Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
jamani anae mjua broker xm kwa undani zaidi kuanzia ku deposit hadi ku verify na kadharika anipe detail kidogo
Tumia huyu, unaweza kudeposit na kuwithdraw hadi kwa mpesa. Ukienda home just sign up. Hafu create either cent account au universal.
Ila ukitakd kufungua live lazima uvalidate identity, (hata kwa kadi ya mpga kura), na namba ya cm (itakayotumika kudeposit na kuwithdraw)

All the best:

https://secure.templerfx.com/login?rid=106759

Hakikisha sehemu ya namb ya cm umechagua Tanzania.
 
Reactions: MCB
Uzuri was broker uyu anaanza depos $1 na with draw $1 kupitia mpesa kwa msaada watsap me 0758033405 akuna utapeli lengo kusaidiana cos mtaji wa $100 bado ngumu kwa mabroker wa juu ila uyu kuanzia dola 1 tu templerfx.com
nime sign in ila sasa kwenye ku verify resident ndo kazi na vipi kuhusu mt4 yao
 
inanichanganya sana hata sielewi na jinsi ya ku deposit inakuwaje. na hiyo m pesa ni ya kenya au ni hapa bongo
 
Utapeli unawezekana hapo na hamna msaada wa bure kutoka kwa broker yeyote.
 
nime sign in ila sasa kwenye ku verify resident ndo kazi na vipi kuhusu mt4 yao
Kama unatumia card ku deposit na kutoa hela ndio lazma u resident ila kama ni mpesa tu bas una veryfy namba peke yake
 
inanichanganya sana hata sielewi na jinsi ya ku deposit inakuwaje. na hiyo m pesa ni ya kenya au ni hapa bongo
Ku deposit nenda kweny finance kisha chagua deposit then endelea..kweny category ya ipay utaikuta mpesa ya bongo
 
Uzuri was broker uyu anaanza depos $1 na with draw $1 kupitia mpesa kwa msaada watsap me 0758033405 akuna utapeli lengo kusaidiana cos mtaji wa $100 bado ngumu kwa mabroker wa juu ila uyu kuanzia dola 1 tu templerfx.com
Wataibiwa watu kutokana na ignorance mpaka watakoma. Tuwasifu mabrokers! Amina!
 
Habarini za jioni wadau , nilikuwa napenda kujuwa if training still ipo ama milango imefungwa na ni how much?!?
 
Habarini za jioni wadau , nilikuwa napenda kujuwa if training still ipo ama milango imefungwa na ni how much?!?
Ndio
Wasiliana na ofisi, Tumia hizi namba pichani

Kwa taarifa zaidi ingia kwenye hii site
Code:
http://themillionteam.com/index.php
 
Nilikua najaribu kufanya trade ndugu zangu sasa naona maliweluwe, kwa wazoefu naombeni msaada kuelewa hii imekaaje
PS: Natumia platform ya FXCM
 
Ungeeleza inakwendaje...n nn ...ukafafanua n biashara ya aina gan....umeanza tu unapiga hela ......tueleze sis wagen tukuelewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…