Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mpaka muda huu nimesoma hadi post namba 400, nimeyapenda mawazo ya watu wanaouliza maswali kuliko mawazo ya watu wanaotumia lugha yenye ukakasi unaokaribiana na ukandiaji,aidha badala ya kuuliza wengine wanafananisha na mifumo mingine ya biashara ,Wadau hebu tuulize maswali kwa sisi tusiojua biashara hii,pia wale wenye kuielewa waendelee kutoa uzoefu wao huku tukiendelea kuwa na subira ya Mwongozo wa Mtoa Mada - ONTARIO,This is JF, hii sio Facebook.
 
Kuliko kupoteza hela zako $2000 kwenye D9 club.. ni bora kuziweka huku FOREX.. maana kule d9 CLUB ni kama desi hiv

kwa kweli hapa huwa sielewagi manake binafsi kwenye D9 nimeshainvest USD 15,000 na ilisharudi sasa nakula faida...bado nasubiri huo utapeli kwa hamu sana.....ni sawa na kuacha kutafuta hela kwa nguvu eti sababu utakuja kufa ...THE TIME IS NOW!
 
Kwanza nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwako kwa moyo wako wa ku-share na watu vitu vizuri vichache kama hivi ili watu wabadilishe KIPATO chao au MAISHA YAO kiujumla.

1)Pia nianze kwa kuisemea nafsi yangu kuwa nimekuwa miongoni mwa watu amabo wamekuwa interested na FOREX

2)Bila shaka vitabu ambavyo vitatumika kusomwa vimeandikwa kwa LUGHA YA KIGENI ni vipi utaweza kuwasaidia watu ambao wapo interested na hiyo BIASHARA kuweza kuelewa zaidi kupitia hivyo vitabu

3)Pia ningependa kufahamu kama hivi vitabu vinapatikana ONLINE
 
..wote waliokimbilia kwenye dezo piga chini,sio real hustlers!
..nimecomment kabisa ngoja niendelee kuwahesabu!
 
ONTARIO
Naomba quick advice ,kama nilivyokuambia nimejiunga ila nipo kwenye MT4 Platform XM real 20.je hii platform ni sahihi mimi kuwepo na nikitaka kubadili nafanyaje? sijawahi kutrade mpaka sasa.cash ipo ,ila sijui niendelee vipi? nisaidie brooo
 
ONTARIO
Naomba quick advice ,kama nilivyokuambia nimejiunga ila nipo kwenye MT4 Platform XM real 20.je hii platform ni sahihi mimi kuwepo na nikitaka kubadili nafanyaje? sijawahi kutrade mpaka sasa.cash ipo ,ila sijui niendelee vipi? nisaidie brooo
Boss naomba uniambie maana ya Hikkake, inside bar, pin bar, NR7 ama engulfing candlestick chagua 1 hapo kisha unieleze then tuendelee. Kama hata huelewi nini nazungumza rudi ndani kasome boss vzr. Forex ni tofauti na biashara za kukimbiza korosho kwenye magari ya mkoani boss wng.
 
Mkuu ONTARIO mimi ni miongoni mwa wale 300 wa mwanzo, am totally inn!
 

interesting question - SHOW me 1 (just 1) person who became millionaire through FX trading - i will show you a liar;

there is a old say on stock trading floors around the world - "if you want to make 1 million in fx trading, start with 1 million" ukitaka kuwa milionea kuuza na kununua fx uwe na milioni

do you know why BARCLAYS is massively scaling back their Investment Banking (forex/commodities trading) businesses around the world since 2015?
 
kwa hiyo wewe kipimo chako cha utajiri ni mpaka uhojiwe na forbes? ......forbes ni fraud tu utashangaa wanamsifia sana MO kupita Bahresa jiulize why

haha FORBES is fraud?

Forbes sio kipimo cha utajiri - but to publish their reports they have to look inside and verify YOUR assets.

and obviously being in media indusrty, its also a marketing tool - ndio maana they will talk up Warren Buffett and wont mention Ortega as much;

bottom line - if you cant get your trades/accounts verified - there is 110% chance you are telling fibs;
 
Reactions: MC7
Kiongozi! Nimekukubali na niko tayari
 

Forbes Africa haina uhusiano na Forbes original na recently hii Forbes Africa ukiiangalia vizuri ni Kama vile imekuwa inatumika kibiashara kwahiyo credibility yake ipo questioned
 
Hii FX trading nilikua na interest nayo nikafungua account etoro, nika trade kwa demo lkn sikuwahi kutia pesa baada ya kusoma negative reviews za etoro hasa unapotaka ku draw pesa zako.

Nashukuru sasa kuna mtu mwenye experience humu atatujuza mengi. Mi nasoma currency trading for dummies kwa sasa. Wenye mashaka waendelee namashaka yao tu.
ONTARIO mambo yakianza nimo
 
Sitaki kuandika sana, yani tangu huu uzi unaanza weekend naandika tu. Muda ambao wewe unatumia kukimbizana maofisini mwisho wa mwezi unapata mil 1, mimi nipo na kisimu changu napata hiyo pesa na zaidi ndani ya masaa mawili tu.

Boss sijasema nataka kutengeneza millionaires ama billionaires but the plan is kuwafanya watu wawe financially independent sio mtu mzima ana devu za bure. Leo kijana akifunguka kimawazo forex ikaanza kumtengenezea $40 kwa siku kwa kutumia $300 trust me huyu mtu heshima yake kwenye jamii itaBoom mara 10.

Pia sitaki nikuoneshe nani ni milionea kupitia fx.
 
Forbes Africa haina uhusiano na Forbes original na recently hii Forbes Africa ukiiangalia vizuri ni Kama vile imekuwa inatumika kibiashara kwahiyo credibility yake ipo questioned

just know this: before FORBES/FORBERS AFRICA published any data about someone, they have to be VERIFIED!
 
Daaaaaaaaah, nasaha za bure kama tuko class vile, hizo nafasi 300 zishajaa mkuu? hapa nimelipia Safari Books Online tayari, naanza kusoma vitabu. Shukrani mzee. Pamoja sana, swali la kwanza, kuna tofauti gani kati ya Forex na Cryptocurrency kama Bitcoin na Onecoin?

ONTARIO , sijataka kuchelewa mzee, tayari nishafungua demo na kushusha vitabu kadhaa vya kuanza kusoma
 

Attachments

  • confirmation.jpg
    65.7 KB · Views: 98
Jana ndo nikipata kusoma hii thread yako, the Leo nimeingia Net na kusoma kuhusu hii bisness, i see it amazing! Plz can u help me learn more an Join?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…