Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ndyo Tabu na Ugumu wa sisi wabongo upo hapo yaan kichwani tushaweka hiyo ni kupiga hela tuu yaani nikama za kujichukuliaa tu au ni kama kitu cha funika funua pesa hii hapa kuna watu wamechukua mwaka mzima kujifunza hii Forex na kupoteza hela pia ipo kuna dada mmoja aliijua hii forex hajamaster vizur kakimbilia kuweka pesa akapigwa zote milion 3 hataki hata kuisikia hii Forex hebu tujaribu kuondoa hizi akili za kuwaza kuwa ni kupiga pesa tuuu bila wewe kupigwa hakuna hela isiyo na jasho tuwe wavumilivu wa kujifunza sana tu nawafatiliaji

That's Me....[emoji41]
 
Mkuu Lengo lake si Kukupinga naona Bwana Pogba Amekubwa na Mihemuko kama wengi yeye ameenda Kuanzisha Uzi ili wajiunge wawe wengi na wakutafute Mtaalamu Kama wewe!
 
Kwanza kama kweli yeye alikuwa na nia ya dhati ya kuwafundisha watu kuhusu forex kwanini hakufungua hilo group la whatsap mapema kabla ya wewe kuanzisha huu uzi?
Watanzania sijui nani katuroga? Vitu vingine vinakera sana
Usikatishwe tamaa kaka GO GO GO to your Wish and Almighty God will be there for you as long as your pure on your heart and soul.Nakuombea ifanikiwe nami nijifunze,what I need most is education, education, education about this.
 
Hapo kwa morinho umedanganya mkuu!! Mou alikua mchezaji mzuri tu! Sema hakua wa level za akina ronaldo na messi na ndio maana hukumskia sana!!
 
hebu mimi nikomae na huu uzi maana hapa nafaidi maujuzi mob tu...saivi wenzangu nawaombeni mnifafanulie misamiati kadhaa kama inavyotumika katika masoko ya fedha na ikiwezekana mtupie mfano ili wengi tufaidi..

la kwanza ni ni nini maana ya "open position" katika fx

pili,ni nini maana ya "close position" katika fx na ina umuhimu gani katika swala la ununuzi na uuzaji wa fedha za kigeni?..

cc:Ontario
cc:Bavaria
 
Open position ni point ambayo mtu unaingia ili uanze ku trade, close position ni point ambayo mtu unatoka sokoni au unamaliza kufanya biashara!!

Kama huna kitabu anza kujifunza vipo humu!
 

Mfano umeamua kuwa you are getting long kwa maana kwamba umeamua kununua base currency ili uje kuuza ikisha panda, sasa ukisha nunua base currency wakati unasubiri kuiuza hapo unakuwa kwenye open position, ukisha uza hiyo currency uliyonunua baada ya kupanda thamani hapo unakuwa ume close position na unakuwa square yani huna position
 
kidogo umenichanganya..naomba urudie maelezo yako
Open position. Ni kama umefungua duka asubuhi na kaunza kuuza bidhaa. Likewise kwenye forex tunaposema open position ni kwamba umenunua shilingi say dolla na kungojea ipande thamani ili uuze!

Close position. Hapa ni kama imefika jioni ukaamua kufunga duka lako na kurudi nyumbani!

Okey...kwenye forex ni baada ya kuuza shilingi ulizonunua baada ya kupanda thamani!!

Hope umeelewa!
 
mkuu nimeelewa hivyo baada ya kusoma lakini wakati unajaribu kwenye demo account maelezo na uhalisia haziendani kabisa..unapata tuseme una currency pair kama EUR/USD na kwa kuzingatia bid and ask prices ukaona vyema uuze hiyo currency pair,hapo tayari umeingia "open position"kinachonishangaza ni kuwa kadri muda unavyosonga wakati uko katika open position hela yako (equity) inazidi kupungua hata kama ulibashiri currency pair unayotrade ita "get strong" swali lingine ni utajuaje wakati sahihi wa kuclose position ili uwe square au flat?
 
Reactions: MC7
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…