Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedomJamn mimi ndo nmeanza kusoma huu uzi kidogo kidogo ila nmeona ni wa muda kidogo nmeona muhusika anasema alikua na mpango wa kufungua ofisi kashafanikisha?
Yes. Na watu washasoma, zaidi ya batch 7Jamn mimi ndo nmeanza kusoma huu uzi kidogo kidogo ila nmeona ni wa muda kidogo nmeona muhusika anasema alikua na mpango wa kufungua ofisi kashafanikisha?
FX Trading BooksWhere can I get the necessary books to further my study on this
Nimeenda kwenye open accountbikaniletea hiyo LIVE UNIVERSALFX sioniANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.
[TERMS AND CONDITIONS LINKED]
Huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine, kama mimi, tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....
Ikumbukwe kwamba, Templer pia atakupa uwezo wa kufund na kuwithdraw pesa zako kupitia Mpesa, kama utachagua kuendelea kumtumia, hata baada ya kupoteza hyo $30.
(Don't Worry, Hautodaiwa kama ukiiunguza)
ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.
HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:
Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus
2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.
3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok
4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:
NDB30JN42017
Then submit.
5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.
6. Kama huna MT4 for Android ,download hapa:
MetaTrader 4 – Applications Android sur Google Play
Start Trading!!
TRADE SAFELY!
Ukihitaji msaada wowote kuhusu kuipata hii bonus, nicheck inbox
Terms And Conditions hapa:
TemplerFX No Deposit Bonus Agreements
Nenda open new account bossNimeenda kwenye open accountbikaniletea hiyo LIVE UNIVERSALFX sioni
Why did u sellMorning Traders.
This was yesterday morning, still moving somehow.
Why did u sell[/QUOTE
which pair boss
mwenye kujua hii naomba maelezo kidogo maana yake nn
You are still learning hapo on a demo a/c. Inshort punguza iyo balance ili ujipime vizuri. Kiuhalisia hata ukija trade live i dont think utainvest that large amount with the leverage ur using.
Signature received....Ngoja niweke sain hapa.
Why would you buy and sell the same pair?
naipunguza vipi sasaYou are still learning hapo on a demo a/c. Inshort punguza iyo balance ili ujipime vizuri. Kiuhalisia hata ukija trade live i dont think utainvest that large amount with the leverage ur using.
I'm still learningWhy would you buy and sell the same pair?
naipunguza vipi sasa