Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hiyo Hela haitokaa irudi. Kiendacho kwa mganga hakirudi.

Stop that non sense hao jamaa ni matapeli.

Uwezekano wawewe kupoteza Hela ni zaidi ya 95% kwa kukosea au kwa kudhulumiwa
 
Kwa wale watakaohitaji kumsoma vizuri TemplerFx broker, watumie link hizi hapa..

Hapo kuna link inayoeleza offer zake, kuna link pia inaeleza aina za account za huyo broker na pia kuna link kwa ajili ya ku log in na kujiunga pia..

Msome vizuri tafadhari kabla haujachukua maamuzi ya kujiunga nae.

Huyu ana tawi tz hapahapa na anakupa uwezo wa kudeposit na kuwithdraw kwa mpesa, na anahtaji kitambulisho cha kura tu kuweza kujiunga nae na kuanza kutrade live.

Ana demo akaunti pia

Templer FX Trader

https://secure.templerfx.com/login?rid=106759

TemplerFX | Promo

Kama kuna sehemu hautaelewa waweza ku ni inbox.
 
Mkuu mbona kama unatumia nguvu nyingi sana???
 
Nianze na Mimi, tangia June 2017 nimepigwa 280,000 hivi. Nyingi kati ya hizo ni kwa kudhulumiwa tu na si kukosea na evidence zipo

Hao jamaa ni wezi
na bado uendelee tu kupigwa mpaka Akili iku kae kisawa sawa!!!
 
Nianze na Mimi, tangia June 2017 nimepigwa 280,000 hivi. Nyingi kati ya hizo ni kwa kudhulumiwa tu na si kukosea na evidence zipo

Hao jamaa ni wezi
Mtu mzima unadhulumiwaje yani? Sijaelewa
 
Nianze na Mimi, tangia June 2017 nimepigwa 280,000 hivi. Nyingi kati ya hizo ni kwa kudhulumiwa tu na si kukosea na evidence zipo

Hao jamaa ni wezi
Ingekuwa vizuri ujiulize, kwann udhulumiwe 280K hafu watu wengne kibao hawajadhulumiwa? N kwann? Nahc kuna mahali ulikosea. Haiwezekani wewe ulalamike kudhulumiwa, wakati wengne wote wanatoa screenshot za miamala tu![emoji17]
 
Kwani lazima wote waliodhulumiwa au kutapeliwa walalamike humu? Wengi wanakula jiwe kujisitiri haibu yao. Feeling embarrased baada bragging kwamba wanapiga pesa kumbe wamepigwa pesa!
Hizo screenshots za visenti mnazozionesha ni fake, watu kama nyiye mna fix up uwongo ili kudanganya, kushawishi na kuibia watu wasiyo jielewa.
Forex trading haiko regulated in TZ., so everything about forex is dodgy and fraudulent.

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli boss, hata mie niliwazaga hivyo hvyo
 
Tupo hapa tunakunywa pombe na bata reeeeefu kwa pesa za forex sijui kama nami nimepigwa au lah toka j3 na make mapesa tu leo nimefunga market nakula faida shauri enu
 
Wewe tulia tu, unavutwa kidogo kidogo kwa kuonjeshwa visenti alafu unapigwa kisawasawa!

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale watakaohitaji kumsoma vizuri TemplerFx broker, watumie link hizi hapa..

Hapo kuna link inayoeleza offer zake, kuna link pia inaeleza aina za account za huyo broker na pia kuna link kwa ajili ya ku log in na kujiunga pia..

Msome vizuri tafadhari kabla haujachukua maamuzi ya kujiunga nae.

Huyu ana tawi tz hapahapa na anakupa uwezo wa kudeposit na kuwithdraw kwa mpesa, na anahtaji kitambulisho cha kura tu kuweza kujiunga nae na kuanza kutrade live.

Ana demo akaunti pia

Templer FX Trader

https://secure.templerfx.com/login?rid=106759

TemplerFX | Promo

Kama kuna sehemu hautaelewa waweza ku ni inbox.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…