Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
very ins
very inspiring broo so how i join that movement
 
Hallow,
Is it possible you could consider upper zonal people too, i think your offer is for dar-es-salaam members only. I am interested to get the training too and see where i could stand.
Thanks
 
Kama hujakutana na mtu anaitwa the bold tafta thread zake
We jamaa co bure nahisi, kwanza nikupe taarifa kwamba the bold hapendi kumpambanisha na wabandika nondo wengine humu cos anatambua wenye kipaji cha kufyatua mabandiko matamu ni wengi, hivi umeshindwa kuona utofauti wa kimaudhui kati ya nyuzi za the bold na ontario?, jamaa hapo juu ame express his/her concerns juu ya ontario cha ajabu ww unamtaja the bold, kulikoni mzee....... watu wanapigwa BAN humu kutokana na mawazo kama yako.
 
Mkuuu, hii biashara nimetokea kuipenda aisee, ikifinyika vizuri inabadilisha maisha kweli kweli. Swali langu, vp unaweza kuifanya biashara hii bila kutumia Broker? Yaani ku selling na buying direct in Forex official Website
 
Kama ni stori za kutuvunja moyo na kupinga hii kitu hakikisha unakuja na njia mbadala iliyohakikiwa/strong arguments and way forward/solutions.....siyo kuja kubana pua ,tutakung'oa.....
Marindaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuuu, hii biashara nimetokea kuipenda aisee, ikifinyika vizuri inabadilisha maisha kweli kweli. Swali langu, vp unaweza kuifanya biashara hii bila kutumia Broker? Yaani ku selling na buying direct in Forex official Website
Hakuna forex official website.
Lazima upitie kwa broker.
 
Karata Kwanini isipatikane,Kwamba Pirate Bay hamna Tanzania na Bittorrent zimefungwa,Billions ipo sana hata kwa wauza CD wa mwenge ukimpa order 48hrs inakuja.
Mkuu hata usihangaike kwa simu yako km kuna ucbrowser search 02tvseries.com pakua mzigo dunia kijiji sahv hta ukiwa ng'hwanuzi meatu unakua updated km uko New York tu
 
Mkuuu, hii biashara nimetokea kuipenda aisee, ikifinyika vizuri inabadilisha maisha kweli kweli. Swali langu, vp unaweza kuifanya biashara hii bila kutumia Broker? Yaani ku selling na buying direct in Forex official Website
Sidhani ndugu na pia mtoa bandiko ameshasema "haiwezekani", mimi ni beginner pia na nimeanza kusoma vitabu vilivyopendekezwa na kuelewa taratibu sidhani kama utaweza kufanya bila broker, utaingiaje huko kwa mfano?.Huyo ndo anatuunganisha kwenye soko la currency/tunaweza ku acess kupitia mgongo wao.Na pia kwa uelewa wangu kidogo nilioupata sidhani kama kuna forex official website(I stand to be corrected).
 
TUENDELEE KUSAIDIANA HASA KWA KUJADILI YANAYO HUSU FOREX TRADING MARKET,KWA WALE TULIOSHINDWÀ KUPATA VITABU TUNAWEZE ANGALIA GOOGLE,ANDIKA HIVI - Free Course On Forex Trading,AIDHA NASHAURI FINANCE NA ECONOMICS TUSIKATE TAMAA,MIMI NINA ELIMU YA MSINGI TU LAKINI NAONA NONDO ZINAINGIA,BRAVO - NEVER GIVE UP
 
Walioprint vitabu ,Waje navyo darasa likianza ,wengine tunaweza kununua hardcopy
 
Reactions: MC7
ONTARIO
Naomba tuwasiliane mkuu katika hili, ni deal nzuri nahitaji kuifahamu zaidi. The earlier the better.

Asante
 
safi kabisa, vipi kuhusu forex brokers wanaoanzia $1-$5/$300 zaweza kuwa ni nzuri kwa beginners ili kuzoea hii biashara? Au wewe wasemaje mkuu ONTARIO? [HASHTAG]#nalendwa[/HASHTAG] njoo ujisomee hii kitu.
Binafsi nadhani uko sahii, ni vyema kuanza na kidogo, kwa waleo wanaoanza, kwani forex ni biashara ambayo risk yake ni kubwa, the high the risk the high the returns, and vise versa...
Nilisoma chuoni, ni nzuri japo km kamali, ila hii, inaenda kimahesabu zaidi, na pia kuwa busy masaa 24
 
Reactions: MC7
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…