21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
PoaSure.. Tickmill are about to open their office in Tanzania and pia wanafungua rasmi huduma ya MPesa mwezi huu..
Ukishakuwa na knowledge kdg hauw mgeni tenaDaa wadau mi mgeni kwenye hili suala japo nina knowledge kidogo ya forex
Sijui mtanisaidia jinsi ya kujoin katika hii biashara maana naona imeshika hatamu
Ugeni wangu upo kwenye jinsi ya kujoin na kupata access tuUkishakuwa na knowledge kdg hauw mgeni tena
Ukiangalia post zangu utaona maelekezo mengi tu...Ugeni wangu upo kwenye jinsi ya kujoin na kupata access tu
ANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.Ugeni wangu upo kwenye jinsi ya kujoin na kupata access tu
Shukrani mkuu acha nilifanyie kazi mara moja [emoji120] [emoji120] [emoji120]ANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.
[TERMS AND CONDITIONS LINKED]
Huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine, kama mimi, tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....
Ikumbukwe kwamba, Templer pia atakupa uwezo wa kufund na kuwithdraw pesa zako kupitia Mpesa, kama utachagua kuendelea kumtumia, hata baada ya kupoteza hyo $30.
(Don't Worry, Hautodaiwa kama ukiiunguza)
ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.
HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:
Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus
2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.
3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok
4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:
NDB30JN42017
Then submit.
5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.
6. Kama huna MT4 for Android ,download hapa:
MetaTrader 4 – Applications Android sur Google Play
Start Trading!!
TRADE SAFELY!
Ukihitaji msaada wowote kuhusu kuipata hii bonus, nicheck inbox
Terms And Conditions hapa:
TemplerFX No Deposit Bonus Agreements
What is "SPECULATION".Can u speculate in forex trading
Kwenye stock exchange kuna speculation sasa hii ya forex cjawa na uzoefu,tafadhali nisaidieWhat is "SPECULATION".
If you know it,
Then you will know the answer.
Yes boss. We also speculate. But we don't just buy, we sell also when the value is falling...Kwenye stock exchange kuna speculation sasa hii ya forex cjawa na uzoefu,tafadhali nisaidie
Kama umeshiriki stock market, na umefanya huko sana, then fx will be like bread and butter... Easy...OK asante I still need to learn more on this,pole pole ndo mwendo
GoodOK sawa,more time for training
Sorry mkuu... hivi wewe ni wakala wa TemplerFx??ANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.