zuberi Abraham
JF-Expert Member
- Feb 13, 2016
- 480
- 389
Boss umetisha vibaya mno. Si kwa speed hii, najua umecomment na kulike kwanza ndio umeanza kusoma. Salute my man. Hahaaa
nilikosea kwa kuandika mke badala ya mieVipi mkuu ulikua unamwandikia shemeji meseji ikaja huku JF??
Shukuru imekuja huku maana ingekosema njia ikaenda kwa mama au shangazi yako pangechimbika!
Ngoja watu tuendelee kusoma game mdogo mdogo, nimeshaprint na kitabu cha Brian Dolan ili nisome vizuri na leo nimepata simu toka Cyprus ya ku verify account na phone number yangu kwa broker hope ni same broker kama wa ONTARIO
Call Screenshot ya 4 Minutes
View attachment 516114
Na hii ni picha ya kitabu
View attachment 516115
Na hii ni demo yangu nayotumia mt4 platform
View attachment 516116
Karibuni kwenye Upambanaji
Asante
mkuu unaweza kuniunganishia maelezo yote kuhusu hii kitu nielewe inaanzaje had inafanywajeIla hongera mkuu umesha maliza vitabu na kuelewa umeanza demo fasta
cross currencies unamaanisha nini? samahani kwa maswali .they are the main currencies in forex trading and have the highest liquidity thats why they are preffered...zingine maybe zaweza zikatumika katika cross currencies. .
nakaribisha marekebisho..
mkuu unaweza kuniunganishia maelezo yote kuhusu hii kitu nielewe inaanzaje had inafanywaje
cross currencies unamaanisha nini? samahani kwa maswali .
..la fiesta..
Mkuu, nakuomba uanzishe Youtube account uwe unatupa darasa pia binafsi naomba unipie curriculum yako iliyokutoa ( Vitu vya msingi ambavyo sitakiwi kuacha kuvijua) ili nijipinde mwenyewe!Boss kama hata kuandika notice imekushinda je utaweza kumwelekeza newbie jinsi ya kutumia Ichimoku au Avramis River, soko likiwa kwenye range? je utaweza kumconvince newbie awe na clean charts kuliko kutumia moving averages wakati soko lipo kwenye trend?!