Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Msaada wa mwenye akaunt ya skrill ambayo iko full verified nmtumie pesa anitolee atakata ten percent ya hiyo hela maana yangu bado hajaiwa verified vitambulisho vyetu vya kura naona hawavitambui
Check me inbox. Tuone kama ntaweza kukusaidia.
 
Msaada wa mwenye akaunt ya skrill ambayo iko full verified nmtumie pesa anitolee atakata ten percent ya hiyo hela maana yangu bado hajaiwa verified vitambulisho vyetu vya kura naona hawavitambui
Kama hujasaidiwa bado na Mwl
 
Dahh asee asante sana Ontario. Kitu nilichokuwa nikitafta mda mrefu nadhan umekifanyia ufafanuz mzuri. Kwa sababu me nilipitia application ya cm inaitwa IQ Option nikaona kitu iko cha Forex Lakin ckuwa naelewa kitu chochote. Ila mpaka hapo umenifungua kwa 50%. Pia Nina maswal 1. Kuhusu kutoa pesa kubwa kubwa katka bank ulisema ilikua Ni shida japo we hukusema n bank gan hyo iliyokusumbua, nauliza tunawezaje kutoa pesa Au ndio lazima uwe na broker? Swali la 2. Kama utaweza kupitia hyo application ya cm (IQ option) haijaonesha ubadilishaj wa pesa ya ki Tanzania, kwahyo itakubid ufanye kubadilisha pesa za nchi za nje kwa nje.?
 
JINSI YA KUPATA $30 NO DEPOSIT BONUS YA TEMPLER.
[T&C applies]

huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....

ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.

HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:

Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus

2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.

3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok

4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:

NDB30JN42017

Then submit.

5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.

6. Kama huna MT4 ,download hapa:

Playstore - Download MetaTrader 4 for Android

Start Trading!!


Ukihitaji msaada wowote, nicheck inbox
 
 

Attachments

Hiyo $30 inakuwa n Yangu kabisa
 
Account ya templer fx trader inafunguliwa vipi ? Kwenye browser? Au kwenye meta trader 4? Au kuna application ya templer fx trader?
 
Account ya templer fx trader inafunguliwa vipi ? Kwenye browser? Au kwenye meta trader 4? Au kuna application ya templer fx trader?
- Kufungua account DEMO au REAL ni hatu aya mwisho baada ya kujifunza.

- Kwa sasa tumia muda mwingi kujifunza tumia hii link
Kuhusu swala la Broker / Accounts pitia hili somo: Kindergarten - School of Pipsology - BabyPips.com
Kila lakheri.​
"If you start trading live without any demo trading experience, this is what usually happens:"
"But no matter how successful you were in demo trading, nothing can replace the feeling of having real money on the line.

And once you’ve started trading on a live account, never get too comfortable. Always remain vigilant and use proper risk management."


Otherwise, this might happen:
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Umenishawishi bahati mbaya ni cjawahi kuwa na wazo inafanyaje Kaz hii biashara je unaweza nifundisha?
 
Naona manyoka nyoka tu na hizo jargon zinazotumika
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…