Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hahaa mkuu, forex ni mental game aisee. Hata uwe mtaalamu wa analysis kiasi gani pyschology ikiwa wrong utapata loss za kutosha. Learned that a hard way

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Habari njema sana hii.
 
yeeeeeeeeee,
the time has come,
muda wakubadili mfumo wa maisha is now.
i like it.
 
Nami nimeshajiunga humo kundini

Imetumwa kupitia Tecno Camon Cx
 
Thanks Ontario..God is great.
 
Nakupongeza sana. Wewe ni msikilizaji.

Imetumwa kupitia Tecno Camon Cx
 
Safi sana Muda na Wakati uliongojewa kwa muda mrefu umewadia Vijana wa Kitanzania kujifunza na kuongeza uhuru wakifedha na kutimiza Ndoto zetu Asante sana Boss Ontario kwakutupatia Mrejesho Maridhawa Tenda Muujiza Usiache Mungu Mwaka Huu upite bila Kutenda Muujiza.
 
Hongera sana Ontario pamoja na changamoto na vikwazo vyote umefanikisha ni fursa adhimu kwa watanzania tunangoja utaratibu wa jinsi ya kujiunga tupo na hari kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa boss! Hongera kwa kazi nzuri! Tunasubiria utaratabu tuu sasa uku tukiendelea na final touches

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…