Wacha ufala wewe, ebu jifunze hapo forex ni nini Kwa wazawa waanzilishi wa hiyo kitu. Wewe umevamia tu na njaa yako mpaka kiatu chako kimetoboka.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]kwa hiyo forex ikiwa ni gambling wewe inakuuma nini? pesa zetu zikipotea inakuuma nini? fala wewe
sihitaji kujifunza chochote mradi natengeneza pesa inatosha forex iwe betting iwe gambling iwe bibi yako sawa tu nguruwe wahed weweWacha ufala wewe, ebu jifunze hapo forex ni nini Kwa wazawa waanzilishi wa hiyo kitu. Wewe umevamia tu na njaa yako mpaka kiatu chako kimetoboka.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]
TZS 130,000Samahanin wanajukwaa....
Nlikuwa naomba kuuliza kwa ambao washapata training,Ivi cost kwa process yote kuanzia training,kupata mentor out of capital ni ngap jumla?
Asanten
Asante sana mkuu wngTZS 130,000
Huwezi tengeneza pesa bila kujifunza na inachukua muda mrefu kuelewa forex trading ni nini. Wewe dogo unaota ndoto za alinacha.sihitaji kujifunza chochote mradi natengeneza pesa inatosha forex iwe betting iwe gambling iwe bibi yako sawa tu nguruwe wahed wewe
Dsm linDar es salam tunaisubr forex kwa hamu sio kitoto
Achana nao mkuu wacha sio tuendelee kubet na forexsihitaji kujifunza chochote mradi natengeneza pesa inatosha forex iwe betting iwe gambling iwe bibi yako sawa tu nguruwe wahed wewe
Achana na nini njaa tupu wewe, huna lolote. Umeendelea kubet na forex umepata milioni ngapi mzee wa porojo?Achana nao mkuu wacha sio tuendelee kubet na forex
mcheki >humble african< naamini atakusaidia sana.Mwl.RCT
Wanajukwaa naomba mnisaidie kujua mwana jukwaa yeyote mwenye kujishughulisha na kutoa machapisho ya vitabu vya Forex kutoka softcopy kwenda kwenye hardcopy...
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Hahahahah kweli mkuu hakuna hela rahisi duniani.Hawezi kukupatia jibu la ukweli. Yeye amejifunza uwongo kwa waongo. Kwahiyo, ni ngumu kupata ukweli kwao.
mcheki >humble african< naamini atakusaidia sana.
Wewe naona unafurahi kuona nime comment something! Au unaleta chokochoko? Mimi sija comment chochote kustahili kupuuzwa! Sasa wewe from nowhere unataka nipuuzwe. Wewe una akili timamu? Badala ku concentrate na kuwa committed ktk forest trading unaleta ushuzi wako hapa! Au biashara ya kamali imekushinda?Huyu jamaa mberoya ni mpuuzi sana anafaa kupuuzwa