Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
The primary aim ya bureau de change ni kwa ajili ubadilishaji wa pesa za kigeni ambao pesa huwa ni kwa ajili ya matumizi mengine mfano kufacilitate international trade. ukienda kwa lengo la "speculative" ww tayari umeshajiingiza kwenye kamali.
Je, nikienda Mbeya msimu wa mavuno ya maharage kisha nikanunua gunia 100 nikazifungia ndani nikisubiri yaadimike ili ndipo niyauze kwa bei ya juu!

1. Is that SPECULATIVE or not?

2. Kama ni speculative, hapo nitakuwa nafanya gambling; kwa maana ya kucheza kamali?

3. Kama sio speculative, unaweza kueleza why holding currency iwe speculative but holding maharage for better future price isiwe speculative?
 
Unaweza ukalejea post [HASHTAG]#10375[/HASHTAG]?
 
Shida yote ya nini nianze kupekua pekua badala ya kuweka hiyo post hapa?!

Anyway, safari njema!
Kwa nn nijibu kitu ambacho tayari nilishakijibu.
Safari njema na ww mkuu.!!
 
Naomba kuuliza cent akaunti ya templerfx maximum deposit/withdraw ni pesa ngapi?
 
Kwa nn nijibu kitu ambacho tayari nilishakijibu.
Safari njema na ww mkuu.!!
Nimekuambia ujibu tena au nimekuambia unge-quote hiyo post na kuiweka hapo?! Post numbering (#n) haiwezi kumpeleka mtu moja kwa moja hadi kwenye post husika na matokeo yake atalazimika kupitia page after page na kuitafuta post!
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…