Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wakuu, naomba kufahamishwa. Ni muda upi TemplerFx anakua na spread chache na zinashuka mpaka ngapi? Nataka ku-compare na AmegaFx
Ni miongoni mwa broker wasio faa


USHAURI
- Chagua broker ambaye yupo regulated.
- Inatakiwa awe regulated na moja kati ya hawa : FCA, ASIC, MAS, BaFin

Fungua hii link uchague baadhi ya broker bora: FCA Regulated Forex Brokers

Na kama unafahamu ABC's za broker basi ni vyema ukawachuja brokjer kwa kutumia hii search engine:

Mwisho iwapo ABC'S za broker huzijui basi chagua broker kwenye hii link, Hawa ni ECN broker with lowest spread in market: MT4 ECN Forex brokers - FX-C.com

Kazi kwako hapo
 
Mkuu huyo broker ni templer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah I'm genius two months nimepiga hatua sana bila mentor ila nawakubali wanangu wa JF team promo mnajisifu sana[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee usijisifu sana,nenda pole pole kwa hawa wakubwa ujifunze zaidi,Huyo mzee sometimesyes hapo alinunua na ameshapiga profit tayari na ameilock na hiyo stop loss,we unasema ali-sell,endelea kujifunza mzee.
 
Mzee usijisifu sana,nenda pole pole kwa hawa wakubwa ujifunze zaidi,Huyo mzee sometimesyes hapo alinunua na ameshapiga profit tayari na ameilock na hiyo stop loss,we unasema ali-sell,endelea kujifunza mzee.
JF ni sehemu ya majisifu yaani fake ni nyingi kuliko reality huku ndo maana tunatmshauriwa kutumia ID fake ni mwendo wa fake fake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hujaitaja ile most reputable regulation ya Seychelles

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimefika hapa sasa sielewi nafanyaje ili niweze kufanya hizo trading naomba msaada nielewe na hapa maana sehemu nyingi nimeelewa@Mwl.RCT
 

Attachments

  • IMG_20180830_175513_093.JPG
    33.6 KB · Views: 67
Nilipitia ile link uliyonipatia hapo nyuma nimeisoma yote hadi nikafanikiwa kufungua account sasa hiyo MT4 najifunzia wapi?
Zipo video nyingi youtube.
Mfano ni hii video.
Hivyo tumia google/ youtube kupata video zingine kuhusu chochote upande wa forex.

Karibu
 
Mbona hatari sasa napata loss kabla sija deposit
Bado inatakiwa ujifunze taratibu, kwa kuelewa, sio kwa kumaliza.
Mfano hai ni link niliyotoa, iwapo unasoma neno kwa neno kwa kuelewa kumaliza module zote kikamilifu huwa sio chini ya miezi miwili.
Kumbuka forex ni taaluma ambapo kuimaster inatakiwa ujifunze kwa utaratibu hatua kwa hatua.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…