Naanza na GBPCAD - LongAt least tuwe tunafanya analysis ya pair moja ya kukomaa nayo kwenye trend kila wiki
Hizo TF zote inaelekea kwenye support??Naanza na GBPCAD - Long
View attachment 798942
Naona price ina uwezekano mkubwa wa kuchukua njia 2 then 3, Nitashare entry point
Humu ndo mchezo ganiiiiWakuu kama heading inavyosoma hapo juu nimeona wale wazee ambao tunadeal na hii kitu tuwe tunapeana maarifa mapya hapa tuweze kudownload pesa kirahisi
Kupeana ushauri kuhusu broker wazuri and so and so...
At least tuwe tunafanya analysis ya pair moja ya kukomaa nayo kwenye trend kila wiki
Karibuni
NB: nakuja kuweka analysis ya pair for next week[emoji123][emoji123]
NdondiHumu ndo mchezo ganiiii
Afuu unachezajeNdondi
Mkuu mi nashauri utengeneze group la whatsapp au channel itakuwa poa zaidi (ITAPENDEZA ZAIDI) kuliko hapa kwenye jf. Uzoefu unaonyesha kwamba wengi kwenye jf wanapiga chabo tu. Ila kama mtu atakuwa serious then atafuatilia kwenye group au channel na naamini huko watakuja watu ambao wengi watakuwa serious na hii kitu! NI MTAZAMO TU!Wakuu kama heading inavyosoma hapo juu nimeona wale wazee ambao tunadeal na hii kitu tuwe tunapeana maarifa mapya hapa tuweze kudownload pesa kirahisi
Kupeana ushauri kuhusu broker wazuri and so and so...
At least tuwe tunafanya analysis ya pair moja ya kukomaa nayo kwenye trend kila wiki
Karibuni
NB: nakuja kuweka analysis ya pair for next week[emoji123][emoji123]
Mchezo wa kudownload pesaHumu ndo mchezo ganiiii
Nipe link nianze iyoo kaz,,,,, vip kuna dau lolote unawekaMchezo wa kudownload pesa
Nenda Google andika How to download money... Utapata maelekezoNipe link nianze iyoo kaz,,,,, vip kuna dau lolote unaweka
Sio vitu vya kukulupuka mkuu kijana unaitaji kujua about forex.Nipe link nianze iyoo kaz,,,,, vip kuna dau lolote unaweka
HahahahahaNenda Google andika How to download money... Utapata maelekezo
Anzia kutazama chart kwenye W TF, kisha shuka D1, H4, H1, waweza endelea hadi 30M and 15MHizo TF zote inaelekea kwenye support??
I support this Idea, waiting patiently for the link, kindly tag me guys when this happens!Mkuu nashaur ungeweka link ya group la whatsap tuwe tunatumia whatsap nadhn hyo ndo rahisi