Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ni muuaji wa usiku, ukilala na trade spread za uj zinafikia 150, mnajali commission za link zenu mnasahau mitaji ya ndg zenu.
Fx sio kutoa kwa urahisi pekee, hata pesa ikichelewa kuingia kwenye akaunti kwa siku 2 lkn iwe salama ni bora kuliko kuunguza acc. Wengi wamelia.
Ushahidi ninao

Mimi pia nina account huko, But jamaa anampigia debe bila kuweka wazi mapungufu yake...... Spread za usiku ni kubwa hadi zinashangaza.

Ok poa.. si kwa kupiga debe huko. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Plus ukiangalia post zangu mwanzo nlikuwa napost kuhus instaforex, walikuwa wanatoa $1000, kama nliipata, why nsisaidie wengine kuipata? Not everyone can afford $30 as starting capital, if you have a way to help, you help, boss...

Mimi pia nina account huko, But jamaa anampigia debe bila kuweka wazi mapungufu yake...... Spread za usiku ni kubwa hadi zinashangaza.
Broker yeyote mwenye floating spreads, ucku na asbh spreads huwa kubwa, nahc kuna group tupo pamoja, uncheck nkupe screenshot za spread za asbh

Broker yeyote mwenye floating spreads, ucku na asbh spreads huwa kubwa, nahc kuna group tupo pamoja, uncheck nkupe screenshot za spread za asbh
Sawa mkuu, kanipe tuu... nizikute labda nitaelewa zaidi... naenda kuwasha data sipo online kule. [emoji120] [emoji120]

Bro, nimeburn acc zaidi ya 4 na katu, ctotaka kulaumu ukubwa wa spread kwamb ndo umechangia.

Kwanini?

Kwa sbb kama spread ndo chanzo cha kuburn acc, then suala zima la kutrade halina maana, kwa sbb hzo huwez kuzikwepa.

Ila ukweli utabaki palepale, kwamba MOVEMENT YA MARKET ya upande tofaut na direction uliyotrade ndo inayoburn.

Hata ungehold position yenye spread zero, kwa pips 200 unatarajia nini?

Spread is nothing, movement is the cause.

Wanasema

"FUNDI ASIYE NA UJUZI HULAUMU VYOMBO VYAKE"

naona umeanza, na katu htofanikiwa, kwa sbb hautaki ku take responsibility kwa your trading actions, unatafuta wa kum blame...

Ukikubali kwamba WEWE ndo uliekosea, utajifunza, ukiendelea kulaumu Spreads, hakuna lolote utajifunza... Na utaendelea kulalamika tu.

Pia ngependa kujua zaidi nini maana ya kuunguza account kuna mtu pia alisema kuungua kwa account kunatokana na nini asaante

Pia ngependa kujua zaidi nini maana ya kuunguza account kuna mtu pia alisema kuungua kwa account kunatokana na nini asaante
Kula loss mkuu na kupoteza almost mtaji wako wote

Sababu ni poor risk management

Pia ngependa kujua zaidi nini maana ya kuunguza account kuna mtu pia alisema kuungua kwa account kunatokana na nini asaante
Hzo ni akaunt 2 tofauti za watu wawl tofauti ambao walikuwa wanatrade na wakakosea na kupoteza mtaji wote...

Huko ndo kwaitwa kuunguza akaunti

Wale wanotaka kutoa hela kwa mpesa bas templer ni broker pekee anaeruhusu kutoa na kudeposit kwa mpesa..ni chap tu

https://secure.templerfx.com/login?rid=106853

Pita hapo kweny hiyo link...
<br / nilitoa hela ya mboga tu na hii ni miamala niliyo tumiwa via mpesa

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…