jina baya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 573
- 377
Wakuu kama heading inavyosoma hapo juu nimeona wale wazee ambao tunadeal na hii kitu tuwe tunapeana maarifa mapya hapa tuweze kudownload pesa kirahisi
Kupeana ushauri kuhusu broker wazuri and so and so...
At least tuwe tunafanya analysis ya pair moja ya kukomaa nayo kwenye trend kila wiki
Karibuni
NB: nakuja kuweka analysis ya pair for next week[emoji123][emoji123]