Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hongera Mkuu

Yatupasa tuipeleke FX kwa kila mwenye uhitaji.

Ndio mkuu changamoto yetu watanzania huwa hatupendi kusoma, nazani michezo ambayo watnzania wengi wanapenda ni tatu mzuka, soka bet na mambo kama hayo ambayo hayaitaji kusoma,

na wengi wanaingia kwenye forex ivyo wanaishia kupigwa.
 
Cha msingi ni kubadili hizi mentality tulizojiwekea ili tuweze kusonga mbele
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…