipate faida, ili angalau kupata profit ya kuendesha maisha Yangu ya Chuo. Ila kwa Bahati mbaya sikuweza kufanikiwa coz sikuweza kupata faida yoyoye zaidi ya kupata hasara. Sasa ulipoleta huu Uzi nimeona ni muda mwafaka Mungu amependa niifanye hii issue ya kunipa utajiri. kwakweli nimemaliza Chuo tangia 2013, ajira bado sijapata nipo mtaani natafuta jinsi ya kutoka ila bado sijaona njia, OMBI LANGU KWAKO, naomba katika watu 300 utakao wapa free training nami uniweke kwenye list ili baadae niwe ambassador wako hapa Tanzania, Nitashukuru sana kama ombi langu utalisikiliza Mkuu, thank you so much in advance
 
Wewe hakuna ulichoambulia kwenye hii mada hii ni biashara inayohusisha dunia nzima na sio kama unavyofikiria wewe hata watanzani milion 1 wajiunge na hii biashara haiwezi kuwa hivyo unavyodhani wewe

kwa mimi nilivyoelewa ni hivi kwa mfano mtu anakuhadithia kitu ambacho kimetokea mahali ambapo hujawahi hata kufika wewe mwenyewe kwenye mind huwa unajenga picha ya tukio zima lilivyo kupitia hiyo stor hapa bado hatujafunguliwa ila kuna watu ambao tayari wameona mwanga na hata hili bandiko likiishia hapa kuna watu wanafanikiwa kufanya hii biashara
 
Hii ndio sababu kwanini huwa nakuita "Brigedia General"


Tunahitaji sana thread za namna hii humu JF... Thread inayoongeza kitu fulani kwenye ubongo wa mtu!!

Ila Boss umetukatili sana... Hutaki PM?? Hata mimi ndugu yako?? mambo mengine faragha boss hahahahh


Anyways... Umenifungua kwa kiasi fulani kuhusu hii kitu, niliwahi kuisikia kwa mara ya kwanza 2014 and nilitaka kuinvest kabisa but nadhani sikupata wa kunimotivate namna hii, so kwa kipindi kile nilipuuzia (daaah kumbe ningekuwa mbali sana)

Pia umenipa hari zaidi hapo ulipomtaja Sandile... Huyo dogo namjua vizuri sana... Huwa anafikaga Lusaka mara chache and kuna family members wako huko na ni marafiki zake!! Hakika dogo yuko njema financially... He is loaded haswaaaa... Huwa sielewagi sana mishe zake kumbe hii ndio kitu anafanya??
Mwenyezi Mungu akikupa kibali jaribu umlete kwenye seminar siku moja... He is very inspirational...

Na ikiwezekana zaidi tuletee hata Shepherd Bushiri huko mbeleni... Nadhani anakujaga hapa kukagua huduma yake (ndio nimefahamu leo kumbe Major 1 naye anafanya FX trading)


Bila kusahau, yawezekana nafasi zimejaa tayari maana naona vijana tumechangamkia haswa hii fursa... So, kama zimejaa naomba unipe nafasi ya upendeleo ndugu yako... Tuwe 301 hahaha.... Nitakuja na vitafunwa vyangu na kiti changu...

Pia kwa kuwa umekataa PM, nikuulize hapa hapa... Unamfahamu Julius Shirima?? (usishangae why am asking)


Juu ya yote! Shukrani sana kwa darsa hili... Nimepata kitu

Salute!
 
Unazungumzia tuseme live broadcast kama zinavyorushwa na watu YouTube au FB. If that's it ni idea nzuri sana sana, we can think of it. Thanks!
Bro hili linawezekana kabisa kama tukiongea na JF then viewers tukachangia gharama za urushaji kabla ya siku ili siku ya tukio tupewe link tuingie darasani,wengine tunakata ufuta huku Lindi,sasa kuja dar tunahofia kuibiwa!
 
Dah!! jamaa umenigusa moyo wangu ila nmeshindwa nianzie wapi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…